kagamba kadogo
Senior Member
- Apr 24, 2011
- 178
- 19
ask him mother****er.... Osama alikufa kitambo tu ile ilikuwa drama ya Obama msaka kura za wamarekani.
Peruzi zangu zimeonyesha kwamba kitendo cha kutangaza kwamba marekani wamemuua osama ni mpango kabambe wa NEW WORLD ORDER ambao unasimamiwa na Free Masons. Obama is among of them kwani mshiriki wake mkuu nu Warren Buffett (No.4 rishest). Kwa mujibu wa the Economist huenda kuuawa kwa Osama kukazidisha machungu zaidi kwa waislamu. Pkistan tayari inahoji uhalali wa Marekani kuingia nchini mwao bila hata hodi. Hii ni dharau.

Mbona hao hao CIA wanasema alisomea digrii ya Public administration.Halafu unajuwa ni mwaka gani?...1981.Baada ya hapo maisha yake yalikuwa ni ya msituni kupambana na warusi kwa ushawishi wa USA.
Mwaka 1981 alipohitimu Osama.King Abdulaziz university walikuwa bado hawajaanzisha course za kompyuter..Na iwe iwavyo jee pale Abbottabad alikuwa na ofisi kubwa kiasi gani kuhitaji kuunganisha compyuter 4 na network?.Nani walikuwa wakitumia network yake.Flash disk 100 ni za nini?.Nani walikuwa wakitafuta vipuri vya ofisi?.Wale ndugu wawili kama kweli tunaambiwa walikuwa ni shamba boy.
Wewe una ushahidi kuwa aliyeuliwa sio Osama?Una ushahidi au unakubali tu kila wanachosema wamerekani?
Tupe ushahidi kuwa alikufa zamani.ask him mother****er.... Osama alikufa kitambo tu ile ilikuwa drama ya Obama msaka kura za wamarekani.
ask him mother****er.... Osama alikufa kitambo tu ile ilikuwa drama ya Obama msaka kura za wamarekani.
Haya lete habari .. alikufa lini? au tuseme aliacha kukugeuza lini? kakutwa na gunia la viagra .. /isije ikawa ulikuwa mtoa huduma
Peruzi zangu zimeonyesha kwamba kitendo cha kutangaza kwamba marekani wamemuua osama ni mpango kabambe wa NEW WORLD ORDER ambao unasimamiwa na Free Masons. Obama is among of them kwani mshiriki wake mkuu nu Warren Buffett (No.4 rishest). Kwa mujibu wa the Economist huenda kuuawa kwa Osama kukazidisha machungu zaidi kwa waislamu. Pkistan tayari inahoji uhalali wa Marekani kuingia nchini mwao bila hata hodi. Hii ni dharau.
some say 4, 5, 6, 10....don't know who to believe!Technically it is Bin Laden 3 wives and 2 Ex's.... But i believe the story wouldn't have sold in the media....
Yaani huyu OBL ameoa wake sita halafu bado unaangalia porn? Huu sasa ni ulafi mtupu