Idadi ya wanawake ni kubwa ndiyo mtaani lakini kiuhalisia wanaume wanaonekana wachache kwa sababuIdadi pia ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume
1.wamejaa magerezani mamia wamehukumiwa kunyongwa, vifungo vya maisha na vifungo vifupi na virefu
2.Wengi mashoga, mateja na wanaovizia kulelewa
3.wengi hufa kutokana na kazi hatarishi kama ujambazi na kufukiwa na vifusi machimboni
4.wengi hufa kwa stress za kujimilikisha wamama zaidi ya mmoja na kujikuta wanalogwa waking oban I was
5.waliopo vijijini asilimia90 walevi kwenye vilabu vya pombe na gongo.
6 . biological ni kulinganisha na wanawake,wanaume wanakufa mapema mf. Tofauti na mwanamke mwanaume anaweza kuwa na msongo wa mawazo akaumia mwenyewe moyoni wakati mwanamke atatoka na kumsimulia shoga yake. Pia ufanyaji wa tendo la ndoa bila kula vizuri humomonyoa afya ya mwanaume na uhai wake kwa jumla.
Sababu hizo zinafanya wanaume wawe wachache na siyo kwamba ni mpango wa Mungu iwe hivyo. Kwa hiyo hili jambo si sifa ni la kulifanyia kazi