Hivi kwani hakuna tafsiri za qur'an ktk kiswahili au kiinglish? Ninavyojua mimi waislamu wengi wanazo kopi za tafsiri za aya mbalimbali za qur'an...hayo uloyasema umeyatoa wapi? Mpaka hapo umeshakwaza/kashfu watu bila kujijua kwa kuandika vitu usovielewa vizuri! Qur'an kusomwa kama ilivyo kuna sababu zake tena za msingi sana (darasa lingine kwa siku nyingine) na haina maana kwamba usipojua kiaarabu basi kwisha habari yako "uta-cram tu," hayo ni matusi braza!...kama jambo ulijui vyema ni kheri kukaa kimya kuliko kutafuta umaarufu kwenye www.
Kinachojitokeza hapa ni wakristo (si wote) hapa JF kukurupuka na kuanza kukashfu kila aliye muislam ilhali wanajua wazi kuwa Mwaipopo na Msopa si wasemaji wa waislamu wooooooooote wa Tanzania....sasa wewe ulitaka sie tukae kimya na ku-enjoy kashfa za kina Mtindio na genge lake? Nani kwani alieanza kukashfu dini ya mwenzake hapa? Umefanya nini ktk mada ya "ustaadhi aliebaka" ambayo ikageuka na kuwa thread ya kumkashfu mtume wa mungu na dini yake? Umefanya nini ktk thread ya "magaidi watatu wakamatwa AR"? Thread kibao hapa zinatuka dini nyingine, mods wanaangalia wakati wadinidini wanajulikana na kuna jukwaa lao ambalo baadhi yetu hatuna access na hatutaki kuwa nazo...kwanini mada hizi zisiamishiwe huko? Binafsi nilikuwa nimekaa kimya natazama tu nikidhani mods watachukua hatua....lakini ilipofika hapa pa kuchanganya dini na siasa huku waislamu kwa ujumla wao wakiwa labeled ni anti-chadema, nikasema siwezi kuendelea kukaa kimya! Nadhani unaelewa.....
Kuna mada ya "mtazameni mkenya huyu," mwanzilishi Abtitchaz...lau kama hiyo njemba ilobaka mentally handicaped teenager ingekuwa na jina la kiislamu (let say Bakari Hamduni), wallahi ungeona Doedoe, Schimidt, Muse a Muse, Max, Mtindio, Mtarajiwa, Mbarikiwa, Bongolander, Mpita Njia, Njowepo, Yo-yo, Mchukia Fisadi na vikarogosi vingine vikidai kuwa waislamu ndivyo walivyo na hata "mwamedi" alifanya vivyo hivyo!! Wewe Mchundo ungekaa kimyaaaaaaaa una-enjoy kwani rekodi yako ndivyo inavyoonyesha...!! Lakini waislamu hapa JF sijaona hata mmoja akija na hizo tact za jamaa zako. Ukiwa fair (wasiwasi wangu ni kuwa haupo fair) basi utaona kuwa sisi wakina YNIM tunajaribu kugawa dose ileile inayogawiwa na hao wagalatia wanaotukana waislamu bila sababu za msingi!
N.B: Hakuna sauti moja na haita tokea ambayo itakuwa inasemea waislamu wooooooooooooooooooote wa Tanzania. Kama una issue na Mwaipopo, Sheikh Flani, Ustaadhi Yule, Maalim Kisisina, Mufti Shamte, Mullah Nanilii au vyovyote, basi deal na huyo individual au/na genge lake bila kuburuza waislamu wote. Ukiweza kufanya hivyo, basi kila kitu kitakuwa burudani (kwa udinidini mlonao, sidhani kama hilo ni jepesi kwa upande wenu..sadly)! 🙁
Asante na mchana mwema...yay!