Online skills gani iko sokoni sahivi, ambayo mtu akisomea hata juta maishani mwake?

Megfar2001

Member
Joined
Aug 24, 2022
Posts
68
Reaction score
96
Habari wanajf

Kuna rafiki yangu ni mwajiliwa mahari flani , anamuda mwingi wa ziada baada ya kazi, anataka huo mda wa ziada ajifunze kozi nzuri online ambayo ipo sokoni Ili imsaidie kupata pesa ya ziada baada ya kumaliza masaa ya kazi.

Vifaa vya kujifunzia vipo Pc, smartphone, bando 24/7 hours

KARIBU KWA USHAURI WA KOZI YA KUSOMA ONLINE AMBAYO NI MARKETABLE
 
Hata mm nahtaji
 
Back
Top Bottom