ashomile
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,936
- 3,054
Wadau kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, ni mara ya pili sasa nanunua charger kampuni ya Oraimo, Mara ya kwanza nimenunua nikatumia kama miaka miwili alafu ikafa charger na kufa kwake kichwa cha charger nilianguka nacho , ikabidi niishi kwakuungaunga kikubwa tu nichaji simu yangu , nimeenda na hiyo khali nikaona wacha ninunue charger nyingine nikapeleleza wewe , nikaona nirudi kule kule nikachukua Oraimo Charger lakini ina sehemu mbili , nimeipenda sana ina sehemu ya Usb Mbili .
Kwa waliowahi kununua charger za namna hii kutoka kampuni ya Oraimo tupeni mrejesho km ni nzuri zaidi , yangu nimeinunua kwa elfu 15k , na ile ya sehemu moja nilinunua kwa elfu 10k.
Pia naona Oraimo kasambaa sana maduka mengi .. na product zote za Oraimo naona zinakuja na authentication.
Karibuni.