Oparesheni UKUTA yapingwa, wake wa viongozi wa UKAWA wawasihi waume zao waachane na mpango huo

Akili iliyoleta hii post ni same level of thinking na ya Joyce Kiria. Eti wake za viongozi!??
 
Wana jamvi wasalam.
Wakati UKAWA wakiwa na mpango wa kufanya maandamano nchi nzima ya kupinga kwa kile wanacho kisema ni unyanyasaji na ukandamizaji wa demokrasia.

Huku kukiwa na katazo kubwa sana la kuzuia maandamano hayo. Baadhi ya wake wa viongozi waandamizi wa UKAWA wameanza kufunguka na kueleza jinsi ambavyo wamekuwa wakiwasihi waume zao kuachana na mpango huo kwani unaweza kuwapa tabu wao na wataumia.

Aliye kuwa wa kwanza kufunguka kwenye ukurasa wake wa mtandao wa picha ni Bi Joyce Kiria mke wa Ndug Henry Kilewo ambaye ni kiongozi ndani ya chadema.

Alisema amekuwa akimsihi kila leo kuwambia wenzie watafute njia nyingine kwani njia wanayo taka kutumia hawato fanikiwa.. Aliweka wazi kabisa kuwa tofauti na Mh JK ambaye alikuwa akiwachekea na pengine kuwaalika ikulu kunywa nao chai wanapo tofautiana huyu wa sasa hana muda huo na wasimchokoze..

Bi Joyce Kiria alienda mbali na musema alimwambia mumewe kuwa aangalia future ya watoto wake na familia na alinganishe na huo UKUTA.

Pia aliwaomba wanawake wa viongozi wa UKAWA waungane kuwasihi waume zao kuachana na mpango huo na kutafuta njia nyingine ya kutatua migogoro hiyo na si maandamano.

Wana jamvi kama mtakumbuka kipindi cha Mh JK Kilewo alishakumbwa na case kubwa iliyo mpelekea mkewe kuzunguka kwenye vyombo vya habari kuomba huruma ya Rais mmewe aachiwe hivyo anaongea anacho kifahamu.

Wana jamvi karibuni.
View attachment 374852View attachment 374853View attachment 374854
Hii post inaonyesha kutokuwa na ujasiri wowote.....hii post haifai kwenda vitani...hii post ina sauti ya mwanamke....mwanamke ni kiumbe dhaifu...hii post yenye sauti ya mwanamke iliyoletwa hapa na mwanamke inaonyesha dhahiri haijawahi kusoma KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO Na SHERIA KWA VYAMA VYA SIASA.....inasikitisha sana ukiisoma post hii iliyoletwa na Mwanamke anayejiona km vile malkia wa Nguvu....pole sana dada Ruttabolwa...sidhani km kuna mwanaume atakaye kuelewa na hii post yako.

NB: ni mtazamo tu.
 
Hii ni kwa sababu wanawake sio wenzetu; na tangu enzi za mababu wanawake walikuwa hawahesabiwi kwenye sensa!

"Na tumuumbe mtu kwa mfano wetu" - hakuumbwa mwanamke!

"Ukila tunda utajua mema na mabaya" - Hakuambiwa Adamu!

Ukitaka kwenda vitani hupaswi kumuaga mkeo wala mama yako!
 
.........alimwambia mumewe
kuwa aangalie future ya watoto
wake na familia na alinganishe
na huo UKUTA.

hapa ndipo paliponichosha!!!
 
Hii post inaonyesha kutokuwa na ujasiri wowote.....hii post haifai kwenda vitani...hii post ina sauti ya mwanamke....mwanamke ni kiumbe dhaifu...hii post yenye sauti ya mwanamke iliyoletwa hapa na mwanamke inaonyesha dhahiri haijawahi kusoma KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO Na SHERIA KWA VYAMA VYA SIASA.....inasikitisha sana ukiisoma post hii iliyoletwa na Mwanamke anayejiona km vile malkia wa Nguvu....pole sana dada Ruttabolwa...sidhani km kuna mwanaume atakaye kuelewa na hii post yako.

NB: ni mtazamo tu.
ni positi goigoi sana imejaa uoga haina uzalendo wa kweli kwa wanamabadiliko ya kweli kupinga huu udikiteta kwa nguvu zote
 
Joyce anaogopa kukosa wazamini wa kipindi chake kama alimshauri mumewe kulikua na haja gani ya kuweka mtandaoni yote hayo huku ni kukatishana tamaaa. Watu na mimba zetu tumeapa kuandamana tena tutakaa mbele kabisaaa
 
Mbn mnaogopa as if nyie ndo mtakopata kipigo cku iyo? Wenyew watakaopigwa wanasema wataenda nyie mnapiga kelele cjui ndo nn sasa
 
Nimeshamuomba sana shemeji yenu asome alama za nyakati jamani..Mkuu wa Kaya wa sasa kwa kweli hapanaaaaa wasimshike sharubu pls.... Hii UKUTA uuuuuwiiii nimemwomba jamani waipige chini watafute njia nyingine ya kumaliza migogoro ya kisiasa
.
.
Kinamama wenzangu Hasa WAKE wa hawa wanaUKUTA pls tuwashauri waume zetu jamani tusisubiri mambo yaharibike kisha ndo tuanze kulia wakati tunaweza kuwazuia wasifanye jazba jamaniii... Hats kwenye nyumba hamuwezi wote kuwa wababe jamani lazima mmoja awe chini jamaniii...
.
.
Kiukweli wamefanya kazi kubwa nzuri katika Taifa hili na mbinu zao zilifanikiwa sana kwa serikali iliyopita kwa sababu Dady alikuwa hana neno mkwere wa watu, anawachekea na kuwapa nafasi ya kuwasikiliza na juice wanapewa, lakini sasaivi uuuuuuwiiiii wapunguze spidi na wasome sana mchezo, HUU MCHEZO HAUHITAJI HASIRA huyu BABA hacheki jamaniiiii.. Wasimjaribu jamaniiiii
.
.
Yaani kiukweli nampenda sana Kilewo wangu, nimemwambia UJANE wa kulazimishana siutaki kabisa jamani eti uniachie hawa kina Lincon na Linston peke yangu mapema yote hii, Lisa UKUTA jamani??? Tuwaombee sana sana, yaani Mungu aingilie kati yamani, na tusiache kabisa kuwashauri waachane na UKUTA watatue haya mambo mezani bila kutumia nguvu kubwa .... Nafasi bado IPO naamini....
.
source page ake ya fb
.
Mambo yakiharibika jamani Wanawake na Watoto itakula kwetu zaidi
 
Mtoa mada yaani maamuzi ya taasisi na ya house girl unayalinganisha?mtu aliyeishia la saba anayekesha akisaka limbwata?
Joyce anauelewa na uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko wewe. Naamini kabisa kama unaweza kitu ni kuvaa nguo na kusubiri chakula cha baba yako vinginevyo usingemtukana Joyce
 
ni baadhi ya wanawake ambao waume zao ni miongoni makamanda wa mstari wa mbele katika mapambano ya kupigania demokrasia maarufu kama ukuta wamewaonya waume zao kua wasome alama za nyakati na kuachana na hiyo mikakati ya ukuta kwani hawako tayari kupoteza waume zao kwa sasa. wanawake hao wanasema mkuu wa kaya aliyepo kwa sasa hacheki na mtu.
 
labda dada yako kamuonya shemeji yako halafu unaileta ukijumuisha na nafsi hewa .
 
Back
Top Bottom