shosti upo?? kha hatimaye umesikia hiyo mitarumbeta uliyopigiwa kha!nini tena bebii...?
shosti upo?? kha hatimaye umesikia hiyo mitarumbeta uliyopigiwa kha!
sijambo my dear! nipo naliendeleza libeneke.mpenzi mtamu shostito.....hujambo lakini....
..penda wewe sanaaanini tena bebii...?
sijambo my dear! nipo naliendeleza libeneke.
..penda wewe sanaaa
na wenye hasira nao waende eda bila kufiwa!!! Chezeiya mapenzi weye??wenye wivu watembee uchi.....
kakuita nani?Huku hainipendezi!
Nimepita tu! Habari za huku??
Dah mtu chake umenikumbusha mbali sana..sina NENO lingine.....zaidi ya...
...ukimuona utamuona NATURALY...sio mpenda MAKUU
...na KILA nikitazama nazidi KUMPENDA.. TU...
..Mtoto Hana Mapozi...na wala si SISTA duu.. Preta
sijambo my dear! nipo naliendeleza libeneke.
Huo ni ugonvi sina sababu yakuomba kibali cha kukupiga!!Nakuomba ndugu mtu chake rudi nyuma fikiria upya naikiwezekana muombe Paw afute hii sled maana!!ili uhusiano wetu mimi nawewe uendele kuwepo!!!..........Nawewe Preta si haki yako kukaa kimya!!unaonyesha unyonge wako kama nikitu kinawezekana simama sema Hapana ninaye ambaye ni KakaKiiza ...Naomba shahidi yangu ndugu Erickb52.Mimi sirudii na siongei mimi ni vitendo basi...fikiria tena uamuzi uliouchukua usije ukakugharimu kila ra heri!!!:israel:..sina NENO lingine.....zaidi ya...
...ukimuona utamuona NATURALY...sio mpenda MAKUU
...na KILA nikitazama nazidi KUMPENDA.. TU...
..Mtoto Hana Mapozi...na wala si SISTA duu.. Preta