Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 724
Vijana wanaganga njaa mjini.Lakini Tbc wasipo kuwa makini na hao vijana kujikita na kampeni za ccm hata wachache wanao angalia TBC wata sepa woteTv yenyewe wanayotumia ni TBC jamani nani anaangalia tbc leo? Hata mleta habari sijui alipitiwa au ni mmoja wao wa wapinga demokrasia hapa nchini