Osama bin Laden killed!

Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
Peruzi zangu zimeonyesha kwamba kitendo cha kutangaza kwamba marekani wamemuua osama ni mpango kabambe wa NEW WORLD ORDER ambao unasimamiwa na Free Masons. Obama is among of them kwani mshiriki wake mkuu nu Warren Buffett (No.4 rishest). Kwa mujibu wa the Economist huenda kuuawa kwa Osama kukazidisha machungu zaidi kwa waislamu. Pkistan tayari inahoji uhalali wa Marekani kuingia nchini mwao bila hata hodi. Hii ni dharau.
 
Unazungumzia Osama yupi,labda huyo wa Freemasons.Wachina hata wamarekani hawaamini huyu Osama wa Abbottabad.
 
peruzi zangu zimeonyesha kwamba kitendo cha kutangaza kwamba marekani wamemuua osama ni mpango kabambe wa new world order ambao unasimamiwa na free masons. Obama is among of them kwani mshiriki wake mkuu nu warren buffett (no.4 rishest). Kwa mujibu wa the economist huenda kuuawa kwa osama kukazidisha machungu zaidi kwa waislamu. Pkistan tayari inahoji uhalali wa marekani kuingia nchini mwao bila hata hodi. Hii ni dharau.

fafanua kwa mapana.
 
100 flash drives and five computers vilipatikana nyumbani kwa Osama.
Zote hizo za nini?.Na jee Osama alijuwa kutumia Compyuter?
 
Washington (CNN) -- More members of Congress are seeing something cleared for only a select group of Americans: Photos of Osama bin Laden's corpse.
Republican Sen. James Inhofe told CNN's Eliot Spitzer on Wednesday he saw about 15 photos of bin Laden's body, most taken at the al Qaeda leader's compound in Abbottabad, Pakistan. Three were taken on a naval vessel from which bin Laden was buried at sea after the May 2 U.S. commando raid.
"Pretty gruesome" is how Inhofe described photos of brains hanging out of bin Laden's eye socket. The wound either entered or exited an ear, the Oklahoma senator said.
Many people have demanded proof that bin Laden was killed.
"That was him," said Inhofe, a member of the Senate Armed Services Committee. "He is gone. He's history."
 
Huo wosia wameutoa wapi?
...mkuu mwaka huu tutashangaa sana!!
Maana tuliambiwa hakai na vifaa vya electronic km simu, computer n.k. sasa pia tutapaswa kujiuliza je wosia na hizo picha zimetoka wapi? Na kwa baadhi ya picha zilizoko mtandaoni na kwingineko zinaonesha ni za kutengenezwa... kwani zinafanana na picha za Osama zilizozoeleka!!!

Hebu tazama hapa:

Osama bin Laden -- Dead Body Picture HOAX | TMZ.com

photoshop!!!
 
Na jee Osama alijuwa kutumia Compyuter?

Maswali mengine bwana, dah!
Unajua wazi kabisa kazaliwa katika familia ya kitajiri, tena mabilionea.

Kasoma hadi chuo kikuu, tena digrii ya engineering.

Halafu bado wauliza swali kama hili, wajameni!
 
Kumbe Osama bado mzima kabisa anavinjari NY kama Taxi Driver?


Woman in cabby-rape nightmare

By LARRY CELONA and TIM PERONE
Last Updated: 6:43 AM, May 12, 2011
Posted: 2:42 AM, May 12, 2011

http://www.addthis.com/bookmark.php..._ss=1&at_xt=1&pre=http://www.nypost.com/&tt=0 More Print
A knife-wielding cabby tied up and raped a young female passenger in the back seat of his yellow taxi in Brooklyn, police sources said last night.
The 26-year-old victim's nightmare began early Friday after a night of drinking at Public Assembly on North Sixth Street near Kent Avenue in Williamsburg.
After hailing the cab and asking to be taken to her home in Manhattan, the intoxicated victim fell asleep, the sources said.
When she came to, her hands had been bound with a scarf and the driver was raping her.
The cabby then took the victim's cellphone and $20 and pushed her out of the vehicle at Rodney and South First streets, cops said.
sketch--300x450.jpg
NY Post: William C. Lopez
W'BURG HORROR: The victim hailed a cab after leaving this Williamsburg bar, and was bound and raped by the driver matching the police sketch above.




She walked a few blocks and reported the attack to police.
The woman was taken to a hospital where she was treated for facial and hand cuts.
The driver was described as in his early 40s and approximately 5-foot-8, cops said.
A Taxi and Limousine Commission spokesman said no suspect has been identified, and declined further comment.
A 19-year-old woman in the neighborhood last night was shocked to hear the news.
"It's scary because I usually take cabs here," said the woman, who asked that her name not be published. "I guess I gotta be more careful."
Additional reporting by Rebecca Harshbarger and Erin Calabrese
larry.celona@nypost.com


Read more: Woman raped by yellow-cab taxi driver in Brooklyn, cops say - NYPOST.com
 
Osama kauliwa kwa sababu ni terrorist na ameua watu wengi sana na alikuwa na mipango ya kuua wengi zaidi...hizo story zako za freemasons ni za wendawazimu tuu!
 
Maswali mengine bwana, dah!
Unajua wazi kabisa kazaliwa katika familia ya kitajiri, tena mabilionea.

Kasoma hadi chuo kikuu, tena digrii ya engineering.

Halafu bado wauliza swali kama hili, wajameni!
Mbona hao hao CIA wanasema alisomea digrii ya Public administration.Halafu unajuwa ni mwaka gani?...1981.Baada ya hapo maisha yake yalikuwa ni ya msituni kupambana na warusi kwa ushawishi wa USA.
Mwaka 1981 alipohitimu Osama.King Abdulaziz university walikuwa bado hawajaanzisha course za kompyuter..Na iwe iwavyo jee pale Abbottabad alikuwa na ofisi kubwa kiasi gani kuhitaji kuunganisha compyuter 4 na network?.Nani walikuwa wakitumia network yake.Flash disk 100 ni za nini?.Nani walikuwa wakitafuta vipuri vya ofisi?.Wale ndugu wawili kama kweli tunaambiwa walikuwa ni shamba boy.
 
Mbona hao hao CIA wanasema alisomea digrii ya Public administration.Halafu unajuwa ni mwaka gani?...1981.Baada ya hapo maisha yake yalikuwa ni ya msituni kupambana na warusi kwa ushawishi wa USA.
Mwaka 1981 alipohitimu Osama.King Abdulaziz university walikuwa bado hawajaanzisha course za kompyuter..Na iwe iwavyo jee pale Abbottabad alikuwa na ofisi kubwa kiasi gani kuhitaji kuunganisha compyuter 4 na network?.Nani walikuwa wakitumia network yake.Flash disk 100 ni za nini?.Nani walikuwa wakitafuta vipuri vya ofisi?.Wale ndugu wawili kama kweli tunaambiwa walikuwa ni shamba boy.
Duh hii ndio mara ya kwanza naisoma, kwa hiyo tulidanganywa tulipoambiwa alisomea Engineering?
Mkuu kwa akili yako unafikiria Osama alikuwa hajui kutumia computer? Also kutokuwa na course ya computer hakumaanishi shule haiwezi kuwa na computer.
 
Osama kauliwa kwa sababu ni terrorist na ameua watu wengi sana na alikuwa na mipango ya kuua wengi zaidi...hizo story zako za freemasons ni za wendawazimu tuu!

Una ushahidi au unakubali tu kila wanachosema wamerekani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom