kama mie mkuuDaah,mimi nina bahati mbaya sana, kila nikijitahidi kutafuta charge original naishiwa kupigwa pesa tu..
Kumbe mpaka na box lake..mie nanunuaga tu wanazitundikaga sehemu..siwezi kutambua chaja og bila box lake.? Chief-MkwawaAngalia kwenye lake box kwa nyuma kunakua na scratch number kma zile za vocha. Kwangua ingia hapa: Authentication - oraimo . Ingiza hzo number watakuambia kma ni og na kma ni mara ya kwanza hyo number ndio inachekiwa
Mkuu nimecheck naona haya marue rue View attachment 1742085View attachment 1742086
Maelezo ya hii ni kwamba. Hyo value ya mwanzo bila charger ndio current (in ampere) inayotumika na simu, ukichomeka charger bado ile current inayotumiwa na simu ipo pale pale. Kwahyo kma charger ni ya 3A (3000mA) kuna kiasi cha huu umeme utakuwa unatumika kurun simu huku bado inacharget. So kma kwenye mfano wangu hapo 2710mA ndio zinaenda kwenye battery hzo 320mA zinatumiwa na simu hutoka kwenye hyo charger. Ukiwa una charge simu or laptop simu ina switch kwenye kutumia umeme wa charger na sio battery tena kwa asilimia kubwa.Jinsi ya kutumia hyo app ni hvi:
1. Fungua app bila kuchomeka charger. Subri ipime then some number ya min
Mfano kwangu ni: -320mA
View attachment 1742090
2. Chomeka charger subiri ipime them soma tena minimum value.
Mfano kwangu ni 2710mA
View attachment 1742093
3. Chukua number ya mwanzo bila negative: 320mA na number ya pili ikiwa inacharge: 2710mA.
Jumlisha hzo mbili unapata 3030mA ambayo ni 3.03A ambayo inaendana na charger yangu ambayo imekua rated kwa 5V 3A kma kwenye picha hapo chini. Hizo point unaachana nazo sababu si ina flactuate. Hapo utapata Ampere sahihi ya charger yako.
View attachment 1742129
Charger isipokuja na box tayari ujue kuwa ni zile charger cheap na hakuna uhakika kma rating zake ni za kweli. Charger zote za oraimo na macompany yanayoeleweka huwa zinakuja na box lake.Kumbe mpaka na box lake..mie nanunuaga tu wanazitundikaga sehemu..siwezi kutambua chaja og bila box lake.? Chief-Mkwawa
Ukiwa unanunua charger tumia app ya Ampere kutest kma inafikia kiwango chake kilichoandikwa kwa upande wa Current (Ampere). Jinsi ya kuitumia ni kma nilivyoandika hapo juu. Baadae ntaandika uzi kuhusu hyo app.Daah,mimi nina bahati mbaya sana, kila nikijitahidi kutafuta charge original naishiwa kupigwa pesa tu..
shukrani..na je..kwa mfano nkiwa na chaja og ya samsung..nikaichaji katika simu tofauti na samsung...chaja itaharibika?Charger isipokuja na box tayari ujue kuwa ni zile charger cheap na hakuna uhakika kma rating zake ni za kweli. Charger zote za oraimo na macompany yanayoeleweka huwa zinakuja na box lake.
Either cable si nzuri, ama charger haiingizi kama walivyo advertise, jaribu kubadili waya uone.Mkuu Port ya kwanza (01) majibu haya hapa . View attachment 1742128
Hapana. Simu zote sikuhz zina limit current na voltage za charge kutokana na uwezo wa simu. Hvyo charger itatoa voltage na current zinazohitajika na simu. Kma simu inatumia umeme mwingi kuliko uwezo wa charger basi itacharge kwa maximum inayoweza. Kma simu inatumia umeme mdogo kuliko charger basi charger itatoa umeme unao hitajika na simu tushukrani..na je..kwa mfano nkiwa na chaja og ya samsung..nikaichaji katika simu tofauti na samsung...chaja itaharibika?
Shukran..maana kuna dogo nakaa nae..chaja yake kaiweka ndichi hatak kushare nayeyote madai yake itaharbika..[emoji120][emoji120][emoji120]Hapana. Simu zote sikuhz zina limit current na voltage za charge kutokana na uwezo wa simu. Hvyo charger itatoa voltage na current zinazohitajika na simu. Kma simu inatumia umeme mwingi kuliko uwezo wa charger basi itacharge kwa maximum inayoweza. Kma simu inatumia umeme mdogo kuliko charger basi charger itatoa umeme unao hitajika na simu tu
Charger zinakufa kwasabab ya joto. Charger kuwa ya moto sana inasababisha components zake kufail baada ya mda.Shukran..maana kuna dogo nakaa nae..chaja yake kaiweka ndichi hatak kushare nayeyote madai yake itaharbika..[emoji120][emoji120][emoji120]
Mkuu ni nzuri kiasi huwezi kufananisha na hizi copy za samsung, sijui tecno , sijui za itel , kwangu iko vzr ndani ya masaa mawili simu yangu hujaa.izo Oraimo hakuna kitu, nnayo ya 2A inazidiwa na ya 1A na Nokia
wanaandika 2A ila kiukweli hata 1A haifiki,
Kwa kweli cable haieleweki labda mpaka nije nitafute nyingine , sijui ninunue ipi sasa ambayo ni nzuri .