Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
What do you mean a can of worms? Huyu si ndo master mastermind mwenye data zote au?
Mkuu Osama knew a lot, imagine him rambling all the secrets kwenye court room, viongozi wengi kuanzia USA, Saudi Arabia mpaka Pakistan wangevuliwa nguo.
 
Mnaoshangaa Osama kutupwa baharini, majivu ya Adolf Eichmann yalitupwa baharini vile vile kwa sababu i)kulikuwa hakuna nchi ya kumzika ii)Israel hawakutaka mashabiki wake wawe na sehemu ya kwenda kutolea kumbukumbu.
 
Mkuu Osama knew a lot, imagine him rambling all the secrets kwenye court room, viongozi wengi kuanzia USA, Saudi Arabia mpaka Pakistan wangevuliwa nguo.

Ah haa.....kumbe wengi wao ni wanafiki eeeh? That's what I thought.
 
Mnaoshangaa Osama kutupwa baharini, majivu ya Adolf Eichmann yalitupwa baharini vile vile kwa sababu i)kulikuwa hakuna nchi ya kumzika ii)Israel hawakutaka mashabiki wake wawe na sehemu ya kwenda kutolea kumbukumbu.

Hivi ni nchi gani ziliombwa ardhi yao kumzikia Osama na zikakataa?
 
Yaani we acha tu! hivi wale watoto akina mohamed ata et al walioangusha majengo NY walizikwa wapi?

Osama alikuwa na wake 9 watoto zaidi ya 20, hakuwahi kutoa mtoto hata mmoja mhanga huku akijua wazi kuwa mjitoa mhanga anapewa nafasi ya kuchagua ndugu 70 wa kwenda nao peponi. kwa nini hakutoa hata mmoja tu kwa ajili ya familia yake yote?
Haya kumbe jamaa linaishi na familia yake kwenye mjengo gharama yake $1,000,000.00 (Tsh > 1.5 billion) huku linapeleka watoto wa maskini kujitoa matumbo.

Osama alikuwa mwoga, mbinafsi na mlaghai yaani hata wakati anakufa alikuwa anapigana huku amewatanguliza wanawake mbele kama human shield. hiyo title ya holy warrior aliipatapataje? badala ya mwanaume kuwalinda watoto na wanawake yeye anawatanguliza vitani?
 
Hivi ni nchi gani ziliombwa ardhi yao kumzikia Osama na zikakataa?
Well Saudi Arabia was out of the equation kwa sababu walisitisha uraia wake tangu zamani, na kutokana na nilichoona kwenye Sky News the other day wanasema Saudia waligoma baada ya kuombwa. That left Yemen, sidhani US wange-dare kwenda kumzika uko. Nionavyo mimi walikuwa wameshaamua kuutupa mwili wake majini ata kabla hawajaomba nchi ya kumzikia.
 
Mazee wewe umeiona maiti yake?
 
Kama ni kweli wamefanikiwa kuuwa niushindi mkubwa sana kwa Obama nawasiwasi nawao wasijecheza chezo kama lile la kina Balali aisee.
Kuna vimaswali bado najiuliza kama kweli wamemuua kwanini waharakishe kumzika?yawezekana kwasababu za kidini ,Je nakumzikia baharini nisheria ya dini gani?any way let us wait labda kuna ukweli lakini hua sipendi kuifundisha akili yangu tabia ya kukubalikubali tu kama zuzu,unaweza kuta baada ya siku tano Jamaa kakurupuka huko aliko na makombora ya hatari aaaaggghhhh!!
 
Nimesema nimeona maiti yake?

Lol...mbona unauliza kama umechukizwa na swali langu babu? Mimi sijasema wewe umeiona. Nimeuliza tu kama umeiona.

To answer your question ni sijaiona maiti yake

Hili ndilo jibu la swali langu. Asante kwa kujibu.

na sina nia ya kuiona.

Sikumbuki kukuuliza kama una nia ya kuiona. Licha ya hivyo, nashukuru kwa kunijibu swali langu.
 
Sasa kwa wale wanasema Osama hajafa, ooh kafa miaka ya nyuma mkiombwa ushahidi kama mlivyoshupalia mpewe ushahidi mtatoa au ndio tutaishia kupiga yengele kama kawaida yetu wabongo?
 
Sasa kwa wale wanasema Osama hajafa, ooh kafa miaka ya nyuma mkiombwa ushahidi kama mlivyoshupalia mpewe ushahidi mtatoa au ndio tutaishia kupiga yengele kama kawaida yetu wabongo?

Hivi kuna wanaosema kuwa Osama hajafa? Kina nani hao?
 
Sasa kwa wale wanasema Osama hajafa, ooh kafa miaka ya nyuma mkiombwa ushahidi kama mlivyoshupalia mpewe ushahidi mtatoa au ndio tutaishia kupiga yengele kama kawaida yetu wabongo?
Mimi kuna video oja nimepata kuiangalia bibi Bhuto alitamka kuwa Osama aliuliwa, ila kuna wanaopinga kauli yake kwa kusema kuwa amekosea.
 
Mkuu ebu angalia na kusikiliza haya mahojiano:

Aired on 2nd November 2007, David Frost the presenter did not challenge her on her assertion that Bin Laden was murdered, so maybe he was and the West has not announced it.
 
Last edited by a moderator:

sheikh Osama is Lucifer...rot in hell!!
 
obama kama mpangaji wetu katika lile jumba letu jeupe la magogoni.....longolongo nyingi vitendo sifuri:bange:
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…