Ongezeko la wadada wanaohitaji ndoa nini tatizo?

Huyu Leila Omary nimeingia kwa profile yake anaonekana kashachezea sana ujana wake hadi kazalishwa pia nimtu Fulani hivi hajatulia na wanaume hatupendi mahusiano na mwanamke aliyezaa ukweli mchungu
Mpaka ukaenda kumtafuta
 
Huyu Leila Omary nimeingia kwa profile yake anaonekana kashachezea sana ujana wake hadi kazalishwa pia nimtu Fulani hivi hajatulia na wanaume hatupendi mahusiano na mwanamke aliyezaa ukweli mchungu
Mwanaume sio wa mchezo mchezo na ukaenda kabisa kumwangalia
 
Back
Top Bottom