....ooh ..Preta

Huo ni ugonvi sina sababu yakuomba kibali cha kukupiga!!Nakuomba ndugu mtu chake rudi nyuma fikiria upya naikiwezekana muombe Paw afute hii sled maana!!ili uhusiano wetu mimi nawewe uendele kuwepo!!!..........Nawewe Preta si haki yako kukaa kimya!!unaonyesha unyonge wako kama nikitu kinawezekana simama sema Hapana ninaye ambaye ni KakaKiiza ...Naomba shahidi yangu ndugu Erickb52.Mimi sirudii na siongei mimi ni vitendo basi...fikiria tena uamuzi uliouchukua usije ukakugharimu kila ra heri!!!:israel:
Heheheheheheeeee hii mpya Lol
Nilijua Preta ni wa mtu chake kumbe Mtu Chake ni Small Hausi lol
Nimeshtuka sana KakaKiiza kuleta habari hizi za utata....!
Sasa nani muhusika kati yenu? Preta ukuje hapa useme nani ni wako au nawewe ushaanza tabia za BADILI TABIA na wenzake kumiliki wanaume wote duniani?
 
Last edited by a moderator:
Huo ni ugonvi sina sababu yakuomba kibali cha kukupiga!!Nakuomba ndugu mtu chake rudi nyuma fikiria upya naikiwezekana muombe Paw afute hii sled maana!!ili uhusiano wetu mimi nawewe uendele kuwepo!!!..........Nawewe Preta si haki yako kukaa kimya!!unaonyesha unyonge wako kama nikitu kinawezekana simama sema Hapana ninaye ambaye ni KakaKiiza ...Naomba shahidi yangu ndugu Erickb52.Mimi sirudii na siongei mimi ni vitendo basi...fikiria tena uamuzi uliouchukua usije ukakugharimu kila ra heri!!!:israel:

naomba utuache.......umesahau ulivyoni.......

548790_374645682590607_29757033_n.jpg

na kunikimbia... mtu chake alinikuta na machozi....akanifuta.....leo hii wewe wataka rusha ngumi......?
tafadhali..........
 
Last edited by a moderator:
naomba utuache.......umesahau ulivyoni.......

View attachment 57924

na kunikimbia... mtu chake alinikuta na machozi....akanifuta.....leo hii wewe wataka rusha ngumi......?
tafadhali..........
Unasemaje?? Preta ??hivi dar express zipo za jioni kwenda..........????Maana unaonge nyuma ya keybord huku unarusha na miguu.....sasa chagua moja kati ya mawili....Turudi kwenye meza ya mazungumzo au na wewe unagoma kama...wasinisikie....au huyo kibrushuti...naniliyuu mtu chake...nifuate mimi ninajeshi kuliko janjaweed!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom