The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,654
My next vacation spot is Tarime!:cool2:
Didn't know you are single...
My next vacation spot is Tarime!:cool2:
La Kairo Hotel Mwanza ni mali ya mkurya mbunge Airo.
Matajili wa Mwanza ukiacha wenyewe Wasukuma ni Wakurya kama hao kina Chambiri na Gachuma.
Dili za mkoa wa Mwanza kwa kiasi kikubwa zimeshikwa na Wakurya na ndio maana hata Mbunge wa Nyamagana Ezekiel Wenje ni mkurya.
Mkoa wowote wenye border huwezi kusema watu hawana pesa, nenda Tarime au Shirati leo ukashuhudie bila kuwa na kalenda huwezi kujuwa leo ni jumangapi wala tarehe ngapi watu wanakula good time muda wote.
Mwisho Wakurya na mkoa mzima wa Mara kiujumla ni watu wamekwenda shule kiuhakika.
Si sahihi kwa mtu ambaye hajafika Moshi wala haijui Moshi aseme wachaga ni majambazi na Wamachame hawafai kuolewa wana tabia za kuuwa waume zao. Hizi ni kauli zinazoweza kutolewa na mtu mjinga tu na ambaye amekimbia shule.
Wakhatabahu.
Haya ndio matatizo ya kujifanya unajuwa wakati hujui Rorya ilikuwa ni jimbo moja la Tarime.
Mabere Marando, Wenje na La Kairo wote wanatoka Rorya, La Kairo kwake ni utegi na hawa wanaitwa Abasubi au wasubi na Mabere Marando na Wenje wanatoka Shirati Gate way to Kenya Kisumu.
Unaposema mkoa wa Mara wasomi ni wajaluo unaijuwa population ya Wajaluo? Unajuwa mkoa wa mara una wilaya na majimbo mangapi? Wazanaki, Waikizu na Wagita unawaweka wapi? Umeshafika Zanaki wewe?
We ni mkurya kwani???
hao si ndio nasikia wanawapiga wake zao.........
mkurya bila panga hana confidence yoyote ni mbulula ... Akishika kisu ndio anaanza kurukaruka ila kama hana panga au shoka ni laini kama maini
Swadakta Mkuu, Nimeipenda Hii. Endelea Kubaeleeza!
Na Uwaambie Kuwa Huko Uzanikini Kwetu Na Mkoa Mzima Wa Mara Ndiyo Chimbuko La Uhuru wa Nchii Hii. Musoma Oyee!
Si wana magovi? uchafu bhana!
Didn't know you are single...
Manka, shukran, Mimi nauliza swali, okay wakuriya wanapiga, sawa. Lakini mbona ndoa zao hata wanapooana na makabila mengine zinadumu kuliko zile za makabila ya "mke anapigwa kwa khanga"? Somebody is not telling the whole truth!!!
Mwanapropaganda;
Sisi Wakurya tumezaliwa na confidence (si ya ku-acquire ila ni inborn), na ndiyo maana utakuta wengi wetu tunamudu sana kazi zinazohitaji ujasiri, mojawapo ikiwa ni jeshini.
wanajua kulea ila wana papara sana kitandani....
My next vacation spot is Tarime!:cool2:
Na Hata SSIT Tumejaa Na Tunategemewa. In Short Watu Wa Mkoa Wa Mara Ni Mashujaa Na Majasiri Kiasili!
Please don't consider them..trust me u will regret