Orodha ya madaktari na maeneo wanayosali/abudu

Hao madaktari waliofanya mgomo ilipaswa wananchi tuchukuwe sheria mkononi tukawape kichapo kama tunavyowapa vibaka. Tukiwatandika wawili watatu wengine watarudi kazini au wataacha kabisa udaktari.

Serikali hawa ndio wakuwashughulikia ipasavyo. Sasa fungeni madai yao yote, wakatafute pa kufanya kazi. Na wote wanaogoma wasiruhusiwe kufanya kazi za udaktari hata private hospitals.

Utakapo amka kutoka kwenye blangeti la ujinga nitaongea nawe, kwa sasa akili yako ni finyu sana huwezi ku'reason' with intellectuals!
 
Maelezo yako mazuri sana. Asante, sasa toa jibu la swali nililouliza. Madaktari wakurudi kwa Rais kuelezea kutokuridhika kwao? Je, Rais aliwajibu nini?

majibu ya rais yako kwenye bajeti ya 2012/13 na majibu ya madakatari ni mgomo unaoendelea!
 
Hao madaktari waliofanya mgomo ilipaswa wananchi tuchukuwe sheria mkononi tukawape kichapo kama tunavyowapa vibaka. Tukiwatandika wawili watatu wengine watarudi kazini au wataacha kabisa udaktari.

Serikali hawa ndio wakuwashughulikia ipasavyo. Sasa fungeni madai yao yote, wakatafute pa kufanya kazi. Na wote wanaogoma wasiruhusiwe kufanya kazi za udaktari hata private hospitals.

Acha kujidhalilisha mtu mzima. Comment yako na ulivyo mtu hawezi kutegemea kama waweza ongea utumbo namna hii
 
Kutokana na mfumo wa nchi hii, wa kuwa ni nchi isiyo na dini lakini watu wake wanadini, na kwamba nikiamini kuwa madaktari karibu wote watakuwa waumini wa dini na madhehebu mbalimbali. Hii inanipa fursa ya kutaka kufahamu kama ni waumini wazuri katika dini zao, kwani hofu yangu ipo katika maeneo yafuatayo;
1.kama watakuwa ni waumini wazuri, kushiriki kuwatesa na kuwasababishia vifo watu wasio na hatia, huku wakifahamu wazi kwamba ni dhambi kutenda matendo kama hayo.
2.Kama kweli ni waumini na wanamwamini mwenyezi Mungu, wao huenda kutubia madhambi gani?
3.Kama wanaishi kwenye jamii ya watanzania na endapo patatokea kifo au msiba unaotokana na mgomo wao, je watashiriki mazishi?
4.Je madaktari hawa tunawahitaji katika dini zetu na madhehebu yatu? akiwa jirani yako ungependa ahame?
5. Je,Tatizo ni kwamba kipato wanachopata kwasasa kinaweza kuwasababishia kifo madaktari ndio maana wanajihami kabla hawajafa na kwamba hakuna njia nyingine wanayoweza kuitumia zaidi ya kuwatesa wananchi na kuwaua ili nawao waweze kuishi.
6.Inavyoonekana wadaktari hawa hawajasoma au kusomeshwa na kodi za wananchi wanaowatesa sasa na kuwauwa, hivyo wanataka kurejeshewa gharaza zao walizotumia wakati wanasoma vyuo.
7.Kwamba kutokana na mateso na vifo vitakavyo tokana na mgomo wao, manufaa na maisha bora yatapatikana na hivyo kuifunza serikali sikunyingine wasiwachezee tena kwani wananchi watakuwa wamekiona chamoto.
8.Kwamba wao hakuzaliwa katika hospitali za watanzania na hawakuhudumiwa na madaktari na wahudumu wengine wa afya, hivyo haiwahusu kuhusiana na maisha ya wananchi wengine.
9.Walimu na watumishi wengine si wamuhimu sana kwani wao wamejifundisha taaluma hizo kwa juhudi zao binafsi, hivyo hakuna haja ya kuangalia uwianao wa kimaslahi,na pia si msingi mkubwa wala sababu ya wao kutopata maisha mazuri.
10.Kuwafunza na kuwapa uzoefu wale wote wanaotaka kusoma basi wachague kuwa madaktari kwani wanaogopwa sana, na wakati unasoma unapewa fedha kama grant 100% na sio mkopo kama wanafunzi wengine

Kutokana na sababu nilizoainisha hapo juu,madaktari kufanya mgomo inapaswa waungwe mkono?njia wanayotumia ni sahii?
MUSSA -0763623082

mtoa mada akili yake ni dhaifu kuliko maelezo, hajui hata chanzo cha tatizo, na hivyo hajui hata utatuzi wake, na kwa kweli huwezi ku'reason' nae kwa ufinyu wa ufahamu wake!
Ni aibu ya wazazi, na familia yake, na taifa kwa ujumla kuwa na mtu mwenye ufinyu mkubwa wa namna hii!
sasa hata ukimshurutisha daktari arudi kazini na hasira, unategemea nini kwa wagonjwa atakao waona! Hicho kichwa kimejaa akili au matope! Kanisani na misikitini wanafundisha kutoa unafiki, na hapa madaktari wameonyesha siyo wanafiki kwa kudai masilahi ya wagonjwa na wao wenyewe!
 
Madaktari wasipo goma Dokta Ndodi, Manyaunyau, Matunge, Tamba na vigagula wengine watakula wapi?
Kutesa kwa zamu
Hao madaktari waliofanya mgomo ilipaswa wananchi tuchukuwe sheria mkononi tukawape kichapo kama tunavyowapa vibaka. Tukiwatandika wawili watatu wengine watarudi kazini au wataacha kabisa udaktari.

Serikali hawa ndio wakuwashughulikia ipasavyo. Sasa fungeni madai yao yote, wakatafute pa kufanya kazi. Na wote wanaogoma wasiruhusiwe kufanya kazi za udaktari hata private hospitals.
 
majibu ya rais yako kwenye bajeti ya 2012/13 na majibu ya madakatari ni mgomo unaoendelea!

Kwa kiasi kikubwa Afrika haiendelei kwa sababu ya jinsi waafrika wanavyofanya maamuzi yao.
 
Kutokana na mfumo wa nchi hii, wa kuwa ni nchi isiyo na dini lakini watu wake wanadini, na kwamba nikiamini kuwa madaktari karibu wote watakuwa waumini wa dini na madhehebu mbalimbali. Hii inanipa fursa ya kutaka kufahamu kama ni waumini wazuri katika dini zao, kwani hofu yangu ipo katika maeneo yafuatayo;
1.kama watakuwa ni waumini wazuri, kushiriki kuwatesa na kuwasababishia vifo watu wasio na hatia, huku wakifahamu wazi kwamba ni dhambi kutenda matendo kama hayo.
2.Kama kweli ni waumini na wanamwamini mwenyezi Mungu, wao huenda kutubia madhambi gani?
3.Kama wanaishi kwenye jamii ya watanzania na endapo patatokea kifo au msiba unaotokana na mgomo wao, je watashiriki mazishi?
4.Je madaktari hawa tunawahitaji katika dini zetu na madhehebu yatu? akiwa jirani yako ungependa ahame?
5. Je,Tatizo ni kwamba kipato wanachopata kwasasa kinaweza kuwasababishia kifo madaktari ndio maana wanajihami kabla hawajafa na kwamba hakuna njia nyingine wanayoweza kuitumia zaidi ya kuwatesa wananchi na kuwaua ili nawao waweze kuishi.
6.Inavyoonekana wadaktari hawa hawajasoma au kusomeshwa na kodi za wananchi wanaowatesa sasa na kuwauwa, hivyo wanataka kurejeshewa gharaza zao walizotumia wakati wanasoma vyuo.
7.Kwamba kutokana na mateso na vifo vitakavyo tokana na mgomo wao, manufaa na maisha bora yatapatikana na hivyo kuifunza serikali sikunyingine wasiwachezee tena kwani wananchi watakuwa wamekiona chamoto.
8.Kwamba wao hakuzaliwa katika hospitali za watanzania na hawakuhudumiwa na madaktari na wahudumu wengine wa afya, hivyo haiwahusu kuhusiana na maisha ya wananchi wengine.
9.Walimu na watumishi wengine si wamuhimu sana kwani wao wamejifundisha taaluma hizo kwa juhudi zao binafsi, hivyo hakuna haja ya kuangalia uwianao wa kimaslahi,na pia si msingi mkubwa wala sababu ya wao kutopata maisha mazuri.
10.Kuwafunza na kuwapa uzoefu wale wote wanaotaka kusoma basi wachague kuwa madaktari kwani wanaogopwa sana, na wakati unasoma unapewa fedha kama grant 100% na sio mkopo kama wanafunzi wengine

Kutokana na sababu nilizoainisha hapo juu,madaktari kufanya mgomo inapaswa waungwe mkono?njia wanayotumia ni sahii?
MUSSA -0763623082

Siyo bure una bonge la issue ww!
Mpira upo kwa serikali, kutatua tatizo au kulikuza kuliko maelezo! Maisha ya wagonjwa yapo mikononi mwa serikali ndiyo iliyo waahidi wananchi maisha bora, siyo madaktari!
 
Kwa kiasi kikubwa Afrika haiendelei kwa sababu ya jinsi waafrika wanavyofanya maamuzi yao.
funguka!wewe ni muafrika na uamuzi wako wa kuitetea serikali isiyojali unarudisha nyuma maendeleo.
 
Kutokana na mfumo wa nchi hii, wa kuwa ni nchi isiyo na dini lakini watu wake wanadini, na kwamba nikiamini kuwa madaktari karibu wote watakuwa waumini wa dini na madhehebu mbalimbali. Hii inanipa fursa ya kutaka kufahamu kama ni waumini wazuri katika dini zao, kwani hofu yangu ipo katika maeneo yafuatayo;
1.kama watakuwa ni waumini wazuri, kushiriki kuwatesa na kuwasababishia vifo watu wasio na hatia, huku wakifahamu wazi kwamba ni dhambi kutenda matendo kama hayo.
2.Kama kweli ni waumini na wanamwamini mwenyezi Mungu, wao huenda kutubia madhambi gani?
3.Kama wanaishi kwenye jamii ya watanzania na endapo patatokea kifo au msiba unaotokana na mgomo wao, je watashiriki mazishi?
4.Je madaktari hawa tunawahitaji katika dini zetu na madhehebu yatu? akiwa jirani yako ungependa ahame?
5. Je,Tatizo ni kwamba kipato wanachopata kwasasa kinaweza kuwasababishia kifo madaktari ndio maana wanajihami kabla hawajafa na kwamba hakuna njia nyingine wanayoweza kuitumia zaidi ya kuwatesa wananchi na kuwaua ili nawao waweze kuishi.
6.Inavyoonekana wadaktari hawa hawajasoma au kusomeshwa na kodi za wananchi wanaowatesa sasa na kuwauwa, hivyo wanataka kurejeshewa gharaza zao walizotumia wakati wanasoma vyuo.
7.Kwamba kutokana na mateso na vifo vitakavyo tokana na mgomo wao, manufaa na maisha bora yatapatikana na hivyo kuifunza serikali sikunyingine wasiwachezee tena kwani wananchi watakuwa wamekiona chamoto.
8.Kwamba wao hakuzaliwa katika hospitali za watanzania na hawakuhudumiwa na madaktari na wahudumu wengine wa afya, hivyo haiwahusu kuhusiana na maisha ya wananchi wengine.
9.Walimu na watumishi wengine si wamuhimu sana kwani wao wamejifundisha taaluma hizo kwa juhudi zao binafsi, hivyo hakuna haja ya kuangalia uwianao wa kimaslahi,na pia si msingi mkubwa wala sababu ya wao kutopata maisha mazuri.
10.Kuwafunza na kuwapa uzoefu wale wote wanaotaka kusoma basi wachague kuwa madaktari kwani wanaogopwa sana, na wakati unasoma unapewa fedha kama grant 100% na sio mkopo kama wanafunzi wengine

Kutokana na sababu nilizoainisha hapo juu,madaktari kufanya mgomo inapaswa waungwe mkono?njia wanayotumia ni sahii?
MUSSA -0763623082

Mkuu huu uzi wako ungekaa vizuri kama ungeuliza kama mafisadi waliosababisha madaktari kufikia hatua hii wana dini au wanasari wapi? Unapoanguka chini si vema kulaumu mahali ulipoangukia bali sehemu iliyokukwaza ukaanguka.
 
Hao madaktari waliofanya mgomo ilipaswa wananchi tuchukuwe sheria mkononi tukawape kichapo kama tunavyowapa vibaka. Tukiwatandika wawili watatu wengine watarudi kazini au wataacha kabisa udaktari.

Serikali hawa ndio wakuwashughulikia ipasavyo. Sasa fungeni madai yao yote, wakatafute pa kufanya kazi. Na wote wanaogoma wasiruhusiwe kufanya kazi za udaktari hata private hospitals.

Hivi zomba, uliambiwa unaumwa ugonjwa gani vlle? Nimesahau.
 
Hao madaktari waliofanya mgomo ilipaswa wananchi tuchukuwe sheria mkononi tukawape kichapo kama tunavyowapa vibaka. Tukiwatandika wawili watatu wengine watarudi kazini au wataacha kabisa udaktari.

Serikali hawa ndio wakuwashughulikia ipasavyo. Sasa fungeni madai yao yote, wakatafute pa kufanya kazi. Na wote wanaogoma wasiruhusiwe kufanya kazi za udaktari hata private hospitals.

Je, tuwafanyeni mafisadi na viongozi wa dola wanaoshindwa kuwawajibisha mafisadi?
 
Mkuu huu uzi wako ungekaa vizuri kama ungeuliza kama mafisadi waliosababisha madaktari kufikia hatua hii wana dini au wanasari wapi? Unapoanguka chini si vema kulaumu mahali ulipoangukia bali sehemu iliyokukwaza ukaanguka.

hata sehemu iliyokukwaza haina kosa, kosa ni lako kwa kutokua makini! Kosa hapa ni la wananchi kwa kuyaweka maisha yao reheni na kuyafanyia majaribio kwa watu dhaifu!
 
Upembuzi wa namna hii huwa nauita upembuzi Dhaifu.

Mgomo wa madaktari ni matokeo si chanzo.
Umejikita kwa nguvu zako zote na ktuwekea hata namba za simu yako huku huna ujuacho.
Mungu unamwamini humjui wala hujawahi kumsikia ila unaiga mkumbo tu. mungu unaye mwomba wewe ni mungu mtu mungu anaye lala usingizi na asiye jua kila kitu. mungu ambaye huwabariki na kuwapa neema wezi namajambazi na kuwapa kibano masikini na wale wasiojiweza kiuchumi. mungu wako ni mshenzi na huenda anatembea uchu na kubaka wanafunzi kwa ujogoo wake. mungu wako anatumia fedha kurubuni waja wake wamwamini na haoni aibu kusema uongo ili kujisetiri na aibu

umejadirimatokeo na kukiacha chanzo kwa sababu ya udhaifu wa kupambanua mambo.
Najua wewe ni dhaifu kama rais wetu na si vema kukuacha uakasambaza virusi vya uadhaifu wako kwa watanzania kadhaa walio na akili tegemezi.

Daktari ni sawa na dereva.
Dereva mzuri akipewa gari zima lisilo namatatizo siku zote ataliendesha salama na kufikisha abiria au mizigo huko iendako salama. Dereva akipewa gari lisilo na starter, betri na matairi mabovu yenye pancha na kuamuriwa kuliendesha salama kisha akaamua kugoma ni uchizi na uhuni kumlaumu dereva. Dakatari anahitaji vifaa ili kuwatibu wagonjwa. Serikali imeshindwa kununua vifaa kwa sababu fungu linalo tengwa kwa ajili ya tiba ni dogo aidha linatumiwa vibaya kwa sabau watendaji huiba fedha ili kujikimu wao na familia zao. Wa kuulizwa kuhusu imani na dini ni watendaji wa serikali si madaktari. Je watendaji wa serikali ya CCM wana dini?? Husikia maumivu pale wasikiapo watu wanakufa kwa ukosefu wa vifaa mahospitalini???

Wewe mwananchi ikoromee serikali ili iwape vifaa madakatari uone kama watagoma.

Tukirudi kwenye mfano wetu wa Dereva. Dereva anayekubali kusafirisha abiria huku akijua wazi kwamba tairi zote za mbele zina dabali na ni kuukuu huyo ni muuaji. Dakatari anayekubali kuendelea kutibu watu huku akiwa hana vifaa muhimu huyo ni muuaji pia.
Waziri au katibu wa wizara mwizi na mbadhirifu wa fungu la tiba pale wizarani ni muuaji na huyu ndiye hasa aliye chanzo cha matatatizo yote ambaye umeshindwa kabisa kumuweka katika picha na kumpa vipande.

Umetumia nguvu nyingi kumlaumu dobi wakati rangi ya kaniki ni nyeusi, weusi wa kaniki si uchafu ni rangi yake tu.

Kutokana na mfumo wa nchi hii, wa kuwa ni nchi isiyo na dini lakini watu wake wanadini, na kwamba nikiamini kuwa madaktari karibu wote watakuwa waumini wa dini na madhehebu mbalimbali. Hii inanipa fursa ya kutaka kufahamu kama ni waumini wazuri katika dini zao, kwani hofu yangu ipo katika maeneo yafuatayo;
1.kama watakuwa ni waumini wazuri, kushiriki kuwatesa na kuwasababishia vifo watu wasio na hatia, huku wakifahamu wazi kwamba ni dhambi kutenda matendo kama hayo.
2.Kama kweli ni waumini na wanamwamini mwenyezi Mungu, wao huenda kutubia madhambi gani?
3.Kama wanaishi kwenye jamii ya watanzania na endapo patatokea kifo au msiba unaotokana na mgomo wao, je watashiriki mazishi?
4.Je madaktari hawa tunawahitaji katika dini zetu na madhehebu yatu? akiwa jirani yako ungependa ahame?
5. Je,Tatizo ni kwamba kipato wanachopata kwasasa kinaweza kuwasababishia kifo madaktari ndio maana wanajihami kabla hawajafa na kwamba hakuna njia nyingine wanayoweza kuitumia zaidi ya kuwatesa wananchi na kuwaua ili nawao waweze kuishi.
6.Inavyoonekana wadaktari hawa hawajasoma au kusomeshwa na kodi za wananchi wanaowatesa sasa na kuwauwa, hivyo wanataka kurejeshewa gharaza zao walizotumia wakati wanasoma vyuo.
7.Kwamba kutokana na mateso na vifo vitakavyo tokana na mgomo wao, manufaa na maisha bora yatapatikana na hivyo kuifunza serikali sikunyingine wasiwachezee tena kwani wananchi watakuwa wamekiona chamoto.
8.Kwamba wao hakuzaliwa katika hospitali za watanzania na hawakuhudumiwa na madaktari na wahudumu wengine wa afya, hivyo haiwahusu kuhusiana na maisha ya wananchi wengine.
9.Walimu na watumishi wengine si wamuhimu sana kwani wao wamejifundisha taaluma hizo kwa juhudi zao binafsi, hivyo hakuna haja ya kuangalia uwianao wa kimaslahi,na pia si msingi mkubwa wala sababu ya wao kutopata maisha mazuri.
10.Kuwafunza na kuwapa uzoefu wale wote wanaotaka kusoma basi wachague kuwa madaktari kwani wanaogopwa sana, na wakati unasoma unapewa fedha kama grant 100% na sio mkopo kama wanafunzi wengine

Kutokana na sababu nilizoainisha hapo juu,madaktari kufanya mgomo inapaswa waungwe mkono?njia wanayotumia ni sahii?
MUSSA -0763623082
 
Kaka yangu Mussa,njia waliotumia madaktari ni sahihi na nawaunga mkono kwa sababu zifuatazo 1) Whether kuna mgomo au la,watu hufa mahospitalini
2)Umejikita katika maslahi hasa mishahara,nataka nikwambie habari za mishahara na posho ni sehemu tu
ndogo ya madai yao,kikubwa ni vifaa kwa ajiri ya huduma wanayotoa.Na hili si kwa faida yao ni kwa ajiri
yawananchi

3)Madaktari wana uchungu na wagonjwa kuliko serikali,hii inathibitishwa na ahadi za serikali kwa madaktari
zisizotekelezeka.Kama serikali ina uchungu na wananchi wake kwanini isitekeleze makubaliano?
4)Ni dhahili kabisa kwamba kwa kazi wanazofanya madaktari na mishahara yao haviendani,ukizingatia
wabunge wanasinzia tu bungeni na kuondoka na 10 m kwa mwezi.
Mwisho nirudie kuwapongeza madaktari kwa kugoma,lakini pia nitumie fursa hii kuelekeza lawama zangu kwa serikali kwa kutoonyesha nia ya kweli ya kuokoa maisha ya watanzania maskini.Kweli nimeamini aliyeshiba hamjui mwenye njaa,familia za viongozi zinatibiwa nje ya nchi na hivyo hawaoni umuhimu wa kuboresha hospitali zetu.
Maneno kama ya mlevi anayetokea kilabuni. Ushapata ulabu eeenh?
 
Upembuzi wa namna hii huwa nauita upembuzi Dhaifu.

Mgomo wa madaktari ni matokeo si chanzo.
Umejikita kwa nguvu zako zote na ktuwekea hata namba za simu yako huku huna ujuacho.
Mungu unamwamini humjui wala hujawahi kumsikia ila unaiga mkumbo tu. mungu unaye mwomba wewe ni mungu mtu mungu anaye lala usingizi na asiye jua kila kitu. mungu ambaye huwabariki na kuwapa neema wezi namajambazi na kuwapa kibano masikini na wale wasiojiweza kiuchumi. mungu wako ni mshenzi na huenda anatembea uchu na kubaka wanafunzi kwa ujogoo wake. mungu wako anatumia fedha kurubuni waja wake wamwamini na haoni aibu kusema uongo ili kujisetiri na aibu

umejadirimatokeo na kukiacha chanzo kwa sababu ya udhaifu wa kupambanua mambo.
Najua wewe ni dhaifu kama rais wetu na si vema kukuacha uakasambaza virusi vya uadhaifu wako kwa watanzania kadhaa walio na akili tegemezi.

Daktari ni sawa na dereva.
Dereva mzuri akipewa gari zima lisilo namatatizo siku zote ataliendesha salama na kufikisha abiria au mizigo huko iendako salama. Dereva akipewa gari lisilo na starter, betri na matairi mabovu yenye pancha na kuamuriwa kuliendesha salama kisha akaamua kugoma ni uchizi na uhuni kumlaumu dereva. Dakatari anahitaji vifaa ili kuwatibu wagonjwa. Serikali imeshindwa kununua vifaa kwa sababu fungu linalo tengwa kwa ajili ya tiba ni dogo aidha linatumiwa vibaya kwa sabau watendaji huiba fedha ili kujikimu wao na familia zao. Wa kuulizwa kuhusu imani na dini ni watendaji wa serikali si madaktari. Je watendaji wa serikali ya CCM wana dini?? Husikia maumivu pale wasikiapo watu wanakufa kwa ukosefu wa vifaa mahospitalini???

Wewe mwananchi ikoromee serikali ili iwape vifaa madakatari uone kama watagoma.

Tukirudi kwenye mfano wetu wa Dereva. Dereva anayekubali kusafirisha abiria huku akijua wazi kwamba tairi zote za mbele zina dabali na ni kuukuu huyo ni muuaji. Dakatari anayekubali kuendelea kutibu watu huku akiwa hana vifaa muhimu huyo ni muuaji pia.
Waziri au katibu wa wizara mwizi na mbadhirifu wa fungu la tiba pale wizarani ni muuaji na huyu ndiye hasa aliye chanzo cha matatatizo yote ambaye umeshindwa kabisa kumuweka katika picha na kumpa vipande.

Umetumia nguvu nyingi kumlaumu dobi wakati rangi ya kaniki ni nyeusi, weusi wa kaniki si uchafu ni rangi yake tu.
Leo ulivuta misokoto mingapi vile?
 
Hao madaktari waliofanya mgomo ilipaswa wananchi tuchukuwe sheria mkononi tukawape kichapo kama tunavyowapa vibaka. Tukiwatandika wawili watatu wengine watarudi kazini au wataacha kabisa udaktari.

Serikali hawa ndio wakuwashughulikia ipasavyo. Sasa fungeni madai yao yote, wakatafute pa kufanya kazi. Na wote wanaogoma wasiruhusiwe kufanya kazi za udaktari hata private hospitals.
kachokue posho ..siku imeshapita
 
FRESH NEWS: UKWELI KUHUSU MGOMO WA MADAKTARI.

Leo ningependa turudi jamvini kujadili kidogo kuhusu huu mgomo wetu, awali katika sehemu ya kwanza ya mada hii, nilijaribu kuainisha madai yetu, makubaliano na kuacha kwako mwanya wa kufikiri utendaji wa serikali yetu "SIKIVU" ilivyo na inavyofanya hadi sasa (kama hukubahatika kusoma hebu itafute facebook na Jamii forum ili upitishe macho KIDOGO TU ikiwa na thread title UKWELI KUHUSU MGOMO WA MADAKTARI)..leo nilifikiri si vibaya tukijadili kuhusu madhara ya mgomo huu.

HALI HALISI HOSPITALINI:

Hospitali ya Taifa Muhimbili, Ocean Road Institute, Temeke, Mwananyamala, Amana, Bugando, Mbeya, KCMC, ST.Francis, Haydom, Dodoma n.k. huku kote hakuna kinachoendelea..madakatari kwa maana ya General practitioner na Specialist, sio Assistant Medical Officer,AMO( KWANI KUNA UTOFAUTI KATI YA NGAZI ZA UDAKTARI KUTOKANA NA KISOMO/ELIMU-nisingependa kwenda katika hili) .. Hii ni TOTAL TOOLS DOWN,(TTD), episode III..

Kama tulivyosema awali hatudai posho, na ongezeko la mishahara tu(hii si priority hata katika madai), ila eti kulingana na majibu ya serikali, tutegemee madai hayo katika next next fiscal year(2013/2014) lakini hebu jiulize

1. Madai ya madaktari yalianza lini?

2. Madiwani waligoma ama kudai mshahara/posho lini??!

3. Priority ya Taifa ni wananchi(kupitia madai ya madaktari) au viongozi(kupitia posho mpya za madiwani zilizotangazwa Bungeni)?

4. Nyongeza ya posho ya madiwani imetokea wapi?? ilipangwa katika bajeti?
5. Viongozi au wananchi hamuoni haya??

SISEMI TUNAHITAJI MISHAHARA YETU ILINGANE NA WABUNGE, MAWAZIRI, WAFANYAKAZI WA TRA, BOT, n.k..LA HASHA!! ILA UNAPODAI MAZINGIRA BORA YA KAZI, NYONGEZA YA MSHAHARA,POSHO NA UNAPEWA MAJIBU YA DHARAU,.. NA WENGINE KAMA VIONGOZI KUJIONGEZEA(during the same period of our claims), HAPO NDIPO COMPARISON INAPOTOKEA, NA KULAZIMISHA TUFANANE NA NYIE!!

Katika hospitali tajwa hapo juu, Wakurugenzi, wakuu wa idara wamekuwa wakifanya vikao na kulipwa 50,000/=TSHS@SIKU toka mgomo kuanza 23.06.2012.., Je, wananchi mnayajua haya? Jiulize kuna idara ngapi katika hospitali hizi? Nani anayetoa pesa hizi? Zitatoka hadi lini? Lengo kuu ni kushawishi, kushurutisha madaktari turudi kazini… !!

VYOMBO VYA HABARI:

Katika "episode" mbili za "series" yetu hii ya Mgomo wa Madaktari, vyombo vya habari vilianza kuripoti kuwa hakuna migomo, hadi pale watu wa HAKI ZA BINADAMU walipoingilia kati!!

Nasikititishwa sana na Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), kutotoa taarifa halisi wakati watu wanazidi kupoteza maisha, kweli hawaoni? Hawajui au wanapuuzia?
Halafu mnatuita madaktari si wazalendo? KWELI?? Napata shida sana kuelewa inakuwaje watanzania wanaumia na viongozi kutotilia maanani madai yetu, ni kweli uhai wa mtu hauwekwi rehani lakini hatukuingia katika mgomo huu kwa kuweka maisha ya watanzania wenzetu katika mizani, na ndio maana muda wa mazungumzo ulikuwepo na hata kabla ya mgomo, muda wa wiki mbili ulitosha kujipanga, kwamba kama Serikali ikishindwa kutekeleza madai, AU kuonyesha njia mbadala ya kuyatatua basi ijipange kuhudumia wananchi.
Kama leo hii tunaangalia luninga(TV-mfano Mh. W/Afya pale Star TV kukimbia), tunasikiliza redio lakini mambo yanayofanya na serikali ni haya, umekwisha jiuliza ingekuwaje, ama Serikali yetu ingetutendea nini kama tungekuwa hatuwaoni wanachofanya pale Bungeni(Mfano Takwimu za uongo), na kwingineko? Hali hii itaendelea hadi lini?

MKAKATI:

Usalama wa taifa wako kila hospitali, swali ni hili

1. Ni usalama wa Taifa au wa chama tawala?

2. Wanatumia pesa ya nani?

3. Last ‘episode" walileta wanajeshi,

KAMA MADAI YA MADAKTARI SI YA MSINGI NA SERIKALI IKO SAHIHI KWANINI WANAJESHI HAWAJATOA HUDUMA KAMA WALIVYOTOA HAPO MWANZO??

KWANINI HAWAKUWA TAYARI HATA WALIPOOMBWA KUFANYA KAZI MNAYYOIITA KAZI YA WITO????

MAKOLIGI (colleague)??

Ni lini wananchi waliingia mkataba na sisi juu ya afya zao??sasa mbona wanatulalamikia na kutushambulia??..nadhani wananchi mnakosea kidogo, dhamana ya afya zenu ni kwa hiyo serikali "sikivu", hivyo lawama, maombi, na hisia zote pelekeni huko….ila sisi kurudi ni hadi pale madai yataposikilizwa, this time si kwenda kazini halafu yafanyiwe kazi? HAPANA..HII IELEWEKE VIZURI..HATUDANGANYIKI… hadi yafanyiwe kazi na kuthibitishwa au njia mbadala.

Najua wanasema when you get in a fight you should dig, two graves but I guess you should not fight with someone who has NOTHING to loose,.. We either overestimated the power of Government's responsibility or They(Government) underestimated our power, and I really doubt of the latter because they KNOW they cant stop us.. you cant stop what you cant catch, because the more they will push us the worse this is going to get…
..Solidarity forever..
 
Back
Top Bottom