Oraimo Charger Ni Nzuri ?

Oraimo Charger Ni Nzuri ?

Mfano A3s haina fast charging hivyo kwako ni bora,

Simu za sasa zinakuja na mabbatery makubwa 5000mah mpaka 7000mah ukitumia chaja za 5V/2A kama hio unakesha, simu nyingi za kisasa zina zaidi ya 20W chargers.
Mkuu mbona inaonesha inatumia fast charging 20W ? View attachment 1741986
Screenshot_2021-04-03-10-54-48-26.jpg
 
Mkuu hii yangu naona 10v 2.1A ila ile ya tundu moja la usb ndo lenye 5v 2A
Kama INA matundu mawili na wameandika 10V 2.1A wa Namaanisha hio ndio capacity ya Chaja,
-ukichomeka simu moja itachaji hio simu kwa 5v na 2.1A
-ukichomeka simu mbili zote zitapata 5V lakini kwenye amps zinagawana mfano moja inaweza pata 1.6A na nyengine 0.5A.

Tumia app ipo playstore inaitwa ampere kupima kiasi cha umeme chaja inayoingiza kwenye simu.
 
Shukrani mkuu ila namna yakupima naomba unielekeze km inawezakana
 
Hakikisha unachecki authenticity ya bidhaa hyo. Charger fake za oraimo zimejaa mitaani. Ni charger nzuri tu kma simu zisizokuwa na fast charging.
Mkuu nacheki vipi authenticity??msaada pls
 
Sijajua mkuu ila dar haziwezi kosa, na uzuri siku hzi huduma inakufikia popote ulipo
Mkuu online huwa vitu vinachelewa na huwa sina imani sana , labda zingekuwa zinapatikana kwa mwanza ingelipendeza zaidi.
 
Mkuu online huwa vitu vinachelewa na huwa sina imani sana , labda zingekuwa zinapatikana kwa mwanza ingelipendeza zaidi.
Mtafute hyo jamaa naona anauza vitu quality sanaa, hana brands za uchochoroni yupo dar

Nb. Simjui hanijui, fanya baishara at your own risk.
Capture%2B_2021-04-03-11-17-44.jpg
 
Bro huniamini au kwa kuwa nimekuuzia kwa bei ndogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089]
 
Bro huniamini au kwa kuwa nimekuuzia kwa bei ndogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089]
Nakuamini [emoji23][emoji23] ndo maana kila mara nakujaga kwako unisaidie , nakuamini sana ndugu yangu. [emoji848][emoji848] Sema nimeleta uzi huu tuujadili na mabingwa .
 
Nakuamini [emoji23][emoji23] ndo maana kila mara nakujaga kwako unisaidie , nakuamini sana ndugu yangu. [emoji848][emoji848] Sema nimeleta uzi huu tuujadili na mabingwa .

Life Time hiyo[emoji41] labda uiharibu tu tena.
 
Back
Top Bottom