Original Komedy na ishu ya Kuoa Wazungu

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,713
12,063
Mwanzoni mwa mwaka huu, Mtabiri Maarufu Duniani, Africa Mashariki na kati,kusini mwa janqwa la sahara na America Shekh yahaya Husein aliwatabiria laivu wasanii wa original komedi ya tbc1 kuwa, kabla ya mwaka huu kuisha, wasanii watatu watafanikiwa kuowa wazungu.

Ikumbukwe kipindi hicho cha januari mwaka huu,,original komedi hasa Mpoki alikua na segmenti ya kuigiza na akina dada wa kizungu.

Imebaki takribani wiki 3 sasa ndoto kutimia,, tuendelee kusubiri,,subira yavuta heri.
 
hivi ww unamsikiliza yahaya we subiri kamaajakwambia kuna wenye majina kama hayo wameoa wazungu majina yaliingiliana
 
Huyu sheikh ni mwehu kabisa,kila nachotabiri kinakuwa vice versa, akitabiri mvua itanyesha ujue jua ndio litawaka sana, akisema flani atakufa ujue mungu ndio atampa uhai sana huyo mtu.
 
Tayari Mpoki ameshaoa na mke wake ni mmatumbi.
huyu nyegerea waitu sijui katumwa na nani kuvunja ndoa za watu we wazungu unaona diili kaza msuli nenda udsm uone wanavyopigika bila kuhonga..pole kama uliacha kuwapitia ulipokuwa hapo..awana mpya tena watakutesa ;yaonekana ujui awa vijana wameoa na wengine wana kamba ndefu tu hata mzungu aingii walivyowapanga tena ukimwona utahisi mdogo alivyoipanga list hataari...anyway matapeli wa mjini kama sheikh yahya usiwaamini sana ndugu
 
Ninachojua wasipooa hao wazungu hakosi sababu. Isipotokea atasema mke mweupe ni sawa na mzungu.
 
Mwaka ukifika mwisho halafu kama hawaja oa wazuungu atakuja kutudanganya kuwa wake zao wana tabia za kizungu...Mjinga huyu na tapeli
 
Mwanzoni mwa mwaka huu, Mtabiri Maarufu Duniani, Africa Mashariki na kati,kusini mwa janqwa la sahara na America Shekh yahaya Husein aliwatabiria laivu wasanii wa original komedi ya tbc1 kuwa, kabla ya mwaka huu kuisha, wasanii watatu watafanikiwa kuowa wazungu.

Ikumbukwe kipindi hicho cha januari mwaka huu,,original komedi hasa Mpoki alikua na segmenti ya kuigiza na akina dada wa kizungu.

Imebaki takribani wiki 3 sasa ndoto kutimia,, tuendelee kusubiri,,subira yavuta heri.

hiyo kwenye blue inachefua sana. Do please apologise.
 
Huyu mzee MSHAMBA hivi kaona kuoa mzungu ni dili? Wazungu wapo huku tuliko na tunawamega mbaya na ukitaka kujua kwamba wazungu si ishu nenda zenji uone wamasai na watoto wa kipemba wanavyowamega kisa wanawasuka au wanawapa bangi wakilewa kiulainiiii jamaa wanakula tunda au nenda bwawani uone tsh 5000/= unakula hadi tigo, nini mzungu bana k zao baridi mbya na mauno hawajui ila mbongo ni ishu.
 
Yahaya is very technical when things turn the other way round. Atawaabia hata mke mweupe ni sawa na mzungu
 
haa mpaka sasa bado wamwami huyu!
kama alishawahi kutabi ukweli labda kabla ya mi kuanza kumsikia huyu alitabiri osama atakamatwa na usa wapi
kuhusu kuhsu hawa mabwana atakuja na bongo la fix only time will tell.
 
yaani watu bado mnaleta habari za huyu ajenti wa kuzimu..agahhhhhhhhhhhhhhhh
 
Ukmwamin jamaa anaweza kutabir kuwa mkeo atakudai talaka mwez wa 2, jumapili, saa 2, wakat umekula maandaz mawili!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom