Orodha ya madaktari na maeneo wanayosali/abudu

Hao madaktari waliofanya mgomo ilipaswa wananchi tuchukuwe sheria mkononi tukawape kichapo kama tunavyowapa vibaka. Tukiwatandika wawili watatu wengine watarudi kazini au wataacha kabisa udaktari.

Serikali hawa ndio wakuwashughulikia ipasavyo. Sasa fungeni madai yao yote, wakatafute pa kufanya kazi. Na wote wanaogoma wasiruhusiwe kufanya kazi za udaktari hata private hospitals.

Pamoja na kwamba siungi mkono uamuzi mgumu na wa hatari kwa maisha ya watu uliochukuliwa na madaktari lakini pia nimesikitishwa kwa namna serikali isivyo makini kumaliza tatizo hili.

Mkiwafukuza kama unavyosema mnao wengine wa kuwareplace?

Hakuna short cut katika hili ni muhimu sana serikali kuwa ya kwanza kujali maslahi ya watu wake ili kuepusha madhara ambayo yanaepukika.
 
Wewe ni nyang'au kibaraka wa wahujumu uchumi kama ni kisago tutamuanzishia yule DHAIFU wa pale IKULU ya magogoni nadhani kama mfatiliaji uliona kilichojiri pale MALI soon kitatokea pwani ya kivukoni.
 
Kutokana na mfumo wa nchi hii, wa kuwa ni nchi isiyo na dini lakini watu wake wanadini, na kwamba nikiamini kuwa madaktari karibu wote watakuwa waumini wa dini na madhehebu mbalimbali. Hii inanipa fursa ya kutaka kufahamu kama ni waumini wazuri katika dini zao, kwani hofu yangu ipo katika maeneo yafuatayo;
1.kama watakuwa ni waumini wazuri, kushiriki kuwatesa na kuwasababishia vifo watu wasio na hatia, huku wakifahamu wazi kwamba ni dhambi kutenda matendo kama hayo.
2.Kama kweli ni waumini na wanamwamini mwenyezi Mungu, wao huenda kutubia madhambi gani?
3.Kama wanaishi kwenye jamii ya watanzania na endapo patatokea kifo au msiba unaotokana na mgomo wao, je watashiriki mazishi?
4.Je madaktari hawa tunawahitaji katika dini zetu na madhehebu yatu? akiwa jirani yako ungependa ahame?
5. Je,Tatizo ni kwamba kipato wanachopata kwasasa kinaweza kuwasababishia kifo madaktari ndio maana wanajihami kabla hawajafa na kwamba hakuna njia nyingine wanayoweza kuitumia zaidi ya kuwatesa wananchi na kuwaua ili nawao waweze kuishi.
6.Inavyoonekana wadaktari hawa hawajasoma au kusomeshwa na kodi za wananchi wanaowatesa sasa na kuwauwa, hivyo wanataka kurejeshewa gharaza zao walizotumia wakati wanasoma vyuo.
7.Kwamba kutokana na mateso na vifo vitakavyo tokana na mgomo wao, manufaa na maisha bora yatapatikana na hivyo kuifunza serikali sikunyingine wasiwachezee tena kwani wananchi watakuwa wamekiona chamoto.
8.Kwamba wao hakuzaliwa katika hospitali za watanzania na hawakuhudumiwa na madaktari na wahudumu wengine wa afya, hivyo haiwahusu kuhusiana na maisha ya wananchi wengine.
9.Walimu na watumishi wengine si wamuhimu sana kwani wao wamejifundisha taaluma hizo kwa juhudi zao binafsi, hivyo hakuna haja ya kuangalia uwianao wa kimaslahi,na pia si msingi mkubwa wala sababu ya wao kutopata maisha mazuri.
10.Kuwafunza na kuwapa uzoefu wale wote wanaotaka kusoma basi wachague kuwa madaktari kwani wanaogopwa sana, na wakati unasoma unapewa fedha kama grant 100% na sio mkopo kama wanafunzi wengine

Kutokana na sababu nilizoainisha hapo juu,madaktari kufanya mgomo inapaswa waungwe mkono?njia wanayotumia ni sahii?
MUSSA -0763623082

Na ndo maana nchi hii itaendelea kuwa maskini kwa watu kutotaka kutekeleza wajibu wao kisheria na kutumia busara binafsi,wanayoyadai madaktari ni haki yao na wajibu wa serikali kuyatekeleza, tunapaswa kwanza kuisimamia serikali itimize wajibu wake ndo tuwabane madaktari,lakini sio tuanze kuwabembeleza watufikirie kwa kuangalia maswali hayo. kwa maana hiyo tunahalalisha kutowajibika kwa serikali yetu!
 
Kutokana na mfumo wa nchi hii, wa kuwa ni nchi isiyo na dini lakini watu wake wanadini, na kwamba nikiamini kuwa madaktari karibu wote watakuwa waumini wa dini na madhehebu mbalimbali. Hii inanipa fursa ya kutaka kufahamu kama ni waumini wazuri katika dini zao, kwani hofu yangu ipo katika maeneo yafuatayo;
1.kama watakuwa ni waumini wazuri, kushiriki kuwatesa na kuwasababishia vifo watu wasio na hatia, huku wakifahamu wazi kwamba ni dhambi kutenda matendo kama hayo.
2.Kama kweli ni waumini na wanamwamini mwenyezi Mungu, wao huenda kutubia madhambi gani?
3.Kama wanaishi kwenye jamii ya watanzania na endapo patatokea kifo au msiba unaotokana na mgomo wao, je watashiriki mazishi?
4.Je madaktari hawa tunawahitaji katika dini zetu na madhehebu yatu? akiwa jirani yako ungependa ahame?
5. Je,Tatizo ni kwamba kipato wanachopata kwasasa kinaweza kuwasababishia kifo madaktari ndio maana wanajihami kabla hawajafa na kwamba hakuna njia nyingine wanayoweza kuitumia zaidi ya kuwatesa wananchi na kuwaua ili nawao waweze kuishi.
6.Inavyoonekana wadaktari hawa hawajasoma au kusomeshwa na kodi za wananchi wanaowatesa sasa na kuwauwa, hivyo wanataka kurejeshewa gharaza zao walizotumia wakati wanasoma vyuo.
7.Kwamba kutokana na mateso na vifo vitakavyo tokana na mgomo wao, manufaa na maisha bora yatapatikana na hivyo kuifunza serikali sikunyingine wasiwachezee tena kwani wananchi watakuwa wamekiona chamoto.
8.Kwamba wao hakuzaliwa katika hospitali za watanzania na hawakuhudumiwa na madaktari na wahudumu wengine wa afya, hivyo haiwahusu kuhusiana na maisha ya wananchi wengine.
9.Walimu na watumishi wengine si wamuhimu sana kwani wao wamejifundisha taaluma hizo kwa juhudi zao binafsi, hivyo hakuna haja ya kuangalia uwianao wa kimaslahi,na pia si msingi mkubwa wala sababu ya wao kutopata maisha mazuri.
10.Kuwafunza na kuwapa uzoefu wale wote wanaotaka kusoma basi wachague kuwa madaktari kwani wanaogopwa sana, na wakati unasoma unapewa fedha kama grant 100% na sio mkopo kama wanafunzi wengine

Kutokana na sababu nilizoainisha hapo juu,madaktari kufanya mgomo inapaswa waungwe mkono?njia wanayotumia ni sahii?
MUSSA -0763623082

...mbona madiwani wameongezewa kutoka laki na ishirini mpaka laki 2 na nusu na imepitishwa,kwnn madaktari wacongezewe?...pia ikumbukwe kuwa madai ya madaktari,suala la mshahara ni minor sana,bt serikali inaangalia hilo badala ya kuanhalia madai ya msingi,km vifaa mahospitalini!hizo fedha zinazotumika appolo kwnn zisitumike kununulia vifaa vya kisasa ilihali tunamadaktar bigwa tunao hapa?...naunga mkono hoja ya madaktari
 
Wewe ni nyang'au kibaraka wa wahujumu uchumi kama ni kisago tutamuanzishia yule DHAIFU wa pale IKULU ya magogoni nadhani kama mfatiliaji uliona kilichojiri pale MALI soon kitatokea pwani ya kivukoni.

Wewe nenda kwanza kamalizane na Oginga.
 
Mimi Reagan, sijawhi kuona wala kusikia yafuatayo toka nchi hii ipate uhuru
1) Rais au Makamu wa Rais akitokea kaskazini
2) Mkuu wa majeshi TPDF akitokea uchaggani
3) Waziri mkuu au waziri wa mambo ya nje akitokea kaskazini

Na UVCCM wakakoleza chumvi kwa tamko lao la Kibaha.H uyu chakula maalum cha wakuu wa serikali dhaifu atajibu nini tukisema hoja hizi ni za kupuuza na inabidi wahusika washtakiwe kwa uchochezi na baadhi yao uhaini?

Mchango wa kila mkoa kwa pato la Taifa hauna uwiano kiuongozi maana Pwani wasingakaa watoe hata RC. Lakini hatutaki kujenga hoja kidini, kikabila, kikanda au kijinsia. ccm wamethubutu ktk hayo, hata kwa nafasi muhimu kama spika waliiitumia. CCM need to be ousted soonest

Wafuatao ni mawaziri wakuu kutoka kaskazani!

Cleopa Msuya

Moringe Sokoine

Fredrick Sumaye

Edward Lowassa.

Unaweza akawa na point nzuri sana lakini ukashindwa kuilezea vizuri yaani unakua unajaribu kuelezea jambo ambalo halieleziki vizuri na hivyo wadau wengine wakashindwa kukuelewa unataka kueleza kitu gani!
 
Mafisadi na sehemu wanaposali

Raisi in dhaifu,serikali dhaifu,wabunge wadhaifu,chama ccm kidhaifu unategemea nini,juzi nilimpeleka dogo hospitali ya rufaa akalazwa wodini hawana hata kipimo cha joto
Kazi ya madokii si kusimamia watu wafe ila ni kuponyesha
 
Maneno kama ya mlevi anayetokea kilabuni. Ushapata ulabu eeenh?
Sijatoka club kaka,ni hoja tu na mtazamo.Sio kila unaetofautiana nae mtazamo basi ametoka club.Lakini hata hivyo nashukuru kwani mimi na wewe na wengine kama mimi na wengine kama wewe ndo tunaunda jamii ya watu.
 
Pamoja na kwamba siungi mkono uamuzi mgumu na wa hatari kwa maisha ya watu uliochukuliwa na madaktari lakini pia nimesikitishwa kwa namna serikali isivyo makini kumaliza tatizo hili.

Mkiwafukuza kama unavyosema mnao wengine wa kuwareplace?

Hakuna short cut katika hili ni muhimu sana serikali kuwa ya kwanza kujali maslahi ya watu wake ili kuepusha madhara ambayo yanaepukika.
Tata nyahende umesema kweli,nimemwambia mwana jf mmoja mambo hayo akasema eti nimetoka club,nashukuru umepiga msumari wa kweli. Sasa mula vipi jimboni serengeti 2015,tunaenda,maana pale ndo miongoni mwa nguzo za magamba ktk mkoa wa mara.Kama huna nia basi nipe support.
 
Maneno kama ya mlevi anayetokea kilabuni. Ushapata ulabu eeenh?
Sijatoka club kaka,ni hoja tu na mtazamo.Sio kila unaetofautiana nae mtazamo basi ametoka club.Lakini hata hivyo nashukuru kwani mimi na wewe na wengine kama mimi na wengine kama wewe ndo tunaunda jamii ya watu.
 
Kutokana na mfumo wa nchi hii, wa kuwa ni nchi isiyo na dini lakini watu wake wanadini, na kwamba nikiamini kuwa madaktari karibu wote watakuwa waumini wa dini na madhehebu mbalimbali. Hii inanipa fursa ya kutaka kufahamu kama ni waumini wazuri katika dini zao, kwani hofu yangu ipo katika maeneo yafuatayo;
1.kama watakuwa ni waumini wazuri, kushiriki kuwatesa na kuwasababishia vifo watu wasio na hatia, huku wakifahamu wazi kwamba ni dhambi kutenda matendo kama hayo.
2.Kama kweli ni waumini na wanamwamini mwenyezi Mungu, wao huenda kutubia madhambi gani?
3.Kama wanaishi kwenye jamii ya watanzania na endapo patatokea kifo au msiba unaotokana na mgomo wao, je watashiriki mazishi?
4.Je madaktari hawa tunawahitaji katika dini zetu na madhehebu yatu? akiwa jirani yako ungependa ahame?
5. Je,Tatizo ni kwamba kipato wanachopata kwasasa kinaweza kuwasababishia kifo madaktari ndio maana wanajihami kabla hawajafa na kwamba hakuna njia nyingine wanayoweza kuitumia zaidi ya kuwatesa wananchi na kuwaua ili nawao waweze kuishi.
6.Inavyoonekana wadaktari hawa hawajasoma au kusomeshwa na kodi za wananchi wanaowatesa sasa na kuwauwa, hivyo wanataka kurejeshewa gharaza zao walizotumia wakati wanasoma vyuo.
7.Kwamba kutokana na mateso na vifo vitakavyo tokana na mgomo wao, manufaa na maisha bora yatapatikana na hivyo kuifunza serikali sikunyingine wasiwachezee tena kwani wananchi watakuwa wamekiona chamoto.
8.Kwamba wao hakuzaliwa katika hospitali za watanzania na hawakuhudumiwa na madaktari na wahudumu wengine wa afya, hivyo haiwahusu kuhusiana na maisha ya wananchi wengine.
9.Walimu na watumishi wengine si wamuhimu sana kwani wao wamejifundisha taaluma hizo kwa juhudi zao binafsi, hivyo hakuna haja ya kuangalia uwianao wa kimaslahi,na pia si msingi mkubwa wala sababu ya wao kutopata maisha mazuri.
10.Kuwafunza na kuwapa uzoefu wale wote wanaotaka kusoma basi wachague kuwa madaktari kwani wanaogopwa sana, na wakati unasoma unapewa fedha kama grant 100% na sio mkopo kama wanafunzi wengine

Kutokana na sababu nilizoainisha hapo juu,madaktari kufanya mgomo inapaswa waungwe mkono?njia wanayotumia ni sahii?
MUSSA -0763623082

Kaka sikubaliani na wewe kuwa watu hawa wana dini zao. Hilo si la kweli kwa maana kuwa watanzania wengi wanaishi katika hali ya dhana kuwa wana dini ili hali watu hao kwa matendo yao wanamkana Mungu aliyewaumba. Watanzania wengi ni mafisadi( hapa na Maamnisha kuwa ni watenda dhambi wakubwa kwamba ni mwizi wa kuku, wa fedha za umma, wote ni mafisadi, watanzania wengi ni wazinzi, waasherati, wanafiki wamejaa hadaa na uongo midomoni mwao. Sasa hapa kuna dini kweli ndugu yangu je ni Mungu nyupi anayefurahi watu waishio katika hali hii. Mimi kwa Mtazamo wangu wengi wetu twaaishi kwa unafiki kisa tuna majina yanayoashiria kuwa ati tunadini. Ptuuu upumbavu tu huu wote, so madaktari na wanasiasa wote hawana dini yumkini hata wewe ndugu yangu.
 
Hao madaktari waliofanya mgomo ilipaswa wananchi tuchukuwe sheria mkononi tukawape kichapo kama tunavyowapa vibaka. Tukiwatandika wawili watatu wengine watarudi kazini au wataacha kabisa udaktari.

Serikali hawa ndio wakuwashughulikia ipasavyo. Sasa fungeni madai yao yote, wakatafute pa kufanya kazi. Na wote wanaogoma wasiruhusiwe kufanya kazi za udaktari hata private hospitals.

nadhani jombaa kwa vile haupo kwenye iyo field. ndio maana unaonge jambo usilolijua...
 
Ndugu yangu kinachotusumbua watanzania wengi hatuyajui matatizo halisi ya nchi yetu pendwa Tanganyika na Zanzibari yetu. Watanzania tumekuwa wengi ni mafundi wa kuwaona wenzetu na kubwabwaja kuwa wenzetu ni wakosaji kama wanakinzana na mfumo wetu tunaoufaidi. Maana wenngine wamekuwa ni makuwadi wa watatwana wetu, madaktari wanadai vitu ambavyo ni halisia moja ya madai yao ni kuboreshewa mazingira ya kufanyia kazi. Hao waalimu na wengineo wameshindwa kudai haki zao kwa kuwa wanaona kuwa wao kupewa haki zao ni huruma za mtawala aliyepo.
Ukiangalia tunaona haki zetu ni huruma na watawala hilo si la kweli ndugu yangu.
Ni kweli njia ya mgomo si ya busara sana kuitumia lakini kwa aina hii ya watawala tulionao wa kizazi hiki wanaojiona ni wazalendo, wenye busara, wenye heri, waliojaa kuburi, lazima kuwepo njia ya kuwalazimisha watekeleze wajibu wao wa kikatiba.

Kutokana na mfumo wa nchi hii, wa kuwa ni nchi isiyo na dini lakini watu wake wanadini, na kwamba nikiamini kuwa madaktari karibu wote watakuwa waumini wa dini na madhehebu mbalimbali. Hii inanipa fursa ya kutaka kufahamu kama ni waumini wazuri katika dini zao, kwani hofu yangu ipo katika maeneo yafuatayo;
1.kama watakuwa ni waumini wazuri, kushiriki kuwatesa na kuwasababishia vifo watu wasio na hatia, huku wakifahamu wazi kwamba ni dhambi kutenda matendo kama hayo.
2.Kama kweli ni waumini na wanamwamini mwenyezi Mungu, wao huenda kutubia madhambi gani?
3.Kama wanaishi kwenye jamii ya watanzania na endapo patatokea kifo au msiba unaotokana na mgomo wao, je watashiriki mazishi?
4.Je madaktari hawa tunawahitaji katika dini zetu na madhehebu yatu? akiwa jirani yako ungependa ahame?
5. Je,Tatizo ni kwamba kipato wanachopata kwasasa kinaweza kuwasababishia kifo madaktari ndio maana wanajihami kabla hawajafa na kwamba hakuna njia nyingine wanayoweza kuitumia zaidi ya kuwatesa wananchi na kuwaua ili nawao waweze kuishi.
6.Inavyoonekana wadaktari hawa hawajasoma au kusomeshwa na kodi za wananchi wanaowatesa sasa na kuwauwa, hivyo wanataka kurejeshewa gharaza zao walizotumia wakati wanasoma vyuo.
7.Kwamba kutokana na mateso na vifo vitakavyo tokana na mgomo wao, manufaa na maisha bora yatapatikana na hivyo kuifunza serikali sikunyingine wasiwachezee tena kwani wananchi watakuwa wamekiona chamoto.
8.Kwamba wao hakuzaliwa katika hospitali za watanzania na hawakuhudumiwa na madaktari na wahudumu wengine wa afya, hivyo haiwahusu kuhusiana na maisha ya wananchi wengine.
9.Walimu na watumishi wengine si wamuhimu sana kwani wao wamejifundisha taaluma hizo kwa juhudi zao binafsi, hivyo hakuna haja ya kuangalia uwianao wa kimaslahi,na pia si msingi mkubwa wala sababu ya wao kutopata maisha mazuri.
10.Kuwafunza na kuwapa uzoefu wale wote wanaotaka kusoma basi wachague kuwa madaktari kwani wanaogopwa sana, na wakati unasoma unapewa fedha kama grant 100% na sio mkopo kama wanafunzi wengine

Kutokana na sababu nilizoainisha hapo juu,madaktari kufanya mgomo inapaswa waungwe mkono?njia wanayotumia ni sahii?
MUSSA -0763623082
 
Kwa kweli hawa madaktari hawana ubinadamu na wala hawana hofu ya Mungu hata kiduchu. Wao wanasomeshwa Bure na Serikali bado hata sasa wana mishahara mizuri na marupurupu mazuri kuliko wafanyakazi wengine. Wao wameruhusiwa hata kufungua vibiashara vya Maduka vya madawa na Dispensary mitaani.

Waalimu marupurupu hakuna, hakuna tuition na wafanyakazi wengine kama maafisa misitu hata kuanzisha biashara yenye asili ya misitu na mazao yake hawaruhusiwi.

Sasa hawa madaktari kama wanataka kuanzisha chama cha kisiasa kupingana na serikali ingekuwa vema waende kwa Tendwa ili wakaombe kuliko kujifunika blanketi la Uana harakati za kitaaluma kudai maslahi. wao ni nani katika nchi hii???? wasitake na sisi wa taaluma nyingine tuanze kupambana nao.

Hawa MADAKTARI ni wapuuzi kabisa. Hawafanyi kazi peke yao hapa Tanzania. Wote tunategemeana. Watu wa Tanesco wakigoma wazime mitambo yote? waalimu wagome shule zote zifungwe, Idara ya maji nao wagome kisha hakuna maji mji mzima (Mitambo ) inafungwa nini kingetokea.

Nyie mnaoshabikia upuuzi huu hamjui mnalolifanya fikiria mama yako yuko kitandani Mhimbiri, baba yako mzazi amepata ajali yuko mbeya hospitali, na mchumba wako jana amekufa kwa sababu ya mgomo n.k utaweza kuvumilia upuuzi wanaofanya hawa MADAKITARI. Watanzania acheni kushabikia utashi wa watu wasio na ubinadamu kama hawa.

SIUNGI MKONO MGOMO HUU ASILIMIA 3000
 
ohhhhh My God nakuomba hizi dalili za homa zipotee coz kwa huu mgomo na umaskini wangu wa kutokuwa na uwezo wa kutibiwa kwenye hizo private hospital najua nitafia ndani, siogopi sana kifo but hata maiti yangu itanukia ndani coz hata wataalamu wa mochwali nao wamegoma.......

Jamani madaktari na serikari tuoneeni huruma masikini sisi

Siungi mkono hatua zinazochukuliwa na serikari kutatua hili tatizo na madaktari pia.
 
Zomba kwa kweli nakuunga mkono asilimia zote. Tusiunge mkono wauaji hawa. Hawa ni kuwapa kichapo moja hadi mwingine mpaka waikimbie nchi. Kwanza mbona Watanzania wengine tunaishi kwa mishahara hii ya kawaida. Wanataka kujilinganisha na nchi nyingine ambako wenzao walipata bahati kufanyia kazi. Sasa wasilalie mlango wazi bahati ya watu wengine. Hapa kwetu huo ndio mshahara tunaopewa na turidhike na Umaskini tulionao.

Na huyu aliye commend hapo chini ya message hajui alichoandika msamehe BURE
 
Hao madaktari waliofanya mgomo ilipaswa wananchi tuchukuwe sheria mkononi tukawape kichapo kama tunavyowapa vibaka. Tukiwatandika wawili watatu wengine watarudi kazini au wataacha kabisa udaktari.

Serikali hawa ndio wakuwashughulikia ipasavyo. Sasa fungeni madai yao yote, wakatafute pa kufanya kazi. Na wote wanaogoma wasiruhusiwe kufanya kazi za udaktari hata private hospitals.

Trend kama hii ulikua upande wa madaktari, hapa unageuza ubapa umetumwa nini? . Mpige Rais wako kwanza kabla ya madaktari hawajakuzalisha kwa Biological weapons.
 
Haiingii akilini kwa binaadam yeyote mwenye fikra japo kidogo, eti Serikali wakuchukuwe, wakupige, wakutupe Mabwepande halafu waje haki za binaadam kukuota.
 
Hao madaktari waliofanya mgomo ilipaswa wananchi tuchukuwe sheria mkononi tukawape kichapo kama tunavyowapa vibaka. Tukiwatandika wawili watatu wengine watarudi kazini au wataacha kabisa udaktari.

Serikali hawa ndio wakuwashughulikia ipasavyo. Sasa fungeni madai yao yote, wakatafute pa kufanya kazi. Na wote wanaogoma wasiruhusiwe kufanya kazi za udaktari hata private hospitals.

duh, hii hatari jamani, demokrasia na haki za binadamu iko wapi?
 
Hakiza wagonjwa ziko wapi? umsikitike binaadam mmoja aliyevuna alichokipanda badala ya kuwalilia wanawake wanaopoteza maisha yao na watoto zao kwa kutokuwepo daktari wa kuwahudumia? wazee kwa vijana kwa watoto waliowagonjwa wanapoteza maisha kwa upumbavu wa madaktari ambao madai yao mengi yameshatimizwa tena kwa muda mfupi sana.

Kuweni wa kweli. Muogopeni Mungu. Wagonjwa ni mtihani mkubwa sana, na hawa madaktari kama ilikuwa haja yao ni kipato basi wasingeingia kwenye fani hiyo.
 
Back
Top Bottom