Original Commedy yaivua nguo CHADEMA!

Original Commedy yaivua nguo CHADEMA!

Yap nimeliona hiyo komedi yao iliyomzungumzia Mguu na Nyepesi ila umesahau kwamba Masanja alisema Chadema ni chama kinachoaminiwa na watanzania
 
Teh teh teh teeh.... Division 5 oyeeeee!!

Wewe jamaa bado sana vijana wengi wanaoshabikia chadema ndio dv5 hakuna kijana msomi anayewekwa barabarani kutetea uzinzi wa mbowe na wenzake ccm hatuandamani kwa ajili ya ugali wa watu huyo mbowe kacheo kadogo kaanza kuzini nje ya ndoa akiwa rahisi tunaweza kumwita mh raisi? Nani atakua first lady wa mbowe au silaa? Viongozi wa chadema vipi? Mbona fani zenu ni wanawake tu katibu mkuu kaiba mke wa mtu huyu kaiba mbinge hao wote ni db ngapi?
jipangeee mazee
 
Hivi kumbe kuna watu bado wanaangalia vituko vya akina Masanja?
 
Hovyo mwenyewe usiejitambua na bado mtaandamana mpaka visigino viishe, wenzenu wanakula raha madubai huko.

Vijana wote wa ccm ni ma stage show, hivi kinana anawalipa bei gani au kiwango nikilekile cha buk 7 lumumba? Mwombeni awaongeze kdg angalau buk 10 italipa kdg na mnavyojua kukatika dah c mchezo hivi mazoezi mnafanyiaga wapi
 
Mbowe anawashikisha adabu kweli kweli

Unapomharibia mtu kwa Private life yake haipendezi. Mkianza kubebea bango visa vya Uzinifu vya wanasiasa na viongozi wake kwa waume ni wachache watabaki. Acheni ni hizo story Jadili uwezo utendaji ndio jamii inahitaji
 
Kumbe Vichekesho vya Masanja? Alaf vnarushwa TBCcm? Hamna jipya, ulicheka imetosha. Nenda kalale.
 
Umeeleza vizuri kuwa "...Wameigiza...." uzuri wa maigizo hubaki kuwa igizo, wakumbushe wiki ijayo waigize namna wananchi wanapo nunua umeme wa elfu10 nyuso zao zinaonekanaje halafu igizo hilo lisome uhalisia.

Una AKILI sana wewe Mohammed Mtoi, waigize na oparesheni TOKOMEZA watu walivyovunjiwa haki zao.
 
Elewa maana halisi ya ujumbe unaotolewa. The Commedy ni kweli wanaigiza au wanachekesha lakini kwenye maigizo kuna ujumbe ambao mwenye akili za kawaida tu anaweza kujifunza. The Commedy ni kama kibao cha barabarani kinachonyesha alama za barabarani. Kinakuonyeha mbele kuna kona. Ni juu yako kukata kona au kunyosha kusiko na barabara. Yatakayotokea utayajua baadaye. Kibao hakijengi kona, kinawekwa baada ya kukamilika kwa ujenzi wa barabara. Wanayosema The Commedy ni matendo yaliyo asisiwa na CDM. Kama wanayajua matokeo au hawayajui hi sio suala la the Commedy. Kama wanayoyasema the commedy yatatokea kweli au la ni swala muda. Tusubiri ya nini kuandikia mate ili hali winu upo!
Ukweli mchungu kwa chama cha siasa kuuwawa kwa igizo la ze comedy?! you cant be serious!
 
Umeeleza vizuri kuwa "...Wameigiza...." uzuri wa maigizo hubaki kuwa igizo, wakumbushe wiki ijayo waigize namna wananchi wanapo nunua umeme wa elfu10 nyuso zao zinaonekanaje halafu igizo hilo lisome uhalisia.

Au waigize wanasoma kwenye madarasa kama haya
ImageUploadedByJamiiForums1389895352.852312.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1389895445.253704.jpg
View attachment 132737
 
Umeeleza vizuri kuwa "...Wameigiza...." uzuri wa maigizo hubaki kuwa igizo, wakumbushe wiki ijayo waigize namna wananchi wanapo nunua umeme wa elfu10 nyuso zao zinaonekanaje halafu igizo hilo lisome uhalisia.

Subutu! labda wakaigizie Tv nyingine sio hii ya serikali! hahaha
 
Kweli Watanzania hovyo yaani wanasema the comedy wameigiza kufa kwa Chadema lol na mtu huyo ati kapoteza muda wa kuandika na kasema wameigiza i mean wameigiza kwa hiyo kuigiza yaani wameigiza
 
Back
Top Bottom