Osama bin Laden killed!

Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
Hizi jamaa zimeambiwa zitoe uthibitisho kuwa waliyempata ni Osama , hilo linawashinda badala yake wanaleta habari za umbea, tabloid story.
wanaelewa watu wengi wanapenda hizi story za tabloid na watasahau kudai ushahidi wa kifo cha Osama.

Ivuga amesema hapo juu...ni propaganda inayokusudia kuundosha mjadala wa uthibitisho wa kifo cha Osama na kuwa soap opera Osama alikula nini,alivaa nii,alitumia viagara na bla bla nyengine.
Kesho watasema maiti ilifanyiwa uchunguzi na kuwa Osama alipenda Coca cola na Mcdonal meals na bugers!! Pia zilipakana US dolars nyingi katika chumba cha Osama

Pure soap opera, isnt it?
 
Hata mimi nahisi kuna propaganda nyingi mno kuhusiana na hili suala la Osama. Nasubiri kusikia pia Osama alikuwa mpenzi wa vikaragosi vya Tom and Jerry.....hahahaaaa
 
Hizi jamaa zimeambiwa zitoe uthibitisho kuwa waliyempata ni Osama , hilo linawashinda badala yake wanaleta habari za umbea, tabloid story.
wanaelewa watu wengi wanapenda hizi story za tabloid na watasahau kudai ushahidi wa kifo cha Osama.

Ivuga amesema hapo juu...ni propaganda inayokusudia kuundosha mjadala wa uthibitisho wa kifo cha Osama na kuwa soap opera Osama alikula nini,alivaa nii,alitumia viagara na bla bla nyengine.
Kesho watasema maiti ilifanyiwa uchunguzi na kuwa Osama alipenda Coca cola na Mcdonal meals na bugers!! Pia zilipakana US dolars nyingi katika chumba cha Osama

Pure soap opera, isnt it?

Are you somehow suggesting Osama is still alive?
 
Hii habari pamoja na ile ya Vaseline ya Sheikh Osama, makes a lot of sense lakini.... sitashangaa next Wake zake 3 watadai Sheikh Osama alikuwa akiwala ****. halafu baada ya hapo, tutaambiwa Sheikh Osama alikwa akimfaudu Mtoto wake wa kike na hatimaye watasema Wapambe wake wote wa Kiume walikuwa wakimgawia ****.
OSAMA_BIN_LADEN_VASELINE1.jpg
 
Yaani wake sita hawakumtosha mpaka anapanda mnazi, ha ha ha ha ha
 
Hizi jamaa zimeambiwa zitoe uthibitisho kuwa waliyempata ni Osama , hilo linawashinda badala yake wanaleta habari za umbea, tabloid story.
wanaelewa watu wengi wanapenda hizi story za tabloid na watasahau kudai ushahidi wa kifo cha Osama.

Ivuga amesema hapo juu...ni propaganda inayokusudia kuundosha mjadala wa uthibitisho wa kifo cha Osama na kuwa soap opera Osama alikula nini,alivaa nii,alitumia viagara na bla bla nyengine.
Kesho watasema maiti ilifanyiwa uchunguzi na kuwa Osama alipenda Coca cola na Mcdonal meals na bugers!! Pia zilipakana US dolars nyingi katika chumba cha Osama

Pure soap opera, isnt it?
Mkuu umenena vema..
huu ndo ukweli wa mambo..
 
Katika zama hizi za utandawazi kuangalia porn sio ajabu wala sio aibu kabisaaa. Nina hakika hata watu kama kina Obama pia huwaga wanaangalia picha za ngono.

Kwa watu wenye akili zao, hizi propaganda ni cheap sana. Sasa kama Osama alikuwa anaangalia porn, au anatumia viagra, kuna ubaya gani?
 
This does not seem to be an isolated incident either. Two of the terrorists in the 9/11 attack were have said to have hung out their final days drinking at strip bars doing the very things that they claim to have been fighting against. Islam doesn't make any sense.
 
Are you somehow suggesting Osama is still alive?
Mimi naamini Osama alishakufa siku nyingi.
Kama US ,CIA walijua kuwa Osama yuko hai wasingetoa tapes fake miaka ya nyuma.
kama angekuwa hai angejitokeza na kuzikanusha kama ambavyo gaddafi amejitokeza leo kukanusha habari za kujeruhiwa kwake.
 
Hii kitu kama ingekuwa kweli wangetangaza mda mrefu kwani ni pigo kubwa kwa watu wanaofata amri zake kwa kutumia mgongo wa dini.

Kilichofanyika hapa kujaribu kuwa badilisha mawazo wafuasi wake kwamba huyu mtu mnae fuata amri zake kwa kutumia dini ni mshenzi tu.

Hapa kidogo naona wakuu wamechemsha na kama kweli basi wamechelewa kuleta hii habari kwani ingekuwa pigo kubwa sana kwa wafuasi wake.

Wangeendelea kusema basi watu waliokuwa kwenye hizo picha za porno waarabu,wazungu au weusi? Lol
 
Al Qaeda wanauza Heroin/Opium kule Afghanistan kwaajili ya ku-fund operations zao nayo hiyo mtasema ni propaganda?
Porno, Unga, .....what next? Kumbe hapa hawa jamaa sio hata wacha Mola wana agenda zao za Lucifer
 
Sasa ndio watu wanatakiwa kuwakiria hivyo kwamba ni washenzi binafsi na sio kuhusisha vitendo vyao na dini yao.wanatumia mgongo wa dini kuficha maovu yao na bahati mbaya wamefanikiwa kuwapotosha wengi ambao wamekataa kufikiria kwa undani zaidi.
 
This is just a Psychological Warfare to discredit Osama Bin Laden and discourage his followers. They are trying to paint Bin Laden as a hypocrite, a muslim leader who didn't walk the walk. They said they found some Coca cola and pepsi too, while everybody knows that Osama hated the west to the point that he didn't drink Coca cola. So funny, they are fueling the conspiracy theories, people will demand to see the porn movies to see if the actors are white, black or middle east people or maybe they are home-made movies made by Osama himself and his 3 wives!
 
This is just a Psychological Warfare to discredit Osama bin laden and discourage his followers! They are trying to paint Bin Laden as a hypocrite .. a muslim leader who didn't walk the walk! They said they found some Coca cola and pepsi too.. while everybody knows that Osama hated the west to the point that he didn't drink Coca cola! So funny! They are fueling the conspiracy theories .. people will demand to see the porn movies to see if the actors are white, black or middle east people or maybe they are home-made movies made by Osama himself and his 3 wives!

What about the opium/heroin business in Afghanistan?
 
Al Qaeda wanauza Heroin/Opium kule Afghanistan kwaajili ya ku-fund operations zao nayo hiyo mtasema ni propaganda?
Porno, Unga, .....what next? Kumbe hapa hawa jamaa sio hata wacha Mola wana agenda zao za Lucifer
Jamani jamani.
Hivi Al qaeda ni nani? Bofya hapa al Qaeda
Al qaeda na CIA wana uhusiano wa karibu sana kuliko wengi tunavyofikiria. Ni siri iliyowazi, google utaona uhusiano wao.

Marekani baada ya kuingia Afghanistan, opium production imezidi maradufu.
Bofya hapa How Afghanistan Invasion Worked for Opium Production | LFA

AFP: Mexico drug plane used for US 'rendition' flights: report

Unapozungumzia Al qaeda unazungumzia CIA na US gvt. Al qaeda ni chombo kinachotumiwa na US kufanyia ugaidi ili kupata visingizio vya kufanya long term agenda zao.
Kila US anapotaka kwenda kupavuruga, anatumia vikundi hivi anavyovianzisha na kuvitunza hadi pale wanapokuwa tayari kuvitumia kama "kondom".
 
Whatever it is, Al Qaeda and Osama are devils
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom