Original Commedy yaivua nguo CHADEMA!

Original Commedy yaivua nguo CHADEMA!

cdm kwishaa kabisa

CDM c ice cream,ina misingi Imara ambayo kwa wenye roho nyepesi Kama wewe utaona inakwisha,Jiangalie maisha yako Binafsi kipi ambacho mpaka sasa umeweza kufanikisha,hujitambui thus why kila jambo u take it easy,just thick big and positive,Jaribu kurudi darasani Na usome principle of rebellation and revulution
 

Haswa wangeigiza haya yanayohusiana na maisha ya kila siku ya Mwananchi masikini,angalao tungewaelewa kwa kiasi fulani.

Je ugomvi wa Zitto na Chadema ndio chanzo cha haya tunayoyaona leo? Je ugomvi wa Zitto na Chadema ndio sababu ya kupanda kwa umeme??

Jibu ni hapana! Basi tuwache siasa nyepesi au majibu mepesi kwa maswali magumu. Km tungekuwa tunajadili mambo ya msingi kwa taifa hili na kuwacha kujadili mambo ya mambo ya Ndoa za watu,nadhani nchi hii ingekuwa mbali kuliko hata Dubai.
 
Yani katika vinega ni masanja manjiiiiiii
 
Ukweli mchungu kwa chama cha siasa kuuwawa kwa igizo la ze comedy?! you cant be serious!

Its like saying the true Nyerere will one day come back just because Stive Nyerere act like true Nyerere who RIP 1999.

What a silly argument!

Ull be better politician if u join NCCR....over there(CDM).... I dont think if you can have chance to prosper
 
wale majuha nao huwa wanajitia kujua wakati wapo pale kuganga njaa tu,kuna mwingine yule Mgaya ameamua amfanyie sanaa Mungu,eti nae ni mchungaji! ha ha haaa! yaan sanaa yao imepita adabu! subiri tu,utaskia JOti anataka ubunge kwa tiketi ya ccm!
 
Ze original comedy mbona ni kikundi cha vichekesho cha ccm kilichonunuliwa na Manji..sasa hivi hakina deal tena,
 
Wameigiza ugomvi wa Zitto na Mbowe!

" msiporekebisha magomvi yenu mtasoma namba za tawala mpaka mna rest in peace!" Masanja Mkandamizaji

Rubbishh...Siku nyingine utuletee nyuzi zenye tija kwa watanzania.Kama binadamu we agree to disagree.Swala la chadema waachie viongozi wa chadema.
 
He is doing good. what about you PHD - Pure head damage.

Hapo ndio namkumbuka Regia Mtema (RIP) kwa kauli yake ya hizi PHD za siku hizi hakuna tofauti na undergraduate baadhi ya PHD holder feki bungeni wakamzomea! Usishangae huyo jamaa ni PHD holder kweli.
 
Hawa mabwana ni tbc ccm yani kunamambo mengisana ya kukemea kuhusu serikari yetu. Lakini kutokana na kuwa namkataba na tbc sasa hivi watu kipindi chao wameanza kukikimbia hakina mvuto tena watu hawaangalii tbc kwasababu wanajua hawa hawana jipiya mambo yanayo husu jamii hawawezi kuonyesha wanaogopa kufukuzwa. Sasa wanapo cheza kutuonyesha mambo ya siasa sisi yanatuhusu nini wakati kunawatu wanazulumiwa aridhi wanzurumiwa majumbambona hawaonyeshi kama walivyokuwa chaneli 5 ? Walikuwa wanakemea serikali wazi wazi
 
Mkuu hujaanza kuona aibu kuendelea kubaki kwenye chama kisicho na mwelekeo wowote kwa nini usihamie chauma.

Chauma nicha wasaliti na kile kingine cha ACT eti wanasema kimeanzishwa ili kiibomoe Chadema!! Sio kisolve matatizo ya watanzania na kuwatoa kwenye tope lililotopea kwa ma ccm.

Tanzania haiishi vituko! watu wameuwawa kwenye operation tokomeza, umeme umepanda, huduma duni kwenye afya na elimu badala ya kutafuta mbadala wa haya matatizo eti chama kingene kinaanzishwa ili kiuue kigine kikubwa cha upinzani!! Halafu nfip matatizo yataisha au?!!
 
pia next week wasisahau kuigiza wale wazee wawili(makada wa CCM) niliowaona ktk taarifa ya habari ya saa 2 usiku.wanalalamika kutishwa na wana CCM wenzao kwa kisa tu cha ku-declare kumuunga EL ktk harakati zake za kuusaka uraisi 2015.
 
Hiyo bwana hao hawana ujanja huo wa kuwaigiza unataka eafukuzwe? Huo ujanja walikuwa nao walipokuwa chaneli5 waliweza kuwaiga mpaka wakina mrema, komba nawatu wengine vile vile serikari ikikosea walikuwa wakitionyesha wayu waliwapenda sana kwa hilo sio walipenda vichekesho vyao lakini sasa nataka kuwaambia wamepoteza umaalifu
 
Wameigiza ugomvi wa Zitto na Mbowe!

" msiporekebisha magomvi yenu mtasoma namba za tawala mpaka mna rest in peace!" Masanja Mkandamizaji

leo umeongeza post nyingine ila thread yako ni pumba tu jipange uje tena
 
kwan kusema ukwel nkuvuana nguo achen kupotosha mchungaj masanja uko sawa
 
Back
Top Bottom