Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
Ah ah ah ah ah, sasa mkuu hao mabikira 100 wanatoka wapi tena?

Kaka uwe unasoma maandiko.

Naona kulumbana na wewe zaidi itakuwa ni kupotezeana muda tu, kwani inaelekea hutumii mantiki kwenye mabandiko yako (aka "maandiko").
 
X-Paster and OneManArmyMan, mnalumbana kuhusu bikira za kina nani?Naona mnapoteza nguvu nyingi sana hapo kwenye bikira,whats up?Mara bikira mia,mara 172,mara 150,WTF?
 
Kwahiyo ni fix?
 
Hizi habari wanazitoa nusunusu na inaharibu ile flow of information kwasababu wanazingatia propaganda zaidi kuliko ku provide ukweli wa tukio na the whole mission.Wanadai sasa Bin Laden did not try to resist,before walisema he did try to resist,halafu kuna wakati walisema mission ilikuwa ni kumwua na si kumkamata akiwa hai.Huku tukijua kuanzia awali tokea Bush kuwa policy ilikuwa to capture him dead or alive,sasa walimpiga risasi ya nini kama hakukuwepo na resistance?,Wakati huo huo,chini ya Obama wanadai kuwa hiyo code name "Geranimo" means kill or capture Bin Laden...Hakuna kinachoeeleweka smoothly,too much contradiction,inawezekana aliresist lakini mambo ya propaganda hawataki kusema ili asiwe revered aonekane coward.

Badala ya kutoa habari naona wako busy kuipangilia namna ya kuitoa na kupanga kuwa ni habari ipi itolewe na kivipi,sasa huu ndo upuuzi wenyewe.Hata hivyo ndo kawaida hiyo,mshindi huandika historia,na tutaendelea kulishwa propaganda za washindi taka tusitake.
 
Naona kulumbana na wewe zaidi itakuwa ni kupotezeana muda tu, kwani inaelekea hutumii mantiki kwenye mabandiko yako (aka "maandiko").
Ni kweli ni kupoteza muda na nguvu za bure maana hutanielewa na wala sitakuelewa.
 
CBS wameonyesha snippet ya supposedly ya moja ya chumba cha kwenye ilo jumba damu kila sehemu.
 
X-Paster and OneManArmyMan, mnalumbana kuhusu bikira za kina nani?Naona mnapoteza nguvu nyingi sana hapo kwenye bikira,whats up?Mara bikira mia,mara 172,mara 150,WTF?
Ah ah ah mkuu, nilikuwa kidogo namachemsha kijana, anaonekana aelewi alichokiandika mpaka kupelekea mjadala kuelekea kwenye mabikira.

Poleni kwa kukwazika.
 
sasa hawa wamarekani c waongee ukweli tu mbona wanajichanganya na hizi habari zao?au ndio kama kuenda mwenzini?
 
Watu wa pentagon na white house watakuwa wanafurahia jinsi tunavyosubiria maelezo zaidi na picha za kilichojiri. Wanatuonjesha kidogo kidogo.
 
X-Paster and OneManArmyMan, mnalumbana kuhusu bikira za kina nani?Naona mnapoteza nguvu nyingi sana hapo kwenye bikira,whats up?Mara bikira mia,mara 172,mara 150,WTF?

Don't try to trivialize the issue bro (However absurd or ridiculous it may sound to you.)

The fine difference between 72 virgins and 100 Wives/Concubines may mean a choice between life or death (As in decisions potential Suicide Bombers may have to face, pre-mission.) for Muslim Extremists of X-Paster's ilk; especially (and because of) their knack for literal interpretations of whatever the Quran teaches.
 
Hali zenu great thinkers wenzangu! Naomba mnijuze wadau bahari alipozikwa huyu gaid nambari moja wa al-qaeda ambaye kwasasa hatunaye tena duniani, hapa namaanisha Osama bin laden, Nawasilisha.
 
looks like santa he is still alive ...

 

Attachments

  • osama.jpg
    35 KB · Views: 344
Ungeandika Kiswahili nadhani ungeeleweka zaidi, sasa sijui unamficha nani na icho kiinglishi chako. Uh!
 
A-Qaedah..the base kwa tafsiri ya kiingereza ni msingi wa kundi aliouanzisha aka Prince aka Aamir(wapiganaji wake humuita ivyo)Usamah Bin Laden kw ajili ya kupigana jihad ulimwengu mzima.Ukweli ni kwamba Osama amekuwa mafichoni kwa mda mrefu huku Marekani ikiwa imekata mirija yake ya pesa kwa kiwango kikubwa kabisa.Bahati mbaya kabisa kwa sasa ni kwamba falsafa ya kundi hili kupambana na Marekani na washirika wake popote pale walipo imeshika kasi sana kiasi kwamba sio lazima Osama aseme ndio watu washambulie.
Yako matukio mengi ambayo wachambuzi wa duru za kisiasa na kigaidi wanakubaliana kabisa kuwa mashambulizi kama ya kwenye treni yaliyotokea Spain au Mjini London hayakufanywa na Osama moja kwa moja bali washambuliaji walishambilia kwa kufuata tu falsafa ya Alqaedah.Tena washambuliaji hao hawakuwahi hata kukutana na Osama au dr Ayman Al-Zawahir maishani mwao.
Kwa mantiki hiyo kifo cha Osama si mwisho wa Alqaedah kwa sababu tayari huyu mtu ameacha misingi,mafundisho kiasi kwamba watu wamekuwa wakiyafata na kushambulia mahali bila hata ya kutumwa au kumbiwa na Osama wafanye hivyo.
Miaka michache ilopita Hosni Mubarak aliwaambia Marekani kuwa vita yao dhidi ya Osama si tu imeleta maafa kwa raia wa Afghanistan,lakini pia imezalisha Osama wengine milioni moja duniani kote.
 
kazi ipo kumbe sheikh kashajifia kitambo. Dunia hìí kweli wa2 wanasubiri ujambe tu ili watake kujua harufu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…