Huu mjadala haukustahili hata kuwepo in the first place. Sababu hauna maslahi kwa taifa. Sanasana una radicalize watu wa both sides. Ntashangaa sana kuona kama kuna mtu anatarajia dini yake kushinda such mjadalawa wa kidini... Its not gonna happen!
Mi tatizo langu ni hivi vyombo vya habari vyetu na wahariri wetu. Hivi hilo jukwaa la wahariri hawana mwongozo wa common stand when it comes to issues of national interest?... I mean hayo magazeti kuwaandika kina Mwaipopo kila kukicha kunawapa more mileage kina mwaipopo kuliko wakizunguka kwenye mihandara mwaka mzima.
Its about time wahariri waweke utaifa mbele. wakubaliane tu kuwa kwenye mambo ya national interest, lazima wawe na common stand. Hakuna kuwapa airtime au coverage kwa waharibifu wa national interests. Watu wanaogawa watanzania wanini kuwapa airtime. Hata awe mwanasiasa gani asipewe airtime. Wenzetu nchi zilizoendelea wanavitu kama hivyo. Vita ya Gazza wamarekani wa kawaida wanaoneshwa mateso ya israel tu, kwa hiyo lazima wawaunge mkono,... Lakini hiyo ni sawa kwa ajili ya national interest yao. Na hiyo nchi ndio kinara wa demokrasia.
Ni ngumu
tuseme mimi namiliki IPP harafu mimi ni mwanasiasa unafikiri kweli mwajiliwa wangu ataninyima airtime hata kama napromosha upupu?