ONYO LA USALAMA WA TAIFA: Bei ya Chakula ni Bomu Linalosubiri Kulipuka Tanzania

ONYO LA USALAMA WA TAIFA: Bei ya Chakula ni Bomu Linalosubiri Kulipuka Tanzania

theprogrammer C++

Senior Member
Joined
May 17, 2013
Posts
117
Reaction score
286
Wakati korido za madaraka zikijaa mijadala ya kisiasa na miradi mikubwa, kuna adui wa kimyakimya anayesambaratisha amani ya nchi yetu… Njaa mitaani. Katika kipindi kifupi bidhaa za msingi kama viazi mbatata zimeshuhudia ongezeko la bei la hadi 200%.

Historia inatufundisha kuwa "Tumbo lenye njaa halina masikio." Serikali isipofumbua macho sasa tunatengeneza mazingira ya:

1. Mlipuko wa Uhalifu:

2. Hasira dhidi ya Mamlaka: Wananchi wanapohisi wamelelewa "peke yao" kwenye mateso, imani kwa serikali hupotea.

3. Machafuko ya Kiraia: Maandamano mengi duniani hayakuanza kwa kudai kura au Haki, yalianza kwa kudai MKATE.

Hatua za Haraka Zinazopaswa Kuchukuliwa

Serikali lazima iache kutazama siasa pekee na kuelekeza nguvu kwenye sahani ya mlaji:


• Uingiliaji wa NFRA: Hifadhi ya Chakula ya Taifa isihifadhi mahindi pekee. Lazima iingize sokoni akiba ya bidhaa mbadala kwa bei ya ruzuku ili kuvunja nguvu ya walanguzi.


• Kudhibiti Madalali: Ongezeko la bei mara nyingi halimfaidishi mkulima. Lazima kuwe na mfumo wa kudhibiti faidakwa bidhaa za msingi.(mi ningeshauri madalali wauliwe kwa mabomu maana wale sio binaadamu ni wanyama)


• Ruzuku ya Usafirishaji: Serikali itoe ruzuku ya mafuta kwa malori yanayosafirisha vyakula kutoka mikoani ili kupunguza gharama ya mwisho kwa mlaji.

• Kulinda Makundi Hatarishi: Kupitia TASAF kuanzisha mfumo wa "Voucher za Chakula" kwa familia maskini zaidi ili waweze kumudu viazi na unga.

Usalama wa Tanzania hauanzii mipakani na bunduki, unaanzia jikoni kwa mama lishe. Ni hatari sana kwa taifa kuendelea na "Business as Usual" wakati wananchi wanakosa mlo mmoja kwa siku. Serikali fanyeni kazi ya kulinda tumbo la mwananchi kabla hamjalazimika kulinda amani barabarani.

Ikiwa mapendekezo haya hayatatekelezwa serikali itajikuta ikitumia fedha nyingi zaidi kununua vifaa vya kuzuia ghasia (Riot Gear) kuliko ambavyo ingetumia kutoa ruzuku ya viazi. Chakula ni Haki si Anasa.
 
Madalali ni Economic Insurgents(Waasi wa Kiuchumi). Hawa ni watu wanaovuruga usambazaji wa rasilimali na kudhoofisha utulivu wa nchi kwa makusudi ili kupata faida.

Katika lugha ya kijasusi tunaita mfumo huu "Value Chain Sabotage" Madalali nchini Tanzania wamejipenyeza katikati ya mzalishaji (mkulima) na mlaji na kutengeneza kizuizi ambacho kinanyonya damu ya pande zote mbili.

Tanzania ni nchi inayotegemea kilimo lakini madalali wanahakikisha kuwa kilimo hakitajirishi mkulima.

Mfumuko wa Bei wa Bandia. Dalali haongezi thamani yoyote kwenye bidhaa . Anachofanya ni kuhamisha gunia kutoka sehemu A kwenda B na kupandisha bei kwa 100%. Huu ni uporaji wa mchana kweupe unaopunguza nguvu ya ununuzi (purchasing power) ya mwananchi

Usalama wa Chakula (Food Security) ndio msingi wa amani yoyote.

Bei ya viazi, mahindi na maharage inapopaa kwa sababu ya magenge ya madalali, wananchi wanaanza kuichukia serikali yao. Wanaona serikali haina meno au inashirikiana na wanyonyaji. Hii ni kuni kavu inayoweza kuchochewa na maadui wa ndani au nje kuanzisha machafuko.

Uhalifu wa Mitaani.. Bei ya chakula inapopita uwezo wa masikini, vijana hukata tamaa na kujiingiza kwenye ujambazi na uporaji ili wale. Madalali wanatengeneza jeshi la watu wenye njaa ambao hawana cha kupoteza.

Udhoofishaji wa Sarafu na Mzunguko wa Fedha
Madalali wengi hufanya kazi kwenye (Shadow Economy). Hawalipi kodi stahiki, wanatumia Cash kukwepa mifumo ya kibenki na wanajilundikia utajiri ambao hautumiki kuzalisha viwanda. Badala yake wanatumia fedha hizo kuhonga maofisa wa serikali ili waendelee kulinda maslahi yao sokoni.

Kama nchi inataka kupona lazima madalali wapigwe vita kama magaidi wa kiuchumi. Haipaswi kuwa hiari ni lazima kwa usalama wa nchi

Digitization of Markets (Soko la Kidijitali).. Serikali ianzishe mfumo ambapo mkulima anaweza kuona bei ya soko ya Dar es Salaam akiwa Njombe na kuuza mazao yake moja kwa moja kwa wasambazaji wakuu bila kupitia madalali watano wa katikati.

Ujenzi wa Maghala na Miundombinu. Ikiwa mkulima ana sehemu salama ya kuhifadhi (Cold Storage)hatalazimika kuuza kwa bei ya hasara kwa dalali anayemvizia wakati mazao yanakaribia kuharibika.

Sheria ya Uhujumu Uchumi kwa Mapato ya Madalali. Mtu yeyote anayehodhi chakula au kupandisha bei kwa makusudi ili kutengeneza uhaba, anapaswa kushitakiwa kwa kosa la kuhujumu usalama wa taifa, si biashara tu.

Kuimarisha Vyama vya Ushirika (AMCOS). Wakulima wakiungana wanakuwa na nguvu ya pamoja dhidi ya madalali.

Taifa ambalo haliwezi kudhibiti bei ya chakula chake haliwezi kudhibiti mustakabali wake. Madalali ni maadui wa watu na ni jukumu la kila mdau wa usalama kuona kuwa mnyororo huu wa unyonyaji unakatwa.
 
Rudi shamba acha kukaza matako uonekane upo mjini huna mbele wala nyuma
Madalali wote wanatakiwa wauliwe na maiti zao kutupwa kama mzoga.. Ntahakikisha mpaka mwaka huu unaisha madalali wote wametolewa kwenye mfumo wa usambazaji. Dawa yenu inakuja technology itawatoa wote nyie. Madalali sio watu ni kama mbu wanastahili kuuliwa kwa makofi,sumu,moto na kila aina ya silaha.. Chuki yangu dhidi ya madalali ni kubwa kuliko navojipenda mwenyewe..
 
Tanzania iwe na njaa alafu kuna mapori, mito, na vijana waliozubaa vijiweni?
Uko sahihi kabisa. Tanzania kuwa na njaa ni ukosefu wa ubunifu na uzalendo katika usimamizi wa rasilimali zetu. Mapori ni fursa, lakini bila 'Uongozi Shupavu' wa kuunganisha vitu hivi vitatu, tutabaki kuwa masikini wenye utajiri wa maneno huku madalali wakiendelea kutawala tumbo la mwananchi….Inashangaza kuona nguvu kubwa inatumika kwenye harakati za kisiasa badala ya kuweka 'Amri ya Taifa' ya kutumia vijana wa JKT na vikundi vya uzalishaji kulima mashamba makubwa ya kimkakati ili kutosheleza soko la ndani.
 
Tunahitaji Uhamasishaji wa Kitaifa kurejesha heshima ya ardhi. Lakini tuwe wakweli… Huwezi kumwambia kijana akalime porini wakati hana hata mtaji wa kununua pampu ya maji huku akiona viongozi wake wakitumia mabilioni kwenye mambo yasiyo na tija.
Serikali Lazima itengeneze mazingira ambapo kijana anaingia shambani kama mfanyabiashara.

Serikali itenge mapori makubwa (kwa mfano hekta 10,000 kila mkoa) na kuyagawa katika vitalu kwa vijana waliosajiliwa. Miundombinu ya Umwagiliaji…Badala ya kutegemea mvua, serikali itumie maji ya mito na maziwa kujenga mifumo ya umwagiliaji ya kudumu katika kila kanda…

Kutumia mfumo wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kama kituo cha uzalishaji .Mwalimu alituachia JKT tuitumie jamani.. Kila kambi ya JKT iwe kituo cha teknolojia ya kilimo. Vijana vijiweni wachukuliwe kwa mafunzo ya miezi 6 ya kilimo cha kisasa, kisha wapewe vifaa, mbegu na ardhi , badala ya kurudishwa mtaani kukaa vijiweni…
 
Mawazo ya afisa wa serikali mtaalamu wa fani tatu

Dec 28 2025
A complete A–Z breakdown of Tanzania Vision 2050 with Titus M. Kaguo at the Transformation Book Club. Understand the goals, opportunities, and direction shaping Tanzania’s future.

View: https://m.youtube.com/watch?v=DtVhu0_Yn34
Timestamps :

00:00 Introduction & Session Overview

02:15 What is Tanzania Vision 2050

06:40 Why Vision 2050 Matters for Tanzania

12:05 Key Pillars of Vision 2050

20:30 Economic Transformation Goals

28:10 Social Development & Human Capital

36:45 Governance, Leadership & Institutions

45:20 Role of Youth in Vision 2050

54:00 Implementation Challenges & Opportunities

1:02:30 Key Takeaways & Call to Action

Source : STREAMORE
 
Madalali wote wanatakiwa wauliwe na maiti zao kutupwa kama mzoga.. Ntahakikisha mpaka mwaka huu unaisha madalali wote wametolewa kwenye mfumo wa usambazaji. Dawa yenu inakuja technology itawatoa wote nyie. Madalali sio watu ni kama mbu wanastahili kuuliwa kwa makofi,sumu,moto na kila aina ya silaha.. Chuki yangu dhidi ya madalali ni kubwa kuliko navojipenda mwenyewe..
Tupe kisa hadi uwachukie kiasi hiko.
 
Viazi mbatata ndiyo viazi Ulaya/mviringo?

Ni mambo ya msimu tu,mbungi ni sembe/dona na mchele ndiyo hasa kizaazaa bei zikichachamaa.
 
Tanzania iwe na njaa alafu kuna mapori, mito, na vijana waliozubaa vijiweni?
Screenshot_20260109_143952_Instagram.jpg


MamaSamia2025

adriz de Mafwele
 
Back
Top Bottom