Kama Osama anauawa kama panzi, je hao masalia yake?
Pakistan hawakuambiwa kuhusu operation hadi baada ya tukio.
Kifo cha Osama hakimaanishi kifo cha Al-Qaida wala Ugaidi.Moto ndio kwanza umewashwa.Kwanza Osama kitambo tu alikuwa si kiongozi tena wa Al-Qaida,wapo akina Al-Zawahir na wengineo.Halafu,Osama kama hajafa hivi.........
InawezekanaWalivyo mnyonga Saddam Hussein picha kibao za tukio la unyonganji zilitolewa iweje leo hii kifo cha gaidi mkubwa kama Osama wasiweze kutuonyesha hata kapicha kamoja? mimi nilipo sikia hii habari tu hata kabla sijajua kuna uthibitisho kani walio nao nilisema huo ni uongo maana wamarekani ni watu waujiko sana...Osama alishakufa miaka mingi iliyopita na wao wanalitambua hilo ndio maana wamekuja na uongo huu.
Waliobaki labda wana nguvu zaidi?
Haiwezekani operation kama hiyo ifanikiwe bila baadh ya watu waaaminifu ngazi ya juu pakistan kufahamu.
Pakistan ni nchi ina waislam wengi wenye msimamamo mkali. na serikali yao haiwez kukiri wazi mchango wake. but lazima rais au kiongozi wa Jeshi la pakistan alijua hiyo. Serikali ikiri wazi wazi itapoteza support kubwa. Kumbuka sio operation yaya kufanya kijijini na imewachukua dk 41 na wanasema just three ppl died.......
J. Mushi, huyo mwanamke aliyeuwawa alikuwa ni human shield ya mmoja wa wanaume wawili waliokuwa na Osama, siye Osama ndiye aliyemtumia kama human shield. Wameuwa jumla ya watu 5 along side Osama, wamewauwa watu wengine wawili, wanaume, mtoto mmoja na huyo mwanamke. Tutazame na upande wa pili, hawa waliouwawa including mwanamke na mtoto, ni innocent victims ambao Americans must pay the price for in the law of the 'karma'!.
Na picha zikatengenezwa haraka haraka.Unajua ukimiliki vyombo ya habari unamiliki na akili za watu wasiopenda kufikiri, bbc news wamesema kapigwa risasi ya kifua, jioni ya leo CNN NEWS wamesema kapigiwa risasi za macho. habari zingine zinasema kazikwa na watu wachache baharini, Marekani walisema wanamtaka Osama akiwa hai au amekufa, Osama kauwawa usiku halafu kazikwa asubuhi. Ahahahaha..
Nilikua naamin waafrika ndio waongeaji uzushi zaidi...kumbe na nchi kubwa wamo zaidi kwa u.z.u.s....Wamemuua, hawajampiga picha hata moja halafu wanasema eti wamemzika baharini.
Full changa la macho.
Hahahaha mliozoea kuhoji hahahahaha. Una digrii ya kuhoji? Hata ivo haibadili ukweli kuwa osama kafa