zambez
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 2,071
- 255
TV gani?
tbccm.......
TV gani?
mimi hawa nilishawawasahau tangu waliponunuliwa na magamba, nainjoy sana mazuzu wa eatv
Tv yenyewe wanayotumia ni TBC jamani nani anaangalia tbc leo? Hata mleta habari sijui alipitiwa au ni mmoja wao wa wapinga demokrasia hapa nchinihawa ni wapiga kampeni wa ccm kwenye uchaguzi mkuu, usitegemee waisifie cdm
Acha kutokwa povu ww mie nmenunua umeme wa 30,000/- nmepata units 80 which z ver reasonable,.zipp yo fakn domo
Mbona huongelei ufisadi unaofanywa na wananchi kuharibu miundo mbinu ya tanesco??? hivi hufikirii kuwa gharama za kuweka miundombinu mingine ni hasara pia? ifidiwe na nani?
Ukweli mchungu sana huu , maana MBOWE sasa hivi ni kama anatembea uchi wa mnyama kwa aibu za uzinzi na wizi wa fedha za hongo ya mkono na rostam
Mkuu mi ni mpenzi wa kuangalia komedi, ila sio hao wapuuzi.Mpuuzi kweli wewe , mambo ya komedy unaleta JF! Kwanza ile tu kukaa mbele ya tv unaangalia komedy peke yake inatosha kujua akili yako ni ya shule za kata.
Hujambo, na wewe mumeo hujambo?Vipi JUNIOR SLAA ( kichanga cha dokta , katibu mkuu) hajambo?
Wameigiza ugomvi wa Zitto na Mbowe!
" msiporekebisha magomvi yenu mtasoma namba za tawala mpaka mna rest in peace!" Masanja Mkandamizaji
Nani kakudanganya chama cha siasa kinauawa na kundi la vichekesho
Kama Masanja anaweza kuua cdm kulikuwa na hajagani kumlipa Zito mabilioni ya hela kujaribu kuua cdm?Siwange sema watumie tu TBC kuua maramoja cdm?Umeeleza vizuri kuwa "...Wameigiza...." uzuri wa maigizo hubaki kuwa igizo, wakumbushe wiki ijayo waigize namna wananchi wanapo nunua umeme wa elfu10 nyuso zao zinaonekanaje halafu igizo hilo lisome uhalisia.