Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,468
- 101,398
jinsi unavyompenda ye ahh! na kama mapenzi bado ahhh nimwambie utayaongeza we ahhh! ujumbe umefika shem wangu wa ukweeeee! Young_Master pia ukimuona mwambie ye ndiye alfa na omega! kwa babu nafuata ukaguzi tu!..nitamwambia..nami nakutuma kwa Preta ..nenda kamwambie........
...nisaidie kaka angu....@PJ..nakufa kwa presha mie hukuPreta, kwa Madaraka niliyo nayo juu na chini yako, nakuamuru jitokeze haraka utuepushe na janga linalotunyemea.
Vinginevyo nakufuata kulekule nanihiino kwako, si unanijuaga!!.
jana nusu nimtafute babu Asprin kwa ukaguzi usiku mnene ule, Young_Master aligom akabisa kunipa haki yangu ya chakula cha usiku kisa balotelli yupo chali kha!...maisha kwangu magumu bila yake yeye...
..asidanganywe na....wakishapata wana....@cacio.. Young_Master anakunywa supu na bado ana machungu ya Italy kufungwa jana
usimng'oe tu zivu kwa plaiz kha! PakaJimmy mzima wewe?Preta, kwa Madaraka niliyo nayo juu na chini yako, nakuamuru jitokeze haraka utuepushe na janga linalotunyemea.
Vinginevyo nakufuata kulekule nanihiino kwako, si unanijuaga!!.
Sasa mbona huku do the needful? Mi miss sana wewe ujue...Ile Bike nlokupa si bado unayo?jana nusu nimtafute babu Asprin kwa ukaguzi usiku mnene ule, Young_Master aligom akabisa kunipa haki yangu ya chakula cha usiku kisa balotelli yupo chali kha!
Preta, kwa Madaraka niliyo nayo juu na chini yako, nakuamuru jitokeze haraka utuepushe na janga linalotunyemelea.
Vinginevyo nakufuata kulekule nanihiino kwako, si unanijuaga!!.
..sina NENO lingine.....zaidi ya...