Wameigiza ugomvi wa Zitto na Mbowe!
" msiporekebisha magomvi yenu mtasoma namba za tawala mpaka mna rest in peace!" Masanja Mkandamizaji

Vijana wanaojitambua wote huwa tupo ccm huo ndio ukweli iseee.
waende zao wamemtoa kafara mwenzao mpaka leo hasimami ni wakulala tu kule kigamboni, wao wanapiga madili ya madawa, mc na indigo.
Ukweli mchungu kwa chama cha siasa kuuwawa kwa igizo la ze comedy?! you cant be serious!
waende zao wamemtoa kafara mwenzao mpaka leo hasimami ni wakulala tu kule kigamboni, wao wanapiga madili ya madawa, mc na indigo.
Vijana wanaojitambua wote huwa tupo ccm huo ndio ukweli iseee.
Vijana wanaojitambua wote huwa tupo ccm huo ndio ukweli iseee.
Labda vijana mamburula wasiojitambua lakini sio sisi ambao tumesoma na kuelimika. Si ndonyie mnaofanywa misukule na viongozi wenu wa chama kwa kuwachezea ngoma mnakatika viuno huku wenzenu wakiwasanifu hovyo kabisa
Nani kakudanganya chama cha siasa kinauawa na kundi la vichekesho
Waganga njaa wale na uelewa wao ni mdogo kwenye siasa.