Original Commedy yaivua nguo CHADEMA!

Original Commedy yaivua nguo CHADEMA!

Umeeleza vizuri kuwa "...Wameigiza...." uzuri wa maigizo hubaki kuwa igizo, wakumbushe wiki ijayo waigize namna wananchi wanapo nunua umeme wa elfu10 nyuso zao zinaonekanaje halafu igizo hilo lisome uhalisia.

Watawala wetu hawana dira kwani wamekosa maarifa! Walishasema "Liwalo na liwe" na kweli tunaona mambo yanavyokwenda shaghalabaghala! Wanaiba bila haya! Sasa hivi umeme wa shilingi 20,000/- unapata units 35.50kwh wakati zamani kabla ya kupandishwa na wezi hawa ilikuwa unapata units mara mbili ya sasa!
 
tumekuwa watumwa namna hii watu wanafikir kwa niaba yetu mapungufu yake asemwe na ye awajibike mbana kwenye nchi zilizo endelea wanawajibika kwa kes za ngono why yeye asiwajibishwe anapokea rushwa ya ngono unyanyasaji huu mpaka lin kura zetu unatumia vibaya.
 
Wameigiza ugomvi wa Zitto na Mbowe!

" msiporekebisha magomvi yenu mtasoma namba za tawala mpaka mna rest in peace!" Masanja Mkandamizaji

kwa hiyo huko ndo chadema imevuliwa nguo?we f.a.l.a kweli!
 
Watawala wetu hawana dira kwani wamekosa maarifa! Walishasema "Liwalo na liwe" na kweli tunaona mambo yanavyokwenda shaghalabaghala! Wanaiba bila haya! Sasa hivi umeme wa shilingi 20,000/- unapata units 35.50kwh wakati zamani kabla ya kupandishwa na wezi hawa ilikuwa unapata units mara mbili ya sasa!

Acha kutokwa povu ww mie nmenunua umeme wa 30,000/- nmepata units 80 which z ver reasonable,.zipp yo fakn domo
 
Kama mtu yupo katika kazi inayoongozwa na gamba hata kwenye mass media itambidii afuate amri ya wakuu.
 
Wameigiza ugomvi wa Zitto na Mbowe!

" msiporekebisha magomvi yenu mtasoma namba za tawala mpaka mna rest in peace!" Masanja Mkandamizaji

.
Mbona original comedy ilishajifia siku nyingi?
Wamepata pa kuibukia?
.
 
Wameigiza ugomvi wa Zitto na Mbowe!

" msiporekebisha magomvi yenu mtasoma namba za tawala mpaka mna rest in peace!" Masanja Mkandamizaji

Katika watu waliokuwa feki katika ku act hawa jamaa wa Ze Comedy ni namba moja. Hawachekeshi na comedy yao ni ngumbalu. Mpaka leo najiuliza watu wanafurahishwa na nini haswa waangaliapo Ze Comedy....je, ni ule ujinga au wanawaonea huruma?
 
Nimeshangaa kusikia kuna watu bado wanaangalia original commedy,ukweli ni kwamba hicho kikundi kimebaki kujiburudisha chenyewe na hakina watazamaji kabisa,wakumbuke enzi zile hawajajiingiza kwenye mabo ya siasa watu walivyokuwa wakijaa kuangalia shoo zao,hata watu walikuwa wanakatiza kazi zao kuwahi kuangali commedy,vijijini waliweka hata viingilio.leo nani anweza kuweka kiingilio shoo za wazee wa MAPOUDA?waangalie boriti kwenye jicho lao,waangalie ni wapi walikosea na waache ushabikli wa kijinga
 
ukitaka kuenjoy nowdays wote muwe mna mtazamo sawa katka siasa lasivyo hata taarifa ya habar mtakuwa hamujngalii,sasa hata itv wanasema chadema,tbc ccm,jaman ndan tv itawashwa kwel ukizingatia hamjalipia kingamuz chanel ziko za bure tu
 
Acha kutokwa povu ww mie nmenunua umeme wa 30,000/- nmepata units 80 which z ver reasonable,.zipp yo fakn domo

Acha kupotosha watu,labda kama unatumia umeme wa 30,000 kwa mwaka kwenye meter uliyowekewa
na baba mwenye nyumba wako chumba cha uani'sababu ya ukorofi wako wa kulipa bili'
 
Hakuna asijue kila bwenyenye anaye mtumwa, hao Original comedy ni watumwa tu nawatabaki hivyo.
 
Wameigiza ugomvi wa Zitto na Mbowe!

" msiporekebisha magomvi yenu mtasoma namba za tawala mpaka mna rest in peace!" Masanja Mkandamizaji

Ningewaona wa maana kama wangeigiza kupakiwa kwa twiga na wanyama wengine hai wakitoroshewa airport waziwazi.
 
Watawala wetu hawana dira kwani wamekosa maarifa! Walishasema "Liwalo na liwe" na kweli tunaona mambo yanavyokwenda shaghalabaghala! Wanaiba bila haya! Sasa hivi umeme wa shilingi 20,000/- unapata units 35.50kwh wakati zamani kabla ya kupandishwa na wezi hawa ilikuwa unapata units mara mbili ya sasa!
Mbona huongelei ufisadi unaofanywa na wananchi kuharibu miundo mbinu ya tanesco??? hivi hufikirii kuwa gharama za kuweka miundombinu mingine ni hasara pia? ifidiwe na nani?
 
Kutoka taarifa za comedians kina masanja mpaka makali ya bei ya umeme. Kali. Mbona pia zikipanda bei hamlalamiki. Mbona vyangudoa wakipandisha bei za mbunye zao hamlalamiki. Mnalalamikiambei za umeme tu. Kwani lzima mtumie umeme wa tanesco? UJIONA VIPI FUNGA SOLAR, ili uachane na tanesco. Kwa taarifa zenu, pamoja na tanesco kupandisha bei zake za umeme, bado bei zao ni za chini sana ukilinganisha na za nchi zingine duniani. Refer ukweli kwa kupitia website ifuatayo "www.shrinkthatfootprint.com" ili uweze kupata a worldwide electricity tariffs data. Dawa yake sio kulalamika, dawa ni kufanyakazi kwa juhudi ili uweze kumudu ghrama hizo za umeme. Kwa taarifa yako, bei haitoshuka milele, na hiyo ni kutokana na kupanda kwa gharama za maisha na uendeshaji. Kubali mabadiliko na sio kusambaza taarifa potofu.
 
wamebugi hao!kwa sasa habari ni lowasa na sita, msindai, lemebeli na NYalandu bila kusahau ugumu anaopata JK kuteuwa baraza jipya la mawaziri, siku ya 24 leo bila bila
 
U
Umenikumbushia wakati ule tupo pale Kolila yule jaama Whilte anayeitwa Mashingia tulipokutana na Heamaster then akakunja uso na kuanza kutembea kama mabaga freshi.... tulicheka mbaya....headmaster huyo akatupita tukaponea....hahahaha........ sasa hii ya umeme itakuwa kali ukiunganisha na zile hitilafu za shot pale dar....
 
Back
Top Bottom