That is the Qn. au wanataka wasagwe wao?
Hilo nalo neno!
That is the Qn. au wanataka wasagwe wao?
Ahahahaaaaaaah!!!!!!!Marekani siku hizi watu wengi walio maarufu huandamwa na hizi tuhuma. Na hii ya oprah na gayle ni ya zamani mno. Kwa hiyo hakuna jipya hapo kwa kweli wengine haituhusu oprah analala na nani kama vile ambavyo haiwahusu mimi nalala na nani.