Oprah Winfrey ni msagaji?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,422
911,172
Uvumi umeenea marekani kuwa yule gwiji wa uwenyeji wa soga za televisheni huenda ni msagaji.........................Uvumi huo unamhusisha mrembo huyo na rafiki yake wa karibu Gayle King..................

Wenye ufahamu zaidi mtujuze khali........................na khabari..................
 
kama ni kweli itakuwa hatari sana ngoja ziendelee kuwa tetesi....wamama hawa wanaonekana wako kimaadili zaidi inakuwaje :nono::nono::nono:
 
Kuna mama mmoja hata ameandika "An authorized biography" juu ya haya mamambos..................hawa wakubwa wana mambo makubwa sana ila hupenda uwatunzie siri..............
 
Oprah and Gyle are childhood best friends. Oprah si msagaji na usually wanaongelea na Gayle juu ya tuhuma hizo na kucheka.She is straight na anaye boyfriend (last time i saw her besdei party). She chose not to have kids coz of sexual abuse she encountered as a child which resulted into a still birth at 17.
 
ni kweli hizo tuhuma zipo siku nyingi lakini huyu Mama Oprah alikanusha. Ukweli zaidi wanaujua wao tu. Angalizo: Ogopa wazungu. wanaweza wakazusha tu jambo kwa kuwa ni mtu mweusi maarufu na tajiri pia.
 
Oprah and Gyle are childhood best friends. Oprah si msagaji na usually wanaongelea na Gayle juu ya tuhuma hizo na kucheka.She is straight na anaye boyfriend (last time i saw her besdei party). She chose not to have kids coz of sexual abuse she encountered as a child which resulted into a still birth at 17.

This is the truth . Tetesi zitaishia kuwa tetesi
 
Just live your lyf, ya kwe2 tu na harakati za kuzulumiwa haki ye2 kwenye uchaguzi yametushinda sasa ya Oprah 2tayaweza? Live them as they are na sisi tuangalie ye2. Hilo swala anajua Oprah mwenyewe na anaosagana nao kama wapo.
 
Huyo mama amekuwa anatafutwa kila kona ili kumzushia kashfa lakini mara nyingi zinadunda...Sometimes watu wana wivu tu for her success!!
 
mimi siamini sana mambo kama haya
kama wenyewe wamesema sio.. basi hilo ndo jibu na kama Oprah na Gayle wakisema ndio basi hilo ndo litakuwa jibu..
dunia hii sio ya ihari ukiwa juu watu wengi watafanya juu chini wakushushe..
kwa hiyo mambo kama hay si chukuagi notice..
 
Bwana na Avatar ya kitabu tukufu lakini vitu vinavyomvutia ni vya kidaku zaidi!

Jana tu alitaka ajuzwe kama viongozi wa serikali wana ukimwi!

Suala kichwani mwangu ni ukishakujua viti hivi ndo iweje?
 
Marekani siku hizi watu wengi walio maarufu huandamwa na hizi tuhuma. Na hii ya oprah na gayle ni ya zamani mno. Kwa hiyo hakuna jipya hapo kwa kweli wengine haituhusu oprah analala na nani kama vile ambavyo haiwahusu mimi nalala na nani.
 
Bora tuu amalize kipindi cha Oprah kabla kashfa haijatoka , hopefully sio sex tape ya yeye na Ellen. Urafiki wa Gyle na Oprah uko wa karibu sana na kwaharaka haraka unaweza jiuliza ,kila sehemu wako pamoja na navyojua 2 straight people hawawezi kuwa karibu vile. Yule Stedman ni toy tuu kaweka kujenga heshima ya Oprah nakuficha ukweli, sidhani kama hata wana lala kitanda kimoja , Kwanza mcheki huyo Stedman alivyo sidhani kama naye ni straight (udaku)
 
Uvumi umeenea marekani kuwa yule gwiji wa uwenyeji wa soga za televisheni huenda ni msagaji.........................Uvumi huo unamhusisha mrembo huyo na rafiki yake wa karibu Gayle King..................

Wenye ufahamu zaidi mtujuze khali........................na khabari..................

You say Whaaat?
 
Oprah and Gyle are childhood best friends. Oprah si msagaji na usually wanaongelea na Gayle juu ya tuhuma hizo na kucheka.She is straight na anaye boyfriend (last time i saw her besdei party). She chose not to have kids coz of sexual abuse she encountered as a child which resulted into a still birth at 17.

She looks weird...............she is comfortable with dogs but no human soul in her life.......even the so-called boyfriend is now believed to be gay too.......................she is hypocritical if she is still in the closet................
 
Bwana na Avatar ya kitabu tukufu lakini vitu vinavyomvutia ni vya kidaku zaidi!

Jana tu alitaka ajuzwe kama viongozi wa serikali wana ukimwi!

Suala kichwani mwangu ni ukishakujua viti hivi ndo iweje?

If you do know the answer better shut up your trap.....................
 
Just live your lyf, ya kwe2 tu na harakati za kuzulumiwa haki ye2 kwenye uchaguzi yametushinda sasa ya Oprah 2tayaweza? Live them as they are na sisi tuangalie ye2. Hilo swala anajua Oprah mwenyewe na anaosagana nao kama wapo.

Uchaguzi usikusumbue roho sana................watatawala lakini hawataongoza nchi hii.................waliodhulumiwa ndiyo watakaongoza nchi hii..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom