Vinci
JF-Expert Member
- Jul 6, 2009
- 2,637
- 675
Kwa utandawazi na maadili yalivyopoteza mwelekeo..kuacha ngono kwa wote walio nje au ndani ya ndoa ni ngumu sana....cha msingi ni kusisitiza ngono salama...kupiga vita ngono zembe. TUMIA KINGA
Hata wenye kisukari hupata UKIMWI hata wenye kansa ya Damu hupata UKIMWI.
Dawa ya kuzuia kuambukizana HIV ni kuacha ngono nje ya ndoa.