Online Engagements: Ushaidi kuntu juu ya mechi ipi ni kubwa kati ya ile ya Simba vs Al Ahyl na Yanga vs Mamelodi

Yaani hadi mashabiki karibia asilimia kubwa wanaongelea mechi ya Mamelod na kuangaika kununua jezi za Mamelod, husikii kuzungumzia mechi yao dhidi ya Al Ahly. Utafikiri Ijumaa hakuna mechi vile
 
Ukubwa wa mechi kati ya ile ya Simba vs Al Ahyl na ile ya Yanga vs Mamelodi Sundowns ushakuwa wazi tangu tarehe 12/03/2024 ilipopangwa droo ya CAF robo fainali.

Tangu hiyo siku mpka Leo,kati ya mechi zote za wiki hii,ni mechi Moja yenye high online engagements.

Mechi hiyo ni ya Yanga vs Mamelodi.

Mathalani ukiingia katika ukurasa rasim wa CAF kule X,kama ukianzia tarehe 12 ya mwezi huu,basi habari za mechi ya Yanga ndo yenye kuchangiwa na watu wengi.

Hata yule mnazi wa Simba Micky Jr, akitaka apate engagements basi ni lazima apost habari za Yanga.

Hata CAF wanalijua hilo, wakitaka wapate online engagements kubwa basi ni lazima wapost habari za Yanga.

No Yanga no online engagements.

Ebu angalia mathalani huu mchanganuo huu hapq chini kwenye hizi post mbili za tarehe 12/03/2024 baada ya droo ya Robo Fainali kwenye ukurasa wa CAF kule X: Yanga kapata comments 748,retweets 1k,likes 6k na views 315k

Simba kapata comments 281,retweets 654, likes 5.1k na views 131k

NB:
Nasema za Yanga na Simba kwa kuwa hata CAF wanajua bila ya kupost habari za Simba na Yanga hawatopata online engagements kubwa

Japo Yanga tunaongoza kwa kufuatiliwa mtandaoni, ila nisiwe mnafiki

Wabongo tunatisha kwa kuzichangamsha media platform za mtandaoni

Congrats to usView attachment 2946064View attachment 2946065View attachment 2946070View attachment 2946071
Kwa hiyo kwa ushahidi huu utazisaidia timu zetu kutinga hatua inayofuata?
 
Yaani hadi mashabiki karibia asilimia kubwa wanaongelea mechi ya Mamelod na kuangaika kununua jezi za Mamelod, husikii kuzungumzia mechi yao dhidi ya Al Ahly. Utafikiri Ijumaa hakuna mechi vile
Aahaaaaa a

Umeongea point sana mkuu
 
Ukubwa wa mechi kati ya ile ya Simba vs Al Ahyl na ile ya Yanga vs Mamelodi Sundowns ushakuwa wazi tangu tarehe 12/03/2024 ilipopangwa droo ya CAF robo fainali.

Tangu hiyo siku mpka Leo,kati ya mechi zote za wiki hii,ni mechi Moja yenye high online engagements.

Mechi hiyo ni ya Yanga vs Mamelodi.

Mathalani ukiingia katika ukurasa rasim wa CAF kule X,kama ukianzia tarehe 12 ya mwezi huu,basi habari za mechi ya Yanga ndo yenye kuchangiwa na watu wengi.

Hata yule mnazi wa Simba Micky Jr, akitaka apate engagements basi ni lazima apost habari za Yanga.

Hata CAF wanalijua hilo, wakitaka wapate online engagements kubwa basi ni lazima wapost habari za Yanga.

No Yanga no online engagements.

Ebu angalia mathalani huu mchanganuo huu hapq chini kwenye hizi post mbili za tarehe 12/03/2024 baada ya droo ya Robo Fainali kwenye ukurasa wa CAF kule X: Yanga kapata comments 748,retweets 1k,likes 6k na views 315k

Simba kapata comments 281,retweets 654, likes 5.1k na views 131k

NB:
Nasema za Yanga na Simba kwa kuwa hata CAF wanajua bila ya kupost habari za Simba na Yanga hawatopata online engagements kubwa

Japo Yanga tunaongoza kwa kufuatiliwa mtandaoni, ila nisiwe mnafiki

Wabongo tunatisha kwa kuzichangamsha media platform za mtandaoni

Congrats to usView attachment 2946064View attachment 2946065View attachment 2946070View attachment 2946071

Bahati mbaya CAF huamua ukubwa wa timu kwa kuangalia ranking zake tu:

1711550360019.png
 
Haswaa ni mechi iliyopangwa kionevu sana
Kwa upande wangu hamna uonevu kwa sababu mnaokutana robo fainali wote ni mabingwa, ila anatafutwa bingwa zaidi...na ukitaka kuwa bingwa, pigana na magwiji wenzako

unataka pepo iweje uogope kifo?
 
Back
Top Bottom