Ongezeko la ngono maofisini nini sababu?

Ongezeko la ngono maofisini nini sababu?

Wakuu habari za nyinyi jamani,
Natumaini mu wazima kabisa,
Leo nimeona nishushe haka ka uzi ambako nimekafanyia utafiti usio rasmi na nimeona kuna haja ya kukajadili.

Kwa wenzangu na mimi tulio maofisini bila shaka mtakubaliana na mimi kwamba siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la wafanyakazi kupeana tamu maofisini baada ya saa za kazi.

Wengi hubakia baada ya saa kumi na moja au mbili wakijifanya kuwa bize bado na vimeo mbalimbali kumbe wanazuga watu wengine waondoke ili mechi zipigwe kwenye sakafu, makochi au Meza na viti vya ofisini.

Ukweli ulio mchungu ni kwamba wake zetu ambao tunaona ni watulivu nyumbani na hata weekend hawatoki nyumbani kwenda kokote kumbe mabosi wanawainamisha huko maofisini baada ya saa za kazi aisee.

Hii pia inawakumba sana wahudumu wa maofisi, masekretari na walio katika mafunzo ya vitendo wapo pia wanawake wanaowaita hapo ofisini michepuko yao waje kupiga show ofisini.

Kinachonifanya niulize ni sababu zamani ofisi ziliheshimiwa sana, baada ya saa za kazi watu walikuwa wanarudi nyumbani, ni kwanini sasahivi maofisi yamegeuka magesti ya kuchapia mpaka wake za watu? Karibuni tushee aidia hasa kama kuna wenye konfesheni za kungonoka ofisini.
Hizo ni laana, unajikuta unafanya kazi miaka tele lakini huna unachopata
 
Kwa spidi hii masingo maza wataisha kweli?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Aiseeeee! Ndo hao wanapandikizwa mimba na kuwa single mom alafu badae wanakuja kulia humu wanatafuta waume, haya bana, endelea kuwakandamiza!
Kuna rafiki yangu alikuwa na mchumba wake wanafanya wote kazi katika kiwanda kimoja,jamaa alikujakustukia mchumba wake anamegwa na bosi na hatimae amepigwa mimba kabisa na boss.Yaani sijui wanawake wanawaza kwa kutumia nini,sasa hivi ni single mum.
 
Ndiyo maana napiga kelele cku nyingi kuwa badala ya kutafuta dawa ya ukimwi...tutafute dawa ya kufubaza nyege...ndiyo maana tunaomba msamaha kwa Mungu kwa dhambi zetu...manake ni vigumu kupita katika tundu la sindano..yaani nyege ziwepo halafu uzinifu usiwepo...

#Dawa_za_kufubaza_nyege
 
nilikua field ofisi moja..kuna kitu nikamwomba mkubwa wa pale aje kunielekeza (ni type ya wale wamama wasiozeeka) mmama huyo na kisketi chake paja hilooo...akiwa anakaribia kumaliza maelekezo nikagusa paja haraka nikatoa mkono.nilivoona hamna reaction nikagusa tena ila kwa taratibu nikaona kimya......basi nikaanza kuufanyia massage ule mpaja..nashangaa mama kaanza kuniegemea kichwani.....basi nikapitishs mkono nikagusu kitumbua..nilivoona kimya nikajihakikishia mlo....Nilienda kufunga mlango na kushusha pazia..we fucked good aise..kila nikienda dar lazima tupeane tamu
Na bado watu wanahangaika kupiga vita Ukimwi kwa kweli nawaonea huruma maana wanafanya kazi bure. Usiniambie mlikuwa mnatembea na kondom mfukoni
 
nilikua field ofisi moja..kuna kitu nikamwomba mkubwa wa pale aje kunielekeza (ni type ya wale wamama wasiozeeka) mmama huyo na kisketi chake paja hilooo...akiwa anakaribia kumaliza maelekezo nikagusa paja haraka nikatoa mkono.nilivoona hamna reaction nikagusa tena ila kwa taratibu nikaona kimya......basi nikaanza kuufanyia massage ule mpaja..nashangaa mama kaanza kuniegemea kichwani.....basi nikapitishs mkono nikagusu kitumbua..nilivoona kimya nikajihakikishia mlo....Nilienda kufunga mlango na kushusha pazia..we fucked good aise..kila nikienda dar lazima tupeane tamu
Umenifanya dude langu liamke.We noma sana.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mi naona ni tabia ya MTU binafsi nikimaanisha sio wote wanaofanya upumbavu huu lkn upo kwa asilimia kubwa, michezo hii huanza tangu shule, sasa ikiwa mwanaume/mwanamke ana ushetani huo tangu mwanzo basi hawezi kuona shida.
 
Jmn watu tumekuwa wauaji bila kujua. Nashaur watu tuseme tu maana jmn huu ninuaji. Hawaon hata thaman yetu maskin wanaruhusu had mimba uwiii Mungu nisaidie
Mkuu acha tu.... Miez ka mi4 iv ilopita secretary wa boss kajifungua n boss ndo anakula mzgo mpk kesho yan....

Cha kushangaza juz mke wa boss alikuja pale job akaingia mpk ofcn kwa mme wake n kuketi then secretary akapeleka docs kwa boss n ile anatoka boss akamuuliza "Tina... how is nathan today? " demu akajibu "yupo salama leo na anakumic kweli... "

nkamchek mke wa boss ndo kwanza hana ata hbr anang'ang'aa macho tu n kukenua....

Kumbe mzee tyar ana kajifamilia kengine lohh
 
Back
Top Bottom