2v2
Senior Member
- May 7, 2025
- 168
- 238
Najihisi kama gari lililosimama katikati ya jangwa.
Mafuta hayajaisha, safari haijaisha, na ninajua ninakoelekea.
Ila kwa sasa hakuna kelele za kunisukuma, hakuna shangwe za kunitia moyo, wala hamasa ya kukanyaga mafuta zaidi.
Baadhi ya ndoto zimechelewa, baadhi ya mahusiano yameacha ukimya kuliko majibu.
Kwa hiyo nimesimama tu kwa muda, nikitazama upeo wa mbali.
Na pengine si kila kusimama ni kushindwa.
Wakati mwingine ni sehemu ya safari ambayo hujifunza kutembea tena bila kutegemea kelele za dunia.