BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 6,182
- 11,782
Kila halmashauri pale kwa Mkurugenzi kuna Office zinazohusika na UKIMWI.Inaonyesha watumishi wengi hasa wa serikali ni wahanga.Tuweni makini wadau tutaacha familia yatima.Tumwombe Mungu atupe hekima ya kushinda tamaa za mwili.Mavazi ya kina Dada yanatuweka mtegoni sana.Na wazee watu wazima nao wanataka mabinti wabichi.Kina mama nao wanataka Serengeti boy.