Osama bin Laden killed!

Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
Katika operation iliyomuua Osama makomando wa USA pia wamebeba data za kiinteligensia zikiwemo hard drive, CD, flash drives na mikanda ya video.

Mikanda inayomwonyesha Osama akizunguka kwenye nyumba yake na mikanda ya propaganda inategmemewa kutolewa leo.

TV ya MSNBC inaonyesha muda huu Osama akiwa sebuleni kwake anaangalia TV. Ana search channels kwa raha zake. Ni mojawapo ya mikanda ambayo SEALS waliikuta nyumbani kwake.
 
Wameshaachia mikanda tayari na wanatafuta watu wa kutafsiri yoyote anaongea arabic ajitokeze....na kwa nini wanataka iwe hivyo mtu ajitokeze kutafsiri ina maana hamna mtu ambaye wenyewe wanamjua anaweza kufanya kazi ya kutafsiri??ila mikanda wametoa na jinsi alivyokuwa anajirecord alafu anarudia rudia.....so nadhani ni kweli kauwawa....hamna haja tena ya kuziona pics zake huu ni ushahidi tosha kabisa.......

Skeletoni ya CIA inawataalam wa lugha 600! Leo hii lugha ya kiarabu inatangazwa tenda! Dick Cheny anajua lugha 35,Paul Wolfowitz 59,George Tenet 58,Bush fr pr 52,Jay Carney 34 nk. Hizo picha kuna walakini nazifuatilia kwakaribu sasa hivi kupitia MSNBC Tv lakini bado sio Osama waleo au juzi bali ni wamiaka kumi nyuma na kama kweli basi aliweka super black ndevu zake!!!!!
 
[video]http://www.msnbc.msn.com/id/21134540/vp/42942815#42942815[/video]
 
U.S. officials unveil videos of bin Laden

Washington (CNN)
-- Haunting and candid videos emerged of Osama bin Laden on Saturday, never-seen-before footage that provides clues into the psyche and stature of the world's most wanted terrorist.
Intelligence officials on Saturday unveiled five different videos of bin Laden that were confiscated from the raid by U.S. forces at his Pakistan compound, which left the al Qaeda leader and four others dead.
Officials say the new videos and other information collected from the site in Abbottabad are considered to be the most significant amount of intelligence ever collected from a senior terrorist.
The video and other intelligence show that the slain al Qaeda leader was very much in control over the network's day-to-day operations, according to Pentagon officials briefing reporters.
One video looks like a home movie, a portrait of an old man watching television, but it is an image of a terrorist and suggests how conscious bin Laden was of his image.
Sporting a white-gray beard, bin Laden is seen sitting in front of a small television, flipping through a selection of satellite channels as he intently views video footage of himself.
A hunched Bin Laden is wearing a dark wool cap with a blanket draped around his shoulders, holding a clicker and slightly rocking in his seat in spartan surroundings.
One of the videos is a message to the United States officials believe was recorded in October or November. Officials didn't play the audio because, they said, it would be inappropriate. In that video, bin Laden's beard has been dyed black and he was well-composed as he delivered his message.
The three other videos are practice sessions for videos he was planning to release to the world.
A senior intelligence official briefing reporters at the Pentagon said last week's raid by U.S. forces yielded a significant amount of intelligence, and that a special federal taskforce -- including members of the CIA and FBI -- is combing through the material.
The official also said the DNA evidence unquestionably shows that the person shot and killed in the Pakistan compound was bin Laden.
The intelligence officials said they are trying to determine what bin Laden's death means to the future of al Qaeda and are combing through intelligence to get clues on where other top al Qaeda leaders are.

The No. 2 man in al Qaeda is Ayman al-Zawahiri; another top militant is Anwar al-Awlaki, the U.S. born militant who is a leader in the group's Yemen branch.
This week, al-Awlaki eluded a drone attack in southern Yemen as security personnel continue their hunt for him.
 
Skeletoni ya CIA inawataalam wa lugha 600! Leo hii lugha ya kiarabu inatangazwa tenda! Dick Cheny anajua lugha 35,Paul Wolfowitz 59,George Tenet 58,Bush fr pr 52,Jay Carney 34 nk. Hizo picha kuna walakini nazifuatilia kwakaribu sasa hivi kupitia MSNBC Tv lakini bado sio Osama waleo au juzi bali ni wamiaka kumi nyuma na kama kweli basi aliweka super black ndevu zake!!!!!

Sauti imefutwa makusudi ili isitumike kama propaganda na Al-Qaida sio kwamba CIA haina watafsiri.
 
Ebanae I find it very gay kujirecord uku ukijiangalia kwenye TV, hivi huyu jamaa uzee ulianza kumuingia vibaya kweli kweli plus alipaka nywele na ndevu rangi.
 
Afadhali usa walibeba hio mikanda,hard drive n.k la sivyo naamini zingetumika kupinga kuwa osama kafa-na nina imani zingekuwa zinatolewa kwa interval flani ili watu waamini kweli osama yupo-na wangeweza kuzitoa for qiute long time-may be hata zaid ya miaka 5
 
...Osama is Dead! Labda wafuasi na wasoamini wanakosa picha moja tu itakayomaliza utata wa ALIKUFA LINI.
Obama amwage picha moja tu ya Osama alivyokutwa chumbani (dead or alive, either before or after the shooting). Hapo tu.
 
tayari pentangon wame-Release baadhi ya video zikimuonyesha Osama akiwa nyumbani kwake akitazama TV

[video]http://news.yahoo.com/video/world-15749633/25155627[/video]
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli inasikitisha kuwa katika dunia hii tuna watu wengi wa aina yako.Hii ndio sababu matatizo ya dunia na ufisadi hautapungua mpaka wafuasi wa Osama washike hatamu.
rifwima unashindwa kujua nani hasa anayeuwa watu bila hatia.Hii leo kule Pakistan watu kumi na moja wameuliwa na kombora la drone,unadhani wale wana kosa gani huku Osama mwenyewe imeelezwa keshauliwa na kuzikwa baharini!.Hiyo hali ni jambo la kawaida kule Pakistan.
Na wale watoto na wajukuu wa Ghadhafi nao wana kosa gani?.
Ikiwa dhambi za aina hii ndizo zinazouwa basi umekubali kwamba Obama na washirika wake hawako salama.


Nyie si ndo mnajilipuwa wenyewe kama wehu ili kuwakh kule kwa vimada 72? Hivi upo dunia hii weye??!! Yule garbage OBL kapewa haki yake. Njia waliyo tumia ku m-disporse is islamic! Au Allah wenu hakuumba bahari? Shukran kwa allah, maana OBL sasa amekuwa chakula cha samaki. lolz. Sijuwi allah aliweza kumtembelea kwenye bahari usiku kama ilivyo utamaduni wa allah wa kutembelea wafu na maiti. Yaack. Some religions are joke. A saine person will never follow such muhammadic cult.

Tatizo lenu nyie maislam ni kufuata mkumbo. Wewe umesha ona wapi muislam anakataa wake 72? Sasa vipi weye unalialia hapa. Mwache yule Sheik obl wa allah aende kwa wake 72 kama wapo. Au ile ilikuwa ni gelesha danganya toto?

takbir
 
Man hili jitu kweli ni propaganda machine. Amesababisha vifo vingi sana duniani. Time for him to check out. Fundisho kwa wote wafuasi wa Osama ni kwamba Osama ni mwongo na yeye mwenyewe alikuwa anapenda sana life mbona hakutumia watoto wake, wake zake au yeye mwenyewe kujiua.

"The truth is devil is real in this world"
 
tayari pentangon wame-Release baadhi ya video zikimuonyesha Osama akiwa nyumbani kwake akitazama TV

[video]http://news.yahoo.com/video/world-15749633/25155627[/video]


The shocking image here, Osama had gray hair here and he look grumpy and old. Those videos he dye his hair, this guy was bothered with America and news of himself.

Haya radicals mnamwona kiongozi wenu alivyo akiwa home?
 
Last edited by a moderator:
Hili suala halijalishi wewe ni dini au rangi gani au raia wa nchi gani, ukweli ni kwamba WOOOOTE tunadanganywa. Military Industrial Complex wamemkamata BHO pale wanapomtaka, kuanzia sasa ataanza kuwatumikia wao kikamilifu. Vita inakuja katika mtaa ulio karibu na wewe!
 
Screen%20shot%202011-05-07%20at%2011.53.06%20AM.png


Hapo baba la "Masheikh" Osama Bin Laden limevaa blanketi na beanie hat (badala ya barghashia) huku likijiburudisha kwa video za favorite subject yake (i.e., yeye mwenyewe) na kusubiri taimu ya kuswali ifike liinamie sakafuni iliyojaa mende, mavi ya utitiri wake, mavi ya panya na uchafu kibao kutimiza wajibu wa kumswalia Allah.
 
Hako ka-junkie tv ka Osama kalikuwa na satellite lol!!
 
Hako ka-junkie tv ka Osama kalikuwa na satellite lol!!

Hiyo itakuwa ni video bro, (tena usishangae hako ka-TV ni analog na hapo alikuwa anaangalia pre-recorded VHS videos au hata Sony BETAMAX videos kwa jinsi jamaa alivyokuwa anaishi kwenye Stone Age), sababu habari zinadai kwamba maskani kwa Sheikh Osama kulikuwa hakuna cha internet, telephone au satellite communication.
 
Ngosha the Ngabu..........ain't gonna believe this either..........
 
Mkuu kwenye michoro ya compound inaonyesha alikuwa na madish mawili... Unless yalikuwa zuga tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom