LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 13,944
- 19,167
duh! Mpaka kwa christina shusho? Washua hamuogopi watumishi wa mungu?1. Christina Shusho
2. Tima wa Huba.
Hao wanatoshaaaaa!!
duh! Mpaka kwa christina shusho? Washua hamuogopi watumishi wa mungu?1. Christina Shusho
2. Tima wa Huba.
Hao wanatoshaaaaa!!
Kwani wanapotongoza avatar hapa jf huwa unaona wapo sawa?Leo ndio nimeamini wanaume mwamatatizo ya akili poleni 😔 sana
Hautaki ama
Nilihisi hivyo ila leo ndio nme appreciate 🤭Kwani wanapotongoza avatar hapa jf huwa unaona wapo sawa?
Sio ajabu hata hiyo picha yako kuna mjuba huwa anaikula kwa macho🤣
Analiwa...🙊Dah; siku zote tunajua wewe ni jike! Nimeshangaa sana kwa uzi wako huu.
Bro, kuna ujumbe wako muhimu sana nimekutumia PM..🤨Nilihisi hivyo ila leo ndio nme appreciate 🤭
Ohhhooo....Jokate Mwegelo
Najuaga unapenda nyama nyamaHautaki ama
itakuwa ww n mtoto wa miaka ya 2000kibongo bongo,
1.mimi mars
2.getrude mwita
Sio mimi jamani 😂
Bro!!!!!???? 😭Bro,
Hahaha...ule usemi wa " usiogope ukubwa wa samaki,uliza bei"Bado unaweza kuwala mkuu. Ushiishie tu kuwala kwa macho
Ndio weweSio mimi jamani 😂
We ni Ancestor na inaonekana unapenda sana nyama nyama....vp kuhusu Nina hukumla kwa macho kweli????Kila rijali huwa kuna mwanamke maarufu anayemhusudu ila ndo hivyo huishia kumtafuna kimoyomoyo kutokana na kutokuwepo kwa nafasi ya kuweza kumpata. Ifuatayo ni orodha tukufu ya wanawake maarufu niliowahi kuwala kwa macho. Nitaanzia wale wakongwe hadi hawa wa sasa.
1. Miriam Odemba
Huyu manzi kwa mara ya kwanza nilimuona kwenye tangazo la lotion ambalo jina sikumbuki. Ilikuwa mwaka 1998. Hapo nilikuwa shule ya msingi. Nilipoingia sekondari nikawa simsikii tena.
2. Nora
Huyu mwigizaji nikiwa form one ndo alianza kuvuma akawa anaandikwa sana magazetini. Wakati nikiendelea kumtafuna kwa macho ikatangazwa kuwa kaolewa na mtu aitwaye Ngwizukulu Jilala. Mke wa mtu ni sumu.
3. Sinta
Huyu naye kavuma sana nyakati hizohizo kama za Nora. Msanii Juma Nature alituwakilisha vijana wote kwenye kulifaidi penzi la huyu mtoto mzuri.
4. Kemy
Huyu dada mwigizaji alikuwa anaonekana kama umri umesogea ila mimi haikujalisha. Nilimtaka na huo umri wake.
5. Irene Uwoya
Kwa kumbukumbu zangu mwaka 2004 hadi 2006 nilikuwa bize sana na msuli wa PCM hivyo nikajikuta mambo ya kipuuzi nimepunguza sana. Lakini 2006 kina Uwoya na wenzake walianza kuvuma. Nikajikuta nae nimemtamani ila mchezaji Ndikumana ndo akawa mshindi wa jumla baada ya kumuoa.
6. Wema
Huyu mwanzoni hakunivutia ila alivyoanza kufungasha ile tandam nikanasa.
7. Waziri Kariuki
Huyu mwanamama ni mzuri kinoma. Inagwa umri kanizidi ila anawafunika hadi watoto wa 2000.
Huo msemo uchukulie kwa upana sio kwa urefuHahaha...ule usemi wa " usiogope ukubwa wa samaki,uliza bei"
😂😂😂Rose ndauka nilibandikaga picha lake magetoni siku nikiwa na kipururu sina manzi nampigia nyeto