Ongezeko la wadada wanaohitaji ndoa nini tatizo?

Ongezeko la wadada wanaohitaji ndoa nini tatizo?

Dah sahiv ukimtongoza binti kitu cha kwanza anataka ndoa , sasa jaman tutaweza kuwaoa ninyi nyote? Wengine mkubali tu kuwa michepuko yetu tu.
 
Kipindi cha nyuma walianza kuolewa wakiwa na umri gani,?
Kipindi cha nyuma walikua wakiolewa hata na miaka 13 ila wa sasa hawaolewi kwa umri huo ni wanatumika tu mwanaume atampata akiwa na miaka 23 and above hapo rambo lazima liwepo
 
Tatizo wana mapenzi sana na whatsap pamoja na fb ndo mabwana zao sanjari na ponograph movies.Kuolewa kwao mpk baadae sana Network zikiwa hoi
 
Back
Top Bottom