Oparesheni UKUTA yapingwa, wake wa viongozi wa UKAWA wawasihi waume zao waachane na mpango huo

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,211
42,073
Wana jamvi wasalam.
Wakati UKAWA wakiwa na mpango wa kufanya maandamano nchi nzima ya kupinga kwa kile wanacho kisema ni unyanyasaji na ukandamizaji wa demokrasia.

Huku kukiwa na katazo kubwa sana la kuzuia maandamano hayo. Baadhi ya wake wa viongozi waandamizi wa UKAWA wameanza kufunguka na kueleza jinsi ambavyo wamekuwa wakiwasihi waume zao kuachana na mpango huo kwani unaweza kuwapa tabu wao na wataumia.

Aliye kuwa wa kwanza kufunguka kwenye ukurasa wake wa mtandao wa picha ni Bi Joyce Kiria mke wa Ndug Henry Kilewo ambaye ni kiongozi ndani ya chadema.

Alisema amekuwa akimsihi kila leo kuwambia wenzie watafute njia nyingine kwani njia wanayo taka kutumia hawato fanikiwa.. Aliweka wazi kabisa kuwa tofauti na Mh JK ambaye alikuwa akiwachekea na pengine kuwaalika ikulu kunywa nao chai wanapo tofautiana huyu wa sasa hana muda huo na wasimchokoze..

Bi Joyce Kiria alienda mbali na musema alimwambia mumewe kuwa aangalia future ya watoto wake na familia na alinganishe na huo UKUTA.

Pia aliwaomba wanawake wa viongozi wa UKAWA waungane kuwasihi waume zao kuachana na mpango huo na kutafuta njia nyingine ya kutatua migogoro hiyo na si maandamano.

Wana jamvi kama mtakumbuka kipindi cha Mh JK Kilewo alishakumbwa na case kubwa iliyo mpelekea mkewe kuzunguka kwenye vyombo vya habari kuomba huruma ya Rais mmewe aachiwe hivyo anaongea anacho kifahamu.

Wana jamvi karibuni.
uploadfromtaptalk1470127437754.png
uploadfromtaptalk1470127450847.png
uploadfromtaptalk1470127459308.png
 
Tehetehetehe. Na Magufuli kawaambia watangulie wao kwenye maandamano wakione cha mtema kuni
Huyu mama kasoma alama za nyakati na kaona mbali sasa kama Kilewo hatomsikiliza mkewe basi ..
 
Tehetehetehe. Na Magufuli kawaambia watangulie wao kwenye maandamano wakione cha mtema kuni
Huyu jamaa naye ingefaa anapoongea atulize akili. Siku zote viongozi wanaoandaa maandamano huwa wanashiriki. Anaongea kama vile hana kumbukumbu yoyote.
 
Wana jamvi wasalam.
Wakati UKAWA wakiwa na mpango wa kufanya maandamano nchi nzima ya kupinga kwa kile wanacho kisema ni unyanyasaji na ukandamizaji wa demokrasia.

Huku kukiwa na katazo kubwa sana la kuzuia maandamano hayo. Baadhi ya wake wa viongozi waandamizi wa UKAWA wameanza kufunguka na kueleza jinsi ambavyo wamekuwa wakiwasihi waume zao kuachana na mpango huo kwani unaweza kuwapa tabu wao na wataumia.

Aliye kuwa wa kwanza kufunguka kwenye ukurasa wake wa mtandao wa picha ni Bi Joyce Kiria mke wa Ndug Henry Kilewo ambaye ni kiongozi ndani ya chadema.

Alisema amekuwa akimsihi kila leo kuwambia wenzie watafute njia nyingine kwani njia wanayo taka kutumia hawato fanikiwa.. Aliweka wazi kabisa kuwa tofauti na Mh JK ambaye alikuwa akiwachekea na pengine kuwaalika ikulu kunywa nao chai wanapo tofautiana huyu wa sasa hana muda huo na wasimchokoze..

Bi Joyce Kiria alienda mbali na musema alimwambia mumewe kuwa aangalia future ya watoto wake na familia na alinganishe na huo UKUTA.

Pia aliwaomba wanawake wa viongozi wa UKAWA waungane kuwasihi waume zao kuachana na mpango huo na kutafuta njia nyingine ya kutatua migogoro hiyo na si maandamano.

Wana jamvi kama mtakumbuka kipindi cha Mh JK Kilewo alishakumbwa na case kubwa iliyo mpelekea mkewe kuzunguka kwenye vyombo vya habari kuomba huruma ya Rais mmewe aachiwe hivyo anaongea anacho kifahamu.

Wana jamvi karibuni.View attachment 374852View attachment 374853View attachment 374854
kwahiyo wewe na huyo mwanamke mnaunga mkono udikteta na mnataka udikteta uendelee kuwepo duniani kote
 
Sasa na wewe mleta Mada unataka kumsihi nani?
Halafu ninachoona huu mjadala baadhi ya watu wa CCM watamtukana na kumdhalilisha Joyce wakijifanya kuwa ni watu wa CHADEMA.

Lengo kuleta mgawanyiko na kujenga chuki za ndani kwa ndani na kutoa watu kwenye ajenda
Huu uzi ni wa kupuuza
 
Masaburi yako mtoa mada yaani maamuzi ya taasisi na ya house girl unayalinganisha?mtu aliyeishia la saba anayekesha akisaka limbwata?
Kamanda hakikisha siku hiyo unaongoza msafara.. Bila kusahau Clinton Mbowe, Dudley Mbowe, Richard Lowassa na Fred Lowassa wawe mbele kabisa kwenye hayo maandamano.. Alafu huyo unayemwita darasa la saba na house girl ni mke wa kiongozi wako huko chamani. Ni mke halali anayefahamika na Jamhuri kwahiyo anayo haki ya kumshawishi mmewe asishiriki hizo porojo zenu
 
viongozi wa Chadema hawafanyi siasa za jikoni. mlifanikiwa kwa dr mihogo lakini sio kwa makamanda waliopo sasa.
 
Kamanda hakikisha siku hiyo unaongoza msafara.. Bila kusahau Clinton Mbowe, Dudley Mbowe, Richard Lowassa na Fred Lowassa wawe mbele kabisa kwenye hayo maandamano.. Alafu huyo unayemwita darasa la saba na house girl ni mke wa kiongozi wako huko chamani. Ni mke halali anayefahamika na Jamhuri kwahiyo anayo haki ya kumshawishi mmewe asishiriki hizo porojo zenu
Amenishangaza ana mkashifu mke wa kiongozi wake .. Hawa wana laana kabisa
 
Nchi ingekuwa na udikteta mgepata hata nafasi ya kusema kuna udikteta?
kama mtu upo ccm huwezi kuona udikteta kwasababu unakuwa upo gizani. na kitu chochote ukikikuta mbele yako lazima ukipige teke.
kwasababu unakuwa hauoni kitu. na vitu vingi unakuwa unafanya kwa kukisia.
 
Back
Top Bottom