yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,927
- 4,199
OppoMkuu hii ni simu gani unatumia minala ya mtandao IPO upande wa kakushoto,
Sina nia mbaya majibu tafadhali.
OppoMkuu hii ni simu gani unatumia minala ya mtandao IPO upande wa kakushoto,
Sina nia mbaya majibu tafadhali.
Number lazima zibadilike sababu umeme unaotumika sio constant. Wewe chukua number inayotokea inapomaliza kumeasureMbona mi nikiwasha hiyo app ya ampere hizo namba za min haziwi stable, zinakaa zinabadilika tu na kishuka, hata nikichomeka charger hivyo hivyo
View attachment 1742529
Itakapomaliza kumeasure najuaje kuwa hapa imemaliza?Number lazima zibadilike sababu umeme unaotumika sio constant. Wewe chukua number inayotokea inapomaliza kumeasure
Ukiifungua app mwanzo si inaandika measuring then ndio number inatokeaItakapomaliza kumeasure najuaje kuwa hapa imemaliza?
Umepigaje hio hesabuKwani Amps 2 si zaidi ya Watts 18?
Simu zote zinaingiza 5V....20w kwa 5v ni 4A ...binafsi sijawah ona chaja ya hvyo...mmepigia hesabu ya zile 9V?Mfano A3s haina fast charging hivyo kwako ni bora,
Simu za sasa zinakuja na mabbatery makubwa 5000mah mpaka 7000mah ukitumia chaja za 5V/2A kama hio unakesha, simu nyingi za kisasa zina zaidi ya 20W chargers.
Ni kwamba hukuelewa au?...ile 320mA ni battery ilivokuwa inatumika yani chaji inatoka na ilikuwa inapungua kwa rate ya 320mAJinsi ya kutumia hyo app ni hvi:
1. Fungua app bila kuchomeka charger. Subri ipime then some number ya min
Mfano kwangu ni: -320mA
View attachment 1742090
2. Chomeka charger subiri ipime them soma tena minimum value.
Mfano kwangu ni 2710mA
View attachment 1742093
3. Chukua number ya mwanzo bila negative: 320mA na number ya pili ikiwa inacharge: 2710mA.
Jumlisha hzo mbili unapata 3030mA ambayo ni 3.03A ambayo inaendana na charger yangu ambayo imekua rated kwa 5V 3A kma kwenye picha hapo chini. Hizo point unaachana nazo sababu si ina flactuate. Hapo utapata Ampere sahihi ya charger yako.
View attachment 1742129
Simu isio na fast charging ni 5v 2A tu ambayo ni 10W, kuanzia hapo 15W kupanda ndio simu inaitwa ina fast charging. Simu za kawaida haziingizi 4A.Simu zote zinaingiza 5V....20w kwa 5v ni 4A ...binafsi sijawah ona chaja ya hvyo...mmepigia hesabu ya zile 9V?
Duka gani chief?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Asante mkuu ndo nimenunulia hapa mwanza.
Chief ww ni wa kitambo JF. Afu ni mhuzi na ni mtundu wa IT. Aisee Wahuni wame nipora Ki Samsung changu cha kitambo. Msaada Tafadhali. Nina imei no zote. Afu niliwahi piga picha ya ile sehemu, ya programs, properties, build, serial namba, nk.Haina we weka tu hio app utaona ni automatic inafanya yenyewe.
Mkuu kama ni Mwz na mm naomba namba na beiKuna sehemu moja anaifahamu jamaa yaani ukienda sehemu nyingine huzipati kabisa unapata yale ya tundu moja tu , [emoji16][emoji16][emoji16] ukihitaji nitakupa namba akuelekeze ni maeneo ya Lumumba Street .
Mkuu simu inapatikana kwa Imei ila wenye uwezo huo ni polisi ama staff wa mitandao ya simu. Sisi hatuwezi kuitrack.Chief ww ni wa kitambo JF. Afu ni mhuzi na ni mtundu wa IT. Aisee Wahuni wame nipora Ki Samsung changu cha kitambo. Msaada Tafadhali. Nina imei no zote. Afu niliwahi piga picha ya ile sehemu, ya programs, properties, build, serial namba, nk.
Ohh shukrani kwa mrejesho Mkuu. Ni ya laki 6 tu. Nime ripoti Polisi. Ila Polisi hakawii kuanza kuniomba kianzio ku itrack wakati sina uhakika wa kuipata afu napigwa loss mbili juu.Mkuu simu inapatikana kwa Imei ila wenye uwezo huo ni polisi ama staff wa mitandao ya simu. Sisi hatuwezi kuitrack.
Ila hawa jamaa Wana tabia ya ku track simu za bei ghali tu, simu zetu za bei rahisi wanakuzungusha tu.
Zipo fast charging za simu mpaka volt 20Simu zote zinaingiza 5V....20w kwa 5v ni 4A ...binafsi sijawah ona chaja ya hvyo...mmepigia hesabu ya zile 9V?
Kikawaida ikipatikana analipa mwizi hizo gharama, ila ni kweli unacho sema, asipopatikana inakula kwako.Ohh shukrani kwa mrejesho Mkuu. Ni ya laki 6 tu. Nime ripoti Polisi. Ila Polisi hakawii kuanza kuniomba kianzio ku itrack wakati sina uhakika wa kuipata afu napigwa loss mbili juu.
Power (Watts) = Current, I × Voltage, V
5V x 2A = 10W
Za 18W zinakuaga aidha 9V 2A or 6V 3A kuna zingine za 1.6A na 1.8A ila sio common sana
Jinsi ya kutumia hyo app ni hvi:
1. Fungua app bila kuchomeka charger. Subri ipime then some number ya min
Mfano kwangu ni: -320mA
View attachment 1742090
2. Chomeka charger subiri ipime them soma tena minimum value.
Mfano kwangu ni 2710mA
View attachment 1742093
3. Chukua number ya mwanzo bila negative: 320mA na number ya pili ikiwa inacharge: 2710mA.
Jumlisha hzo mbili unapata 3030mA ambayo ni 3.03A ambayo inaendana na charger yangu ambayo imekua rated kwa 5V 3A kma kwenye picha hapo chini. Hizo point unaachana nazo sababu si ina flactuate. Hapo utapata Ampere sahihi ya charger yako.
View attachment 1742129