Orodha ya makabila ya Tanzania

Nimejaribu kuahesabu haya makabila, yako 138. Kwa hiyo, tunaposema makibla zaidi ya 120 si kweli ila ni zaidi ya 130?
Kweli wanadamu waliamua kufikiri!?

"Every to hours America Today child dies of gunshot wound!? "Is scared they what family planning to work or behavior"

Tuendelee kuchezea Label ya "tanzania mpya" na "tanzania ni nchi ya amani"
 
Hii orodha ya makabila ya Tanzania inaweza kuwa na matatizo kwenye majina kadhaa, kwa sababu mbalimbali.

Orodha hii inatokana na orodha ya lugha za Tanzania inayopatikana katika Ethnologue, pamoja na tovuti nyingine Archived 22 Agosti 2006 at the Wayback Machine..

Inawezekana kwamba baadhi ya majina ya makabila ni majina ya lugha au lahaja tu, badala ya makabila, na labda majina mengine yaliandikwa vibaya.

Juu ya hiyo, hakuna ufafanuzi wa wazi kusema kikundi fulani ni kabila au siyo. Vikundi kadhaa katika orodha hii vina wenyeji mamia tu, lakini vikundi vingine vina mamilioni ya watu; labda kila kikundi kinaitwa "kabila," lakini ni jamii za aina tofauti kabisa. Vikundi katika ukurasa huu vimeorodheshwa kuwa vikundi tofauti kutokana na ushahidi kutoka Ethnologue kutofautisha lugha zao.

Hii ni orodha ya makabila ya watu ambao wamekuwa wanaishi tangu zamani katika eneo ambalo sasa linaitwa Tanzania, pamoja na makabila yaliyogawiwa na mipaka baina ya Tanzania na nchi za jirani.

Orodha hii haizingatii makabila yanayoishi katika Tanzania kama wakimbizi tu, hasa kutokana na vita katika nchi za jirani. Vilevile ukurasa huu hauorodheshi vikundi vya wahamiaji kutoka nchi za kigeni, kama wahamiaji au wazao wao kutoka Uarabuni au Uhindi.

Kwa sasa inakadiliwa kuwepo kwa makabila takribani zaidi ya mia moja na ishirini (120) ambayo hupatikana katika mikoa yote ya Tanzania

Wagweno na wapare ni kabila mmoja. Ugweno ni sehemu tu
 
Hebu weka na idadi ya makabila uone Wasukuma walivyo pasua, huenda ikawa idadi sawa na dar + zanzibar
 
Sijaona waarabu, wahindi, watusi, wasomali nk, orodha fanya kui-apdate maana wote tuko nao hapa

Kweli kabisa, maana waarabu wana haki. Wamezaliwa na kukulia huku, so ni watanzania wenzetu pia, au kwa lugha nyingine ni ndugu zetu kamanda
 
Hii orodha ya makabila ya Tanzania inaweza kuwa na matatizo kwenye majina kadhaa, kwa sababu mbalimbali.

Orodha hii inatokana na orodha ya lugha za Tanzania inayopatikana katika Ethnologue, pamoja na tovuti nyingine Archived 22 Agosti 2006 at the Wayback Machine..

Inawezekana kwamba baadhi ya majina ya makabila ni majina ya lugha au lahaja tu, badala ya makabila, na labda majina mengine yaliandikwa vibaya.

Juu ya hiyo, hakuna ufafanuzi wa wazi kusema kikundi fulani ni kabila au siyo. Vikundi kadhaa katika orodha hii vina wenyeji mamia tu, lakini vikundi vingine vina mamilioni ya watu; labda kila kikundi kinaitwa "kabila," lakini ni jamii za aina tofauti kabisa. Vikundi katika ukurasa huu vimeorodheshwa kuwa vikundi tofauti kutokana na ushahidi kutoka Ethnologue kutofautisha lugha zao.

Hii ni orodha ya makabila ya watu ambao wamekuwa wanaishi tangu zamani katika eneo ambalo sasa linaitwa Tanzania, pamoja na makabila yaliyogawiwa na mipaka baina ya Tanzania na nchi za jirani.

Orodha hii haizingatii makabila yanayoishi katika Tanzania kama wakimbizi tu, hasa kutokana na vita katika nchi za jirani. Vilevile ukurasa huu hauorodheshi vikundi vya wahamiaji kutoka nchi za kigeni, kama wahamiaji au wazao wao kutoka Uarabuni au Uhindi.

Kwa sasa inakadiliwa kuwepo kwa makabila takribani zaidi ya mia moja na ishirini (120) ambayo hupatikana katika mikoa yote ya Tanzania

Waware wanapatikana mkoa gani Tanzania
 
Back
Top Bottom