KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,711
- 12,067
Mwanzoni mwa mwaka huu, Mtabiri Maarufu Duniani, Africa Mashariki na kati,kusini mwa janqwa la sahara na America Shekh yahaya Husein aliwatabiria laivu wasanii wa original komedi ya tbc1 kuwa, kabla ya mwaka huu kuisha, wasanii watatu watafanikiwa kuowa wazungu.
Ikumbukwe kipindi hicho cha januari mwaka huu,,original komedi hasa Mpoki alikua na segmenti ya kuigiza na akina dada wa kizungu.
Imebaki takribani wiki 3 sasa ndoto kutimia,, tuendelee kusubiri,,subira yavuta heri.