Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,569
- 94,838
KaribuNakuja soon nione unavyonibinulia msambwanda![]()
![]()
KaribuNakuja soon nione unavyonibinulia msambwanda![]()
![]()
Unaitia gundu ofisi.....mwisho wa siku unakuta ofisi haipati clients/customers hatimaye inafungwa...mana ngono ni uchafu uliokithiri...Japo mimi Sijawahi na sioni sababu ya kujipa kashkash hiyo, Ngono sio nuksi, acheni fikra potofu.
kupata nyege ndani ya masaa 9 haiwezekani??ndio masaa 9 ya kazi zikupande mpaka utake kegegeda/kugegedwa? mi naona wana matanio yao tu
Wakuu habari za nyinyi jamani,
Natumaini mu wazima kabisa,
Leo nimeona nishushe haka ka uzi ambako nimekafanyia utafiti usio rasmi na nimeona kuna haja ya kukajadili.
Kwa wenzangu na mimi tulio maofisini bila shaka mtakubaliana na mimi kwamba siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la wafanyakazi kupeana tamu maofisini baada ya saa za kazi.
Wengi hubakia baada ya saa kumi na moja au mbili wakijifanya kuwa bize bado na vimeo mbalimbali kumbe wanazuga watu wengine waondoke ili mechi zipigwe kwenye sakafu, makochi au Meza na viti vya ofisini.
Ukweli ulio mchungu ni kwamba wake zetu ambao tunaona ni watulivu nyumbani na hata weekend hawatoki nyumbani kwenda kokote kumbe mabosi wanawainamisha huko maofisini baada ya saa za kazi aisee.
Hii pia inawakumba sana wahudumu wa maofisi, masekretari na walio katika mafunzo ya vitendo wapo pia wanawake wanaowaita hapo ofisini michepuko yao waje kupiga show ofisini.
Kinachonifanya niulize ni sababu zamani ofisi ziliheshimiwa sana, baada ya saa za kazi watu walikuwa wanarudi nyumbani, ni kwanini sasahivi maofisi yamegeuka magesti ya kuchapia mpaka wake za watu? Karibuni tushee aidia hasa kama kuna wenye konfesheni za kungonoka ofisini.
Sorry mkuu naomba ubadili rangi ya maandishi yakoMbona kama naona fursa hapa ya kupata pesa, yani ukishajua huo mchezo unatafuta stand alone camera, una wa recodi halafu unatafuta mjanja wa mjini anawaonyesha hiyo video la sivyo inatolewa kwa MTANDAO!
Mkuu umetisha,nimejikuta nacheka mwenyewe kama mwehu,kama kuna Mtu kaniona hatasita kuamin hili,ni hatar sanazile za fasta fasta huwa tamu sana, yaani unakula mzigo huku unaongea na watu chumba cha pili, aisee hizo file mshamaliza kuzipitia nataka nizipeleke sehem
Ndiyo maana napiga kelele cku nyingi kuwa badala ya kutafuta dawa ya ukimwi...tutafute dawa ya kufubaza nyege...ndiyo maana tunaomba msamaha kwa Mungu kwa dhambi zetu...manake ni vigumu kupita katika tundu la sindano..yaani nyege ziwepo halafu uzinifu usiwepo...
kupata nyege ndani ya masaa 9 haiwezekani??
Tamaa inayosababishwa na hali ngumu ya maisha hasa kwa mama zetu kujirahisisha kwa kujiuza bila ya kujua madhara yake baadae kama magonjwa n.k
Mkuu kamanakuona ulivyotoka haraka kufunga mlango na kushushapazia huku unapumua kwa kasiAah ulifaidi aisee

sababu unazini