Oraimo Charger Ni Nzuri ?

Oraimo Charger Ni Nzuri ?

Kwa kweli cable haieleweki labda mpaka nije nitafute nyingine , sijui ninunue ipi sasa ambayo ni nzuri .
Umetest kma nilivyoelekeza hapo juu? Kma haiji number sahihi ndio utajua kma cable ni mbovu au la.
 
Jinsi ya kutumia hyo app ni hvi:
1. Fungua app bila kuchomeka charger. Subri ipime then some number ya min

Mfano kwangu ni: -320mA
View attachment 1742090

2. Chomeka charger subiri ipime them soma tena minimum value.
Mfano kwangu ni 2710mA
View attachment 1742093

3. Chukua number ya mwanzo bila negative: 320mA na number ya pili ikiwa inacharge: 2710mA.

Jumlisha hzo mbili unapata 3030mA ambayo ni 3.03A ambayo inaendana na charger yangu ambayo imekua rated kwa 5V 3A kma kwenye picha hapo chini. Hizo point unaachana nazo sababu si ina flactuate. Hapo utapata Ampere sahihi ya charger yako.

View attachment 1742129
Kumbe mkuu zikiiandikwa 3A it means huwezi kuwa unachaji simu yako ikapeleka 3A yote kuna ambazo zitapotekea njiani ?
 
Umetest kma nilivyoelekeza hapo juu? Kma haiji number sahihi ndio utajua kma cable ni mbovu au la.
Ee mkuu cable nahisi ndo shida nitatafuta cable ya bei walau maana mimi ni mchumi kulingana nakipato changu [emoji16]
 
Wabongo mnapenda kuharibu hela, any way tafuta nyingine kama unaona hiyo haifai.
[emoji16][emoji16][emoji16] Kaka siwezi kabisa huo ujinga sina kikubwa nishapata hitaji la moyo wangu .
 
Wabongo mnapenda kuharibu hela, any way tafuta nyingine kama unaona hiyo haifai.
Aliposema cable hukuelewa , nadhani mimi nahisi anamaanisha cable inayochukua umeme kwenye switch ya ukutani , ila siyo ya chaja.
 
Mimi kwangu yanatosha kabisa kikubwa ikija nafurahia nayo kawaida.
so nini point ya kuuliza kama Oraimo ni nzuri ?

uzuri tunaangalia 'charging speed' kwa battery ya size ileile, kama inachukua masaa mawili kwa battery chini ya 4000mAh, hakuna uzuri hapo , ni useless piece of hog's crap
 
Wewe nunua nyingine, hiyo uza kwa hasara. Tafuta ya kujaza kwa dakika 30.
Kaka siwezi unanijua nilivyomgumu nadhani [emoji16][emoji16] siwezi kabisa kununua vitu vya ajabu ajabu , yawezekana hata huko kuchaji faster ni hewa.
 
so nini point ya kuuliza kama Oraimo ni nzuri ?

uzuri tunaangalia 'charging speed' kwa battery ya size ileile, kama inachukua masaa mawili kwa battery chini ya 4000mAh, hakuna uzuri hapo , ni useless piece of hog's crap
Mimi kwangu ni nzuri capacity yangu ya battery 4230mAh na naona inanichajia vema kwa kweli sijajutia .
 
Ina maana chaja ikiandikwa 48W na ina port 4 inamaanisha kila port ina 12W?
 
Umetest kma nilivyoelekeza hapo juu? Kma haiji number sahihi ndio utajua kma cable ni mbovu au la.
Mbona mi nikiwasha hiyo app ya ampere hizo namba za min haziwi stable, zinakaa zinabadilika tu na kishuka, hata nikichomeka charger hivyo hivyo
Screenshot_2021-04-03-20-39-45-281_com.gombosdev.ampere.jpg
 
Back
Top Bottom