Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Kuna mama mmoja hata ameandika "An authorized biography" juu ya haya mamambos..................hawa wakubwa wana mambo makubwa sana ila hupenda uwatunzie siri..............kama ni kweli itakuwa hatari sana ngoja ziendelee kuwa tetesi....wamama hawa wanaonekana wako kimaadili zaidi inakuwaje :nono::nono::nono:
Oprah and Gyle are childhood best friends. Oprah si msagaji na usually wanaongelea na Gayle juu ya tuhuma hizo na kucheka.She is straight na anaye boyfriend (last time i saw her besdei party). She chose not to have kids coz of sexual abuse she encountered as a child which resulted into a still birth at 17.
Uvumi umeenea marekani kuwa yule gwiji wa uwenyeji wa soga za televisheni huenda ni msagaji.........................Uvumi huo unamhusisha mrembo huyo na rafiki yake wa karibu Gayle King..................
Wenye ufahamu zaidi mtujuze khali........................na khabari..................
Oprah and Gyle are childhood best friends. Oprah si msagaji na usually wanaongelea na Gayle juu ya tuhuma hizo na kucheka.She is straight na anaye boyfriend (last time i saw her besdei party). She chose not to have kids coz of sexual abuse she encountered as a child which resulted into a still birth at 17.
Bwana na Avatar ya kitabu tukufu lakini vitu vinavyomvutia ni vya kidaku zaidi!
Jana tu alitaka ajuzwe kama viongozi wa serikali wana ukimwi!
Suala kichwani mwangu ni ukishakujua viti hivi ndo iweje?
That is the Qn. au wanataka wasagwe wao?Na hata kama ni wasagaji, then what ?
Just live your lyf, ya kwe2 tu na harakati za kuzulumiwa haki ye2 kwenye uchaguzi yametushinda sasa ya Oprah 2tayaweza? Live them as they are na sisi tuangalie ye2. Hilo swala anajua Oprah mwenyewe na anaosagana nao kama wapo.