Oraimo Charger Ni Nzuri ?

Oraimo Charger Ni Nzuri ?

Hii ni charger
IMG_20210406_213544_956.jpg
 
Kikawaida ikipatikana analipa mwizi hizo gharama, ila ni kweli unacho sema, asipopatikana inakula kwako.

Mkuu nje ya mada kidogo.

nimepoteza laini yangu ambayo namba yake ndo naitumia what’sapp je naweza kutumia njia tofauti kulog in katika what’sapp katika namba hiyo hiyo bila kudaiwa verifications code?
 
Kwa uelewa wangu huwezi unless whatsapp yake iwe active sasa hivi uendelee kutumia mpaka mwisho wa hio simu.
 
Mkuu nje ya mada kidogo.

nimepoteza laini yangu ambayo namba yake ndo naitumia what’sapp je naweza kutumia njia tofauti kulog in katika what’sapp katika namba hiyo hiyo bila kudaiwa verifications code?
Ila unaweza backup chat zake sasa hv kama Una simu husika ili usipoteze data zake.
 
Zipo fast charging za simu mpaka volt 20

smartphone_charging_8.png

Hii ni table ya tech mbalimbali za kuchajia simu na volts na amps zake.
Wange introduce battery zingne ... naona wamekomaa na li-po namna ya kuichaji haraka...ya 100w niliona juz

I wonder how hiyo system inaamua ichukue volt ipi sababu hizo charge ukipima output yake inasomaga 5v ila simu ya fast charge inaweza ingia 9v 1.6A n
 
Ndio maana ni research Zinazotumia mabilioni ya hela, kuna kuwa na dedicated chip kwa ajili ya kazi hio tu kote kwenye simu na charger.
 
Back
Top Bottom