Oparesheni UKUTA yapingwa, wake wa viongozi wa UKAWA wawasihi waume zao waachane na mpango huo

Yaani mleta uzi na genge lake wanajidai kuitikia maoni ya watu kwa upooole utadhani watu!!!Kuna kitu kinachokozwa si bure.
 
Wana jamvi wasalam.
Wakati UKAWA wakiwa na mpango wa kufanya maandamano nchi nzima ya kupinga kwa kile wanacho kisema ni unyanyasaji na ukandamizaji wa demokrasia.

Huku kukiwa na katazo kubwa sana la kuzuia maandamano hayo. Baadhi ya wake wa viongozi waandamizi wa UKAWA wameanza kufunguka na kueleza jinsi ambavyo wamekuwa wakiwasihi waume zao kuachana na mpango huo kwani unaweza kuwapa tabu wao na wataumia.

Aliye kuwa wa kwanza kufunguka kwenye ukurasa wake wa mtandao wa picha ni Bi Joyce Kiria mke wa Ndug Henry Kilewo ambaye ni kiongozi ndani ya chadema.

Alisema amekuwa akimsihi kila leo kuwambia wenzie watafute njia nyingine kwani njia wanayo taka kutumia hawato fanikiwa.. Aliweka wazi kabisa kuwa tofauti na Mh JK ambaye alikuwa akiwachekea na pengine kuwaalika ikulu kunywa nao chai wanapo tofautiana huyu wa sasa hana muda huo na wasimchokoze..

Bi Joyce Kiria alienda mbali na musema alimwambia mumewe kuwa aangalia future ya watoto wake na familia na alinganishe na huo UKUTA.

Pia aliwaomba wanawake wa viongozi wa UKAWA waungane kuwasihi waume zao kuachana na mpango huo na kutafuta njia nyingine ya kutatua migogoro hiyo na si maandamano.

Wana jamvi kama mtakumbuka kipindi cha Mh JK Kilewo alishakumbwa na case kubwa iliyo mpelekea mkewe kuzunguka kwenye vyombo vya habari kuomba huruma ya Rais mmewe aachiwe hivyo anaongea anacho kifahamu.

Wana jamvi karibuni.
View attachment 374852View attachment 374853View attachment 374854

Wewe unachanganya Demkrasia na Mapenzi hapa, na Social Media na Demokrasia.
Issue siyo kuomba,issue ni Katiba iheshimiwe na kila mtu na hakuna aliye juu ya katiba na sheria japo katiba yetu ina mapungufu lukuki ila kwa sasa iheshimiwe hadi Mungu atakapo tujalia kupata Katiba ya Wananchi toka Tume ya Warioba na iliyoboreshwa kupewa Meno makali kama ya mamba inayo ng'ata WOTE pasipo ubaguzi huyu ni nani wala nani wote sawa.
 
Tunasubiri siku ifike tuone waandamanaji wanapovunjwa viuno na wanapong'olewa meno bila ganzi. Katika nchi yoyote, hakuna rais anayeweza kuacha watu wanaosababisha fujo kwa visingizio visivyo na kichwa wala miguu. Ni lazima kila atakayethubutu kushiriki maandamano apate mvinyo ambayo ataikumbuka mpaka siku yake ya kuingia kaburini.
 
ni kweli i am very insane!!
il hata mimi siwezi kubishana na mwana mipasho
Wewe ndio mtaalamu wa kuona mimi nimekwepa hoja, ila wewe hujioni unavyoikimbia hoja??

kebehi zinazomuendea Lembeli sasa hivi ni za nini??.. kwani Lembeli alipozungumza alikizungumzia chama ana nafsi yake?? iweje muamue
kumu attack?? au kwasababu Lembeli hakutumia fake ID??

Wewe endelea kushikishwa ukuta na mwenyekiti wenu maana ndicho kitu pekee unaweza zaidi..
Hapo ndio ninapopingana na wewe,niwekee qoute ambayo nimemuattack Lembeli!Binafsi naamini kila mtu yuko huru kuwa kokote anakotaka!
 
Hahaha natamani kumuona akiwa na mwanae na mkewe.

Makamanda wa Ukweli haturudishwi nyuma na hizi propaganda za Fisiem za kutaka kutugawa na kutuvuruga hapa ni mwendo mdundo sisi hapa ktk jimbo letu tutakuwa na mikutano ktk kata 10 kati ya 29 hakuna polisi wa kuzuia hicho kimbunga .Wasubiri waone hiyo tarehe 1 sept ,2016
 
Hakuna kitu nachukia kama mwenzangu kutoa nje michongo ya discussions na mivutano ya ndani, especially kuwa inject watoto wao Lincoln and Liston kwenye ma discussion ya mitandaoni, I would be devastated mke wangu ange drug the family into the muck like that.

That said, I admire immensely huyu Joyce Kiria not least because of her life long commitment fighting male chauvinism.

Lakini haya ya siasa za vyama hayajui. Michelle Obama alimkataza Baraka kupoteza sana muda kwenye uanaharakati, enzi akiwa community organizer badala ya kuchukua kazi ya ukweli walipe madeni ya Harvard Law School. Baraka akamkatalia mwanamke. Baadae Baraka akaja kuibadilisha dunia, na leo Michelle nae ni mwanaharakati wa kipekee.
 
Sasa na wewe mleta Mada unataka kumsihi nani?
Halafu ninachoona huu mjadala baadhi ya watu wa CCM watamtukana na kumdhalilisha Joyce wakijifanya kuwa ni watu wa CHADEMA.

Lengo kuleta mgawanyiko na kujenga chuki za ndani kwa ndani na kutoa watu kwenye ajenda
Huu uzi ni wa kupuuza
Vipi umeshashika Ukuta?
 
Wa pili na wa tatu na wa nne ni nani? Umeandika Wake wa Viongozi wa UKAWA ila umeishia kumtaja mke wa moja ya Viongozi wa CHADEMA! LUMUMBA NI YA KUOMBEWA,INA PEPO LA UPOFU NA UPUMBAVU!
 
Kwa wote wanaotokwa mapovu kuzuia wanaotaka kuandamana na kufanya mikutano kwa ajili ya kupinga udikteita, kwanini wasitumie muda huo kumshauri dikteita aache udikteita wakamshauri kutambua kuwa kila mtanzania ana haki sawa haijarishi aliiba kura au kashinda kiharari?

Kwamba kipindi cha miaka mitano hata kikiwa awamu mbili kitaisha na atakuwa nje ya nguvu ya dola na hawezi kujua atakayemfuatia atakuwa dikteita kwake yeye binafsi?
 
Mambo yako ya kwenye kitchen party peleka huko huko kwenye magroup yenu kashawishaneni huko huko unakoelekea utatuletea ujinga mwingine hapa uzi huu wa kupuuzwa eti wake Wa viongozi Wa ukawa wewe ni mke Wa Kiongozi yupi ?
Achana naye huyo! Kwani kila mwanamme anachoambiwa na mkewe lazima afuate?
Mbona kuna habari kuwa Jenny alimwambia jamaa acha kupiga pushups hadharani utatenguka kiuno na jamaa hakuacha?
 
Nchi ingekuwa na udikteta mgepata hata nafasi ya kusema kuna udikteta?
Huyu sio dikteta anajifunza. Ndio maana ya dikteta uchwara! Ndio maana tunamzuia asifike huko! By the way, inaonekana Magu anafurahia kuitwa dikteta!
 
Kamanda hakikisha siku hiyo unaongoza msafara.. Bila kusahau Clinton Mbowe, Dudley Mbowe, Richard Lowassa na Fred Lowassa wawe mbele kabisa kwenye hayo maandamano.. Alafu huyo unayemwita darasa la saba na house girl ni mke wa kiongozi wako huko chamani. Ni mke halali anayefahamika na Jamhuri kwahiyo anayo haki ya kumshawishi mmewe asishiriki hizo porojo zenu
"Watangulie wao wasiwatangulize watoto wa maskini kwa kuwanywesha 'viroba"
 
Umesema wake za viongozi, mbona ummemtaja mmoja mmoja tu,? Au na wewe ni miongoni mwao?
 
Back
Top Bottom