Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Tusubiri picha za mjengo huo na za osama , nina huakika watazionesha kuihakikishia dunia.
Atakuwa Osama kweli? waangalie vizuri kama ana alama au makovu ya risasi maana mtu kama huyo hakosi alama za risasi zilizokuwa zinamkosakosa
Duh naona watu wanazidi kumiminika white house
Je kufa kwake kutasaidia kupunguza chuki kati ya waislamu na western countries au itaongeza?
Sana tu mkuu. Sasa ajaribu kukamilisha mambo mengine muhimu nae .Obama kajipatia umaarufu mkubwa hata Republicans watampongeza kwa hili tena bila shingo upande.
Nimesema hapo nyuma, jamaa ni coward yeye amejichimbia kwenye jumba la kifahari wakati watu wanajitoa muhanga uko milimani kwa ajili yake.Kuna mwanamke ambaye Bin Laden alimtumia ka shield naye ameuwawa,ama kweli huyu jamaa naye ana u coward flani hivi.
Inaonekana hutaki kuamini na hupendi kusikia kuwa ni wao USA (CIA) ndo waliofanya kazi hiyo.
Sasa kama sio wao waliofanya ivo ni vipi basi wameupata mwili wake? Kumbuka kwa utaratibu wa jamii yake mtu aliyefariki hawezi kukaa siku zote hizo bila kuzikwa.
Hata ivo una mifano mingine michache ya kukuaminisha ni USA ndo waliofanya kazi hiyo. Baadhi ni hii hapa:
1: Che Guevara
2: Uday
3: Qusay
4: endelea nawe hapa
Live Watch CNN. Habari ya kustua, lakini haijulikani ni habari gani. Obama to speak soon.
Kuna waliobaki kwelI??Waliobaki labda wana nguvu zaidi?
Sana tu mkuu. Sasa ajaribu kukamilisha mambo mengine muhimu nae .
Obama kajipatia umaarufu mkubwa hata Republicans watampongeza kwa hili tena bila shingo upande.
Duh Kidume Kimendei!!! Sina cha Kukuombea Ulijiandalia mwenyewe Njia yako ya Mwisho....Jamani waarabu mtamalizwa na hawa wazungu!juzi familia ya gadafi leo osama!waarabu amkeni! RIP OSAMA!