Ndugu wadau;
Napata shida kuwaamini wamarekani kuhusu madai yao ya kumuua Osama Bin Laden, wakati habari inathibitishwa kwa mara ya kwanza Rais Obama alisema "mwili wa Bin Laden unashikiliwa na wanajeshi" wa Marekani lakini baada ya muda mfupi tunaambiwa kuwa kwa mujibu wa ofisa wa jeshi mabaki ya "mwili wa Bin Laden yamezikwa baharini" kwasababu walihisi hakuna nchi ambayo ingekuwa tayari kupokea mabaki hayo.
Je kwnini tuwaamini maana hakuna mtu mwingine aliyeona mwili wa Bin Laden zaidi ya askari wa Marekani, Hata picha ya hiyo maiti hatujaonyeshwa, isije tukawa tunatangaziwa habari hii kama moja ya propaganda za obama katika uchaguzi ujao maana wao ndio wanamiliki international media.
We need to receive it with intensive care!!!
Sasa nani anayependa kuchckachua mimi au wewe...! Na bado unatetea uongo, na uaonyesha jinsi unavyopenda kuongopa na kuongopewa.Usichakachue nimefurahia kifo cha gaidi kwa kweli!
Inaonekana na wewe pia unaamini kama mapakistani.Read between lines, imendikwa Believed by Pakistans. Askarikanzu kwa hiyo wewe unaamini hawawezi kumuuwa?
Naona baadhi ya wakilisto wanapenda sana kueneza vitu vya uongo na kuvishikilia kwenye akili zao...!
Mimi ni Muislam kindaki ndaki haswa, ukipenda waweza kuniweka kwenye kundi la siasa kali...! Lakini katika kusoma kwangu kote uko sijawahi kuona hiyo kitu ya mabikira 72.
Ni wapi hii habari ya mabikira 72 imeelezwa kwenye Uislam?
Labda unazungumzia wakiviacha vyote watapata kila kitu mara 100. I mean Wake mia, mashamba n.k
Ndugu wadau;
Napata shida kuwaamini wamarekani kuhusu madai yao ya kumuua Osama Bin Laden, wakati habari inathibitishwa kwa mara ya kwanza Rais Obama alisema "mwili wa Bin Laden unashikiliwa na wanajeshi" wa Marekani lakini baada ya muda mfupi tunaambiwa kuwa kwa mujibu wa ofisa wa jeshi mabaki ya "mwili wa Bin Laden yamezikwa baharini" kwasababu walihisi hakuna nchi ambayo ingekuwa tayari kupokea mabaki hayo.
Je kwnini tuwaamini maana hakuna mtu mwingine aliyeona mwili wa Bin Laden zaidi ya askari wa Marekani, Hata picha ya hiyo maiti hatujaonyeshwa, isije tukawa tunatangaziwa habari hii kama moja ya propaganda za obama katika uchaguzi ujao maana wao ndio wanamiliki international media.
We need to receive it with intensive care!!!
Aliye anza dhana ya udini ni wewe na mwenzio yoyo... aliyesema kuwa Osama yupo mbinguni anafaidi mabikira 72 ni nani?Wewe umejuaje sisi ni "waklisto"? Ukiangalia hiyo post yangu hakuna sehemu yoyote niliyotaja uislamu na bikra 72 tusiwe wepesi kuingiza udini kwenye sehemu ambayo haupo. Hiyo ya 'bikra 72' ni upupu tunaousoma kila siku kwenye mitandao kwamba ni moja ya vitu vinavyotumika kuwajaza ujinga vijana ikli wajitoe muhanga.
Inaonekana na wewe pia unaamini kama mapakistani.
Hebu angalia bwana'ke Bhuto (ambaye ndie rais wa Pakistani hivi sasa) nae alisema nini kuhusu bin Laden (April 2009)!
> America wanaufanya ulimwengu mzima bunch of fools lakini hebu waulizwe wamerekani how much has costed to secure bin Ladin, na huu ndio mwisho wa safari ?
Lazima tuwaamini wamarekani kwa kila jambo wanalolitangaza kwenye media zao, wao si ndio makaka wa dunia bana.
Walitutangazia kuwa Sadam Hussein ana silaha za Nyuklia, wengi wakabisha, Mimi nikiwa mmoja wapo, lakini kwa ushupavu na uhodari wao askali wa kimarekani wakaivamia Iraq na wakakuta kweli, Serikali ya Iraq inamiliki silaha za maangamizi.
Mkuuu sikatai kuwa serikali ya pakistan iko cmmited lakini kuna idaidi kubwa ya wanachi wana faith ya ajabu na OSAMA alikuwa anakubalika. na ndio maana hata safe heaven yake ilikuwa pakistan sio india au Indonesia.
Nimesoma muda mfupi idadi ya watu wengi tu wamendamana kwenye mji fulani uko pakistan wakichoma bendera ya USA kupinga kuuwawa kwa osama. U can see what I mean.
Nakubaliana na yote uliyoyasema lakini kuna public kubw atu jamaa ana suport ina inamkubali
Such hypocrites....Masheikh mbali mbali nchini Leo wametoa matamo yao kuhusu kifo Cha Osama bin laden. Masheikh wengi wa tz wakihojiwa na Redio mbali mbali za kiislam tanzania wamesema Osama ametangulia kwa Muumba wake kama binadaamu wengine waliofariki.lkn yeye amekufa shahidi mbele ya jamii ya kiislam. ameuwa kama shujaa aliesaidia kondoa dhulma
Kama unao muda jaribu kuipitia hii makala hapa:...hata Patrick Lumumba mpaka sasa hafahamiki nani alimuuwa...
Sasa huo udini umetokea wapi wakati ushasema kwenye Kurani hakuna sehemu inayotaja 'bikra 72' ?Aliye anza dhana ya udini ni wewe na mwenzio yoyo... aliyesema kuwa Osama yupo mbinguni anafaidi mabikira 72 ni nani?
Sasa lini ulichukua jitihada za kutafuta ukweli au kila linalosemwa kwenye mtandao na wewe unalibeba kama kilivyo?